Search results

  1. chobu

    Kutoka uchumi wa Viwanda hadi uchumi wa Kimachinga

    MTABEZA WEEEEE!!!!!!!! LAKINI SISI TUNASONGA MBELE TU!!!!! DEBE TUPU HALIACHI KUPIGA KELELE!!!!!!!!!!!!!!!
  2. chobu

    Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

    Raha ya Make-up inyeshe mvua halafu huna gari wala Mwavuli!!!!
  3. chobu

    Mabula: Gharama za upimaji ardhi

    Jamani tunaomba mwenye utaratibu na gharama za Serikali za mitaa za kupima mashamba kuanzia eka moja na kuendelea atusaidie tafadhali Jamani naomba mwenye kufahamu kuhusu upimaji wa mashamba kupitia Halmashauri za Serikali za mitaa na kupata hati za kimila bado upo????
  4. chobu

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Kama umeshawahi kula chocolates zenye karanga, kwa mfano snikers n.k. ndiyo wanaweka hizo macadamia nuts!! Na soko lake liko juu sana!
  5. chobu

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Kwa hapa Tanzania unaweza kupata pia mkoa wa Kilimanjaro!
  6. chobu

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Karanga hizo zinaitwa "MACADAMIA NUTS" zinapatikana kwa wingi Brazil
  7. chobu

    Serikali: Kama ulighushi vyeti vya form 4&6 na una shahada hata tatu, tutazifuta zote na utaondolewa

    "ASIYEFANYA KAZI NA ASILE"! KULIKONI KULA JASHO LA WENYEWE???????
  8. chobu

    Tunaiomba Serikali itoe ufafanuzi kuhusu masuala ya Vyeti

    Tatizo ni kwamba, kazi hii imefanywa bila kufanya utafiti wa kutosha, au niseme ushauri ulikuwa mbovu wa kufanya zoezi hili! Sijaona sheria inayobagua. Hakika Waswahili wana usemi usemao "Nyumba yako ya vioo, kwanini unaanzisha ugomvi wa mawe?????
  9. chobu

    Madudu TCU, Ndalichako achia ngazi

    nduh Ndugu yangu kinachoangaliwa hapo sio mtu amepata uwaziri wakati gani, eti yule aliyepita ndiye aliyefanya madudu, hapana! Hapo ni kinachoangaliwa ni cheo, kama wizara yako imepata kashfa unatakiwa kujiuzulu mara moja. Wenzzetu Ulaya ndivyo wanavyofanya!!
  10. chobu

    Sijawahi kula nyama tamu kama konokono

    HOTEL ZA KICHINA UTAPA!!
  11. chobu

    Nauza salon ya kiume

    PICHA TAFADHALI! NA ENEO GANI.
  12. chobu

    Waliogushi vyeti wana makosa matatu ya jinai

    Jamani! Jamani! Muogopeni Mungu! Kitendo cha kuwaadhibu wote waliofoji vyeti bila kuangalia upande mwingine wa shilingi siyo sahihi. Watu hawa wana mchango mkubwa katika Taifa letu; kwani wametumia nguvu, akili na maarifa katika kulitumikia Taifa na wengi ni waadilifu. Mkosaji ana mazuri...
  13. chobu

    VYETI FEKI; Jamaa akatwa mshahara bila kuchukua Mkopo (Heslb)

    Jamani! Swali la kujiuliza, ni kwanini waliwaajiri bila kugundua kuwa vyeti ni feki???? Kwani utaratibu wa ajira serikalini ukoje???? Kwanini waliwaajiri wakijua kuwa vyeti ni feki?? Kama wangehakiki kabla ya kutoa check number, haya yote yasingekuwepo. Hivyo basi, wanastahili adhabu kali...
  14. chobu

    Swali kwa kampuni ya simu TTCL

    SUBIRA YAVUTA HERI. TTCL WAKO VIZURI SANA KWA HUDUMA!
  15. chobu

    Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

    UKIAMUA KUFANYA BIASHARA NDUGU YANGU, KUWA MUWAZI, MTEJA AKIULIZA SWALI JIBU KWA UFASAHA, USIFICHEFICHE; SIKU ZOTE MTEJA NI MFALME. SASA WEWE UNAAMBIWA WEKA PICHA YA 32M UNASUASUA, KWANI UNAONA TABU GANI KUWEKA PICHA HIYO?????? UNAPOSEMA NYUMBA YA 32M ONESHA NA PICHA YAKE; NYUMBA YA 72M ONESHA...
Back
Top Bottom