Search results

  1. K

    Mtazamo wa Samuel Sitta kuhusu Zanzibar

    Yaan wewe nikicha kweli kweli
  2. K

    Naombeni mnifundishe mapenzi, sitaki kuumizwa tena

    Wewe unatakaje hela zake wakati hata mwenzi hauja isha? Tatzo wanawake ni wa binafsi sana, unataka kula bila kuliwa. Acha hizo habari, by the way maisha hayana formula kwasabu watu tuna tofautiana na mahitaji yana tofautiana. Pia inategemea wewe unajiwekaje kwa hao wanaume, kama unatanguliza...
  3. K

    Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Nywele vipi hawaweki dawa? Vipi mawigi?
  4. K

    Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Haya tumewaacha hatuta wasema tena
  5. K

    Mtazamo wa Samuel Sitta kuhusu Zanzibar

    Afadhali umejua kama unaharisha
  6. K

    Ushauri: Njia ya kuacha kuwafanya wanawake kinyume na maumbile

    Wakija kumfanyio hvyo mkeo utajisikiaje? Kama ukijisikia uchungu basi hakuna namna ni wewe kuamua kuwa sasa na acha, pia achanan na hayo mawazo ya kijinga
  7. K

    Mtazamo wa Samuel Sitta kuhusu Zanzibar

    Kukosa shule hii ya kidunia mda mwingine ni shida sana, pia kuendekrza njaa na kutopenda kufanya kazi ni janga lingine
  8. K

    Jerry Muro amtusi tena Haji Manara

    Halafu,hivi timu za ulaya zina wasemaji? Au na sisi tumejiongeza kuweka hiki kitengo?
  9. K

    Mtazamo wa Samuel Sitta kuhusu Zanzibar

    Kwa lugha nyingine viongozi wanajua kuwa waislam wanakandamizwa ili nchi iwe na amani
  10. K

    Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili

    Simba mwenda pole- hufungwa na yanga
  11. K

    Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Hiyo ni kauli kwa vija, ya wazee itstilewa pia
  12. K

    Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Mm nilidhani wewe ni miongoni mwawatu wanao fahamu
  13. K

    Monduli: Walimu wanne wahamishwa kwa sababu za kisiasa

    Wewe mwenyewe ni jipu, unalala saizi badala ya kufanya kazi
  14. K

    Nina ugonjwa wa kuiba chupi za wanawake

    Haya nayo ni maajabu kuwahi kutokea duniani, waliosema binadam hatuko sawa hawajakosea
  15. K

    Ajali ya basi la Abood, Kibaha

    Daaa!!!! Hivi ajili mpaka lini nchi hii? Mwenyenzi mungu awaponye haraka
  16. K

    Mandela road kuna nini leo?

    Unajiona mjanjaa?
  17. K

    Babu Tale anamaanisha kuhusu Diamond Platinum?

    Bora msutane wenyewe wa dar huko huko
  18. K

    Tuliowahi Kupata Ajali Na Kupona Tukutane Hapa! Tumshukuru Mungu Na Kutoa Somo.

    1. Mwaka 2009 nikiwa nimetoka kwenye mashamba ya mpunga nimechoka, nikaamua kula nyumba ya udongo na nyasi: kumbe kuna jamaa trekita likamshinda akaja kugonga ukuta wa ile nyumba niliyo lala lakin nilipona asante mwenyezi mungu 2. Siku nyingine nikiwa pia nichoka na kazi za shambani, tulikuwa...
Back
Top Bottom