Search results

  1. M

    Looking for Assistant Accountant/Stock Controller

    Are you an assistant accountant or form six/form four graduate with atleast C in Mathematics and Sound knowledge in Microsoft Excel? please drop your CV to josephat.maneno@gmail.com
  2. M

    Viwanja vya bei poa katika Wilaya ya Ilala kata ya Chanika kuanzia Shilingi 1, 500.000/=

    Hiyo bei mbona ni kubwa sana? 15,000,000 milioni au 15 milioni? Viko maeneo gani? Buyuni/kinyamwezi etc
  3. M

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Unapata mfanyakazi siku hiyohiyo
  4. M

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Kama unatafuta msichana wa kazi wasiliana na house maid recruitment agent, ofisi zao zipo mwananyamala. Namba ya simu ni 0718 806 531. Kazi kwako, ushindwe mwenyewe
  5. M

    Assistant Accountant Required

    Position Description: Are you an accountant professional looking for a job and willing to work in a bar/Club environment? Qualifications: A-level education (ECA) + Diploma in accounts/Store keeping. Key skills: -Excellent English language skills (written & verbal), knowledge of computers and...
  6. M

    Till ya tGO PESA.

    Kaka hizo till zimekuwa issued kwa kufanyia kazi Dar au mikoani? kama ni za mikoani, zikianza kutumika Dar zitafungiwa mara moja. hili linahitaji ufafanuzi na ni muhimu kuhakiki usajili wa hiyo line kabla ya kununua. Natanguliza shukrani
  7. M

    Assistant Accountant/Technician for a Bar/Club is required

    Are you an accountant professional looking for a job and willing to work in a bar/Club enviroment? Qualifications: A-level education (ECA) + Diploma in accounts/Store keeping or equivalent (eg. ATEC). Key skills: Accounting skills, stock/inventory control,ability to prepare standard reports...
  8. M

    Natafuta Freezer ya kugandisha mabarafu

    Ninahitaji freezer kwa ajili ya kugandisha mabarafu ya size mbalimbali ikiwemo size kubwa wanayotumia kuhifadhia samaki au kupoza vinywaji wakati wa sherehe
  9. M

    Nyumba inauzwa Banana kwa Bei ya 35m -Relini barabara ya kwenda Kitunda

    wanajamii hapa kuweni macho, ukiwa unatoka banana kuelekea kitunda, maeneo yote yaliyopo kabla ya reli yapo kwenye mpango wa upanuzi wa airport. usiingie mkenge, sumu hiyo.
  10. M

    Kiwanja cha Shule - Nursery Kinauzwa. Kipo Mwanagati

    Kiwanja kwa ajili ya matumizi ya shule ya nursery kinauzwa, kina ukubwa wa 2400 square meters. Kiwanja kimepimwa na kina hati kwa matumizi ya shule ya nursery na kipo Mwanagati, Ilala eneo la mradi wa viwanja 20,000. Hiki kiwanja ni ideal kwa wanaohitaji kiwanja cha shule kwani hati yake tayari...
  11. M

    Natafuta kiwanja barabara kubwa-Dar

    Natafuta kiwanja kilicho barabarani, sehemu ambayo naweza kuweka frames. Siyo lazima eneo liwe limepimwa.
  12. M

    Kiwanja Kinauzwa-Surveyed area, low density (1800sqm) Buyuni-Ilala-Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa, kimepimwa,kina hati na kipo katika eneo lililopimwa (moja ya maeneo ya viwanja 20,000 vya mradi, eneo zima lina viwanja 8000 vilivyopimwa) kipo eneo la Buyuni,ilala (It is located just before chanika). Kiwanja kina ukubwa wa 1800 square meters (low density), bei ni sh. 5,000...
  13. M

    School Plot for Sale (surveyed area)

    Eneo kwa ajili ya matumizi ya shule linauzwa. Lina ukubwa wa 2400 sq meters. Lipo Mwanagati wilaya ya Ilala. Mwanagati ni eneo Lenye viwanja 2000 vilivyopimwa ktk mradi wa viwanja elfu 20000. Kiwanja Kina hati na matumizi yake ni shule. Eneo ni tambarare, bei ni 40 milion. Kama una plan ya...
  14. M

    Brand new Dell Latitude E6400 laptop for sale

    I have a brand new Dell latitude E6400 for sale Specs: 1GB of RAM, integrated graphics, Intel Core 2 Duo processor ( P8400 2.26GHz, 3M L2 Cache), a DVD player/CD-RW combo drive, 80GB hard drive and Vista Home Basic. Battery capacity up to 19-hours of run time. Dell Latitude E6400...
  15. M

    Natafuta laptop ya kununua.

    I have a brand new Dell latitude E6400 for sale Specs: 1GB of RAM, integrated graphics, Intel Core 2 Duo processor ( P8400 2.26GHz, 3M L2 Cache), a DVD player/CD-RW combo drive, 80GB hard drive and Vista Home Basic. Battery capacity up to 19-hours of run time. Dell Latitude E6400...
  16. M

    Plots for sell

    BabaDesi, ukiviunganisha vyote viwili vya 24x25 haiwezi kuwa 48x50. itakuwa either 48x25 or 24x50, nafikiri hesabu za mstatili zilikupiga chenga kidogo. hilo lilikuwa angalizo tu. Manyusi, vipi hivi viwanja vimepimwa? na viko along main road? asante
  17. M

    Nyumba mpya inauzwa bei karibu na bure!

    Duuh sorry mkuu, salasala niliisahau. Kuna eneo dogo la salasala Limepimwa kupitia ule mradi wa bomba la gesi la tazama. Nilichokuwa Namaanisha ni kuwa maeneo mengi ya makazi yamesahaulika sana kupimwa. Na Hii imesababisha kuwa na skuata nyingi hasa maeneo ya mbezi ya wastaafu/kimara
  18. M

    Nyumba mpya inauzwa bei karibu na bure!

    Una maana gani unaposema mbezi makabe imepimwa? au una maanisha nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa kwa kujipimia mwenyewe. Kupimwa eneo zima na kujipimia kiwanja ni vitu viwili tofauti. Tunafahamu kuwa Maeneo ambayo yamepimwa kutokana na takwimu za wizara ya ardhi ni machache sana hapa Dar...
  19. M

    Sweden yaipa Tanzania Sh. bilioni 44 kusambazia umeme vijijini

    Kwa kweli hizo pesa wakipewa TANESCO zitaishia mifukoni Mwa vigogo wachache. TANESCO kwa muda mrefu sasa imekuwa haitumii Gharama zake gharama zake kusambaza umeme lakini cha kushangaza Unapokwenda kutaka kusambaziwa umeme ukienda pale utazungushwa Mwisho wake wanataka pesa. Utakuta kuna...
Back
Top Bottom