Search results

  1. C.K

    Nina madini ya Opal (Milky white opal)

    Habari wadau, Nina madini aina ya Opal (Milky white opal) (angalia attachment). Kwa anayejua soko lake anisaidie taarifa, niko Dar. 0718174415
  2. C.K

    Nina madini aina ya Opal (Milky white opal)

    Habari wadau, Nina madini aina ya Opal (Milky white opal) (angalia attachment). Kwa anayejua soko lake anisaidie taarifa, niko Dar. 0718174415
  3. C.K

    Kununua simu (IPhone) toka XCITE, Mombasa

    Sawa wakuu, nashukuru kwa precaution zenu
  4. C.K

    Kununua simu (IPhone) toka XCITE, Mombasa

    Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa mzigo. Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa...
  5. C.K

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Kwa mwanamke anayetafuta mume, nicheck tufahamiane. Umri wangu late 30s, Mkristo, naishi Dodoma, so nikimpata aliye Dodoma pia itapendeza zaidi. Mimi ni mwajiriwa serikalini but pia nafanya mishe binafsi. Sifa za mwanamke nayemtaka:- 1. Mkristo 2. Awe na shughuli inayomuingizia kipato 3. Awe...
  6. C.K

    Mbolea ya kinyesi cha kuku - ipo inauzwa

    Fanya mwenyewe hesabu hapo, hujui?!!
  7. C.K

    Mbolea ya kinyesi cha kuku - ipo inauzwa

    Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko
  8. C.K

    Mbolea ya kinyesi cha kuku - ipo inauzwa

    Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi ya kilo hamsini hamsini... Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya Changanyikeni/Ubungo. KARIBUNI..!!
  9. C.K

    Mbolea ya kinyesi cha kuku inauzwa

    Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi plus ya kilo hamsini hamsini...Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya Changanyikeni/Ubungo. KARIBUNI..!!
  10. C.K

    Carry/Kirikuu inahitajika

    Mwenye carry na iko vizuri anicheck... Offer ya bei yangu tutaelezana. Namba iwe C au D
  11. C.K

    Nahitaji Kirikuu (Carry)

    Mwenye carry na iko vizuri anicheck... Offer ya bei yangu tutaelezana. Namba iwe C au D
  12. C.K

    Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

    Naomba mwenye link ya mechi yanga vs. azam niangalie online
  13. C.K

    Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

    Naomba link ya azam two au one cjui inayoonesha mechi ya simba na yanga online. Asanteni
  14. C.K

    Africa's underdevelopment

    That is according to your perception.., by the way if you are not conversant with the subject matter just ignore the poll
  15. C.K

    Africa's underdevelopment

    Mimi sikubaliani na wewe mkuu kwamba "Africans are misplaced" kwa kuwepo kwetu kwenye sayari hii ya dunia, that is dogmatic kind of thinking and argument... Sisi ni watu (race) na tuna uwezo kama races nyinginezo. But what i think and am researching on it is that "our own unawakeness" on...
  16. C.K

    Africa's underdevelopment

    Lack how? I have defined all those in my writing, here am just seeking opinions
  17. C.K

    Africa's underdevelopment

    Ndo ujinga wenyewe huo...
  18. C.K

    Africa's underdevelopment

    on top before the message plz
Back
Top Bottom