Search results

  1. B

    Hivi ni kwa nini?

    Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini hili la umri nalo?...
  2. B

    Naombeni maoni yenu kuhusu hili.

    Mimi siku zote huwa najiuliza ivi wasichana ni wabahili au wanafanya makusudi,inatokea siku mnatoka out wewe(mwanamme) ndo umemwambia mtoke out sio mbaya mwanaume kulipia gharama zote.. Ikitokea yeye siku iyo ndo ameomba yeye mtoke out then mnafika labda mnaagiza misosi yaani bites...
  3. B

    Ungekuwa wewe ungejitetea vipi?

    Tuchukulie upo na mpenzi wako mmetoka faragha siku moja na huwa mnakaida mkienda ku..duu huwa mnatumia condom,sasa siku iyo upo nae unatoa kile kipakti akaziona badala ya kuwa tatu siku iyo ziko mbili akakuuliza iyo moja umeipeleka wapi? au umeitumia na wengine c unajua wanawake kwa wivu...ni...
  4. B

    Hivi unajisikiaje unapoanzisha uhusiano mpya.

    Ningependa kupata hisia za watu tofauti wanapoanzisha uhusiano mpya..
  5. B

    Lile shindano la selebuka limeishia wapi?

    Mimi napata kigugumizi juu ya mwenendo wa wasanii wetu,inakuwaje shindano linaanza watu wanajipanga kila siku wanacheza na jasho linawatoka,tena ukiangalia wengi wao ni maarufu sana TZ. Inamaana kulikuwa hakuna mkataba,ivi wasanii mtaonewa mpaka lini jamani jueni kudai haki zenu msing'ae macho tu.
  6. B

    Napingana na msemo unaosema ''MASIKINI HAFILISIKI''i

    Kuna baadhi ya misemo watu wanapenda kuizungumza na wengine kuiandika kwenye magari kwa nyuma kama ujumbe,mda mwingine kufurahisha watu au kuelimisha. Ila msemo mmoja unasema kwamba ''MASIKINI HAFILISIKI''................mimi napingana sana na huo msemo maana kwa uelewa wangu ni kuwa masikini...
  7. B

    Naombeni mnijuze muundo wa uongozi wa jeshi la polisi-Police rank

    Naombeni mnijuze muundo wa uongozi wa jeshi la polisi-Police rank,yaani akitokaahuyu Inspector general,anayefuatia ni nani mpaka kufikia ngazi ya mkoa..
  8. B

    Naombeni mnijuze muundo wa uongozi wa jeshi la polisi-Police rank

    Wanajamii naombeni mnijuze muundo wa uongozi wa jeshi la polisi nani ni mkubwa na anayefuatia kiuongozi maana nimeona jeshi letu uongozi unabadilika kila kukicha...
  9. B

    Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaidi!!

    Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid
  10. B

    Tofauti kati ya Celebrity na Superstar.

    Habari za jioni wanajamii forum,ivi tofauti kati ya Celebrity na Superstar ni ipi? na kipi ni kigezo cha kumpa mtu ucelebrity au Usuperstar!.. Na ni kweli bongo kuna hao watu (Celebrity na Superstar ) na hawa wasanii wetu tumezoea kuwaita masuperstar mara celebrity.........ivi hawa wanafaaa...
  11. B

    Bosi kamwambukiza UKIMWI rafiki yangu.......................USHAURI!!!

    Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa dsm,kuna msichana mmoja alifanya field kwenye kampuni ninapofanyia kazi na ivi sasa anaenda kumalizia chuo mwaka wa tatu na ana miaka 23 nilitokea kumpenda sana nanilitamani siku moja aweze kuwa mpenzi wangu na hatimaye mke,lakini mishemishe zangu...
  12. B

    Mambo ni aje wanajamii

    Mambo vipi wanajamii forum,mimi mpendwa wenu nipokeeni,na tupeane ushirikiano..
Back
Top Bottom