Search results

  1. Galang

    Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Safi sana Chige uko very objective nimependa the way ulivyofanya analysis yako. You have good option for the data you have referred unless kama kuna info zingine haziko sawa mtu anaweza pinga mawazo yako.
  2. Galang

    Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    Umeandaa kiasi gani cha viroba ili zomeazomea iendelee!! UKAWA mmechemka. Sasahivi siyo pipooooz ni virobaaaaaaaz ===%%÷€£ Powerrrrrrr. Na tarehe 25 kunyweni viroba na mchanganye na mbege kisha muone cha moto.
  3. Galang

    Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Haya hope suala la Mkuu wa majeshi limeusha nenda kumuulize bosi wako Mbowe pesa alizohamisha akupe uhalali wake.
  4. Galang

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kweli ukawa jipangeni sana! Hii ni sunami mbaya CCM hapa ni kazi tu na si safari ya matumaini/uhakika mtajua wenyewe. Lazima mjue nchi hapewi wala rushwa na wahuni.
  5. Galang

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Nenda kale malimao toa uozo wako hapa. Hapa ni sunami na wala si mafuriko.
  6. Galang

    Magufuli: Sijawahi kuona Mbunge makini kama Mbowe

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mbowe akili kuwa Magufuli ni jembe hizo zingine ni siasa tu. Mcheki kwenye huu uzi ukitoa ya moyoni. https://youtu.be/j0xaIuEaX18
  7. Galang

    Kipindi Maalum: ITV kuonesha historia ya maisha Dr. John Magufuli

    Kipindi Cha historia ya Mh Magufuli kitaruka leo tarehe 5/08/15 saa tatu na robo usiku kupitia ITV.
  8. Galang

    Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Mh. Dr. JP Magufuli rais wa Tz mtarajiwa leo hii amefunika jiji la dar wakati alipoenda kuchukua form. Aisee hiyo hali imezidi kuwapa hofu wapinzani ambao wako kwenye mpasuko mkubwa wa kugawana madaraka hata kabla ya kuyapata. Tazama jembe lilivyo sababisha watu kuacha kazi zao katikati ya jiji...
  9. Galang

    Dr. Magufuli afutika ghafla kwenye vyombo vya habari!

    Tulia kwanza CCM si chama kinachokurupuka Magufuli auzika mwenyewe kwa wananchi. EL lazima apitishwe dry cleaner kwanza. Subiri kipenga kipulizwe ndo mtakapo ujua mziki wa CCM. Tunachoangalia hapo ni jinsi gani EL alvyojivua nguo. Yaani nampa pole jinsi pesa yake itakavyo liwa kama ilivyoliwa na...
  10. Galang

    Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

    Pole sana mwanakijiji hope umepata ukweli kwamba CDM kwanini wataalam walisema bado haifai kupewa nchi. Tazama hata UKAWA nao wamepotelea kwenye genge la wahuni wenye individual interest na siyo public interest.
  11. Galang

    Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Kwisha habari yao CDM. Slaa hakurupuki kufanya jambo. Yaani ndo nagundua kumbe chadema ni mtu mmoja tu aliyekuwa makini.
  12. Galang

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    CDM yaani mmejimaliza wenyewe kabisa! Mwangalieni mgombea wenu hana ani kabisa na ameshindwa kuendelea na kikao. Mumekurupuka sana kufanya maamuzi. Ngojeni muone Magufuli atakavyowapeleka mchakamchaka.
  13. Galang

    Yaliyojiri Ukumbi wa Hyatt Regency: Frederick Sumaye atangaza nia kugombea Urais

    Hapa unatolewa ufafanuzi mzuri sana kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali. Swali liliulizwa na kubenea kwa Mh. Sumaye waziri mkuu awamu ya tatu. Mh. Magufuli alikuwa mtekelezaji tu tena akajenga zingine nyingi tu na bado anaendelea kujenga.
  14. Galang

    Haya ndio maamuzi magumu ya Lowassa Vs Magufuli

    6. Kaunza launch zote za mifugo na kujibinafisisha yeye na mafisadi wenzake. 7. Alipiga dili ya kuingiza mahindi mabovu na kuipa hasara serikali. 8. Alitaka kujibinafisucha kiwanda cha nyama arusha wajanja wakamshitukia. 9. Kajimilikisha vitalu vya merelani hadi wakataka kuzijapa na mengi baada...
  15. Galang

    Dr. Magufuli yuko kikazi zaidi! Akikagua barabara ya Arusha bypass km 44

    Mi mkazi wa Njiro ongea lingine!!!
  16. Galang

    Dr. Magufuli yuko kikazi zaidi! Akikagua barabara ya Arusha bypass km 44

    Nani Lowasa!!!!! Tuambie wewe maana hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi anarudia mara nne sehemu moja ndo atauweza muziki wa Kenyata kwenye kukuza uchumi. Muacheni mzee wa watu akapumzike angalau atumie pesa yake ya Richmond.
  17. Galang

    Dr. Magufuli yuko kikazi zaidi! Akikagua barabara ya Arusha bypass km 44

    Watanzania kubwabwaja sana. Kinachotakiwa hapa ni kazi na jembe linaendelea kupiga mzigo. Vitu vinaonekana na si tamaa za uraisi. Mtu hawezi hata kusoma hotuba aliyoandikiwa lakini watu bado mnapiga kelele. Shauri yenu Mbowe kashalamba mpunga wake nyie endeleni kupiga kelele wakati jamaa...
  18. Galang

    Dr. Magufuli yuko kikazi zaidi! Akikagua barabara ya Arusha bypass km 44

    Magufuli afanya ukaguzi ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili - Taveta - Voi sehemu ya Sakina-Tengeru (km 14.10) itakayojengwa kwa njia nne na njia ya Mchepuo (Arusha Byapass) (km 44). Raha tupu wakati EL anakodi bodaboda Dar! Jembe linaendeleza kupiga mzigo longolongo zimepitwa na wakati watu...
  19. Galang

    Magufuli yupo Arusha kikazi

    Kumekucha wakati jembe JP akiwa kikazi arusha kwenye kuweka jiwe la msingi barabara ya mererani KIA. Wazee wa kimasai wamemkubali na kuamua kumtunikia uongozi wa koo za kimasai. "Laigwenani" Nitawajuzi kila kinachoendelea kadri jembe linavyozidi kukubalika kwenye ngome ya EL. Check hizi
  20. Galang

    Magufuli yupo Arusha kikazi

    Magufuri anazidi kutisha! Kweli chema chajiuza mkwe wa EL Sioi Sumari leo ameonyesha kumkubali Dr.Magufuli katika mchakato wa urais tazama leo asubuhi alivyoenda kumpokea uwanja wa kilimanjaro na kusalimiana na Jembe JP Magufuli. "Aleselema"
Back
Top Bottom