Search results

  1. Najijua

    Viwanja Mkuranga

    Viwanja vilivyopimwa kiserikali vinauzwa Mkuranga. Hatua iliyobaki ni mnunuzi kwenda kuchukua HATI. Kilometre 3 toka Mkuranga Mjini; Umeme unapita na uendelezaji wa maeneo umeshaanza. Bei ni Elf 7,000/= kwa square meter. Mawasiliano zaidi piga 0787094824
  2. Najijua

    Mafisadi wa Elimu wameishia wapi?

    Wakuu nakumbuka kuna jamaa anaitwa Kanerubaga Msemakweli alitoa kitabu cha MAFISADI WA ELIMU na kuwataja vigogo na wanasiasa mashuhuri kadhaa akiwemo Lukuvi, Nchimbi, Nagu na Diallo. Wengi wao walijitokeza na kupinga shutuma hizo na kuhaidi kumpeleka mahakamani ila mpaka sasa hakuna...
  3. Najijua

    Shillingi inazidi Kuporomoka

    Wakuu badala ya kujadili nani kashinda na kushindwa kaytika chaguzi ndogo za UDIWANI na Nani karusha bomu uchumi wetu na shillingi yetu vinazidi kuporomoka. Leo shilling ya Tanzania imedilishwa kwa SH 1650 dhidi ya dollar ya Marekani. Hii inashiria nini? naiona kwa mbali sasa hivi itafika sh...
  4. Najijua

    Baaada ya Siasa Karibu hii kitu

    Wale wa nyama choma, Wale wa roast, wale wa michemsho yoote utapata. Wee njoo tuu ujipatie baada ya kupiga SIASA sana njoo ujiburudishe
  5. Najijua

    CCM ni mbakaji wa Demokrasia?

    CCM NI MBAKAJI WA DEMOKRASIA? Nilipata bahati ya kufuatilia japo sio kwa karibu sana mkutano mkuu wa CCM, nilifuatilia kauli, tambo na majigambo ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambazo zilinifanya nitafakari mara mbi zaidi. Nakumbuka wakati wa utambulisho wa wageni toka ndani na nje ya...
  6. Najijua

    Sekretariat ya ajira ni kikwazo kwa watanzania sasa

    SEKRETARIAT YA AJIRA; Ndugu zangu napata shaka sana utendaji wa namna wa sekretariat ya ajira. Kuna wadau wameenda kufanya usaili nua kukutana na vikwazo vingi ambavyo vinatoa mashaka ya uafanisi wa chombo hicho. 1. Mtihani wa usaili wanaopewa wa sailiwa huvuja mapema mfano jana...
  7. Najijua

    Punguza Stress za SIASA Soma hii

    Utaipata kwa Laki... John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama...
  8. Najijua

    Vote of no confidence with the speaker

    WAKUU: Yeyote anayejua hatua stahiki zinazotakikana ili ipigwe kura ya kutokuwa na Imani na speaker atueleze tuone kwa namna gani tunaweza washauri na kuwataka wabunge wetu watekeleze jambo hili. Kwa namna anavyolipeleka bunge sivyo, kuna mtu amenita hadharisha kuwa hata uasi huanza kwa mambo...
  9. Najijua

    Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho?

    Wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya JK na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani. Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?
  10. Najijua

    Chaguzi ndogo za madiwani arusha

    Wadau mwenye taarifa sahihi atujuze vizuri ni lini Chaguzi ndogo za Madiwani Arusha zitafanyika? Mbona Igunga na Arumeru zimeshaitishwa kule wanasubiri nini? mahakama si ilishatoa hukumu
  11. Najijua

    Jeshi la misri la salimu amri

    Baraza la kijeshi nchini Misri limesalimu amri na kukubali kuitisha uchaguzi wa raisi nchini humo mwezi July 2012 vilevile kukubali baraza la mawaziri kujiuzulu ambapo masaa machache yaliyopita waliwakatali!source Al jazeera
  12. Najijua

    Mbunge alipua bomu la machozi

    mbunge wa bunge la korea kusini alipua bomu la machozi bungeni na kuwaliza wabunge wote! Amefanya hvyo kuonyesha hisia zake za kutokubali nchi yake kuingia mkataba wa kibiashara na Marekani.
  13. Najijua

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    "Wananchi tunaomba mtusikilize na sisi" - George Simbachawene, alipokuwa akichangia muswada wa katiba mpya. Natafakari ina maana wananchi hawawasikilizi?mbona wameshinda na wapo bungeni? Mbona anazungumza kiujumla na kama hao wa kijumla hawasikilizwi mbona wao wapo wengi bungeni? Wamejipeleka au...
  14. Najijua

    Wabunge wa chadema kutoka bungeni si sawa

    Wadau naomba kuweka hoja jamvini, tutafakari pamoja tukiwa huru kimtazamo tusifungwe na itikadi za vyama wala ushabiki Kwanini wabunge wa CHADEMA wasingebaki bungeni wakajenga hoja nasi wa Tanzania tukaona kweli wamefanya wajibu wao na wangeona CCM wanapitisha kiubabe au kiitikadi hapo ndio...
  15. Najijua

    Tutangaze mgogoro wa kisiasa na Edward Ngoyai Lowassa

    WADAU NALETA HOJA YA KUOMBA TUTANGAZE MGOGOR WA KISIASA NA EDWARD NGOYAI LOWASSA (MB) NA MNEC WA CCM. HUYU NI MWANASIASA MWENYE NJOZI KUBWA YA KUWA RAISI WA JMT NA KUNA MADAI KUWA T.B JOSHUA WA NIGERIA AMESHAMTABITRIA HILO. KWANINI MGOGORO WA KISIASA 1. KILA ANAPO PATA FURSA YA KUZUNGUMZA HUWA...
  16. Najijua

    Hii ni week ngumu kwa watawala tanzania

    wadau naleta hoja kuwa week hii ni week ngumu kwa watawala TZ kwa matukio yanayotokea na yaliyotokea 1. Vigogo wa Polisi kwenda gerezani kumshawishi Lema kukubali dhamana 2. Mahakama kumnyima Lema dhamana 3. Maaandamano na mkusanyiko mkubwa wa CDM na baadaye kutawanywa 4. Viongozi...
  17. Najijua

    Kikwete hata hili linakushinda?

    Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele. Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana...
  18. Najijua

    Raia tuchukue hatua kuzidi kushuka kwa shillingi

    wadau naleta hoja jamvini ikibidi raia tuchukue hatua kwa kuzidi kuporomoka kwa shillingi yetu kila siku na hakuna hatua za madhubuti zinazochukuliwa na serikali yetu, leo dola 1 ni zaidi ya 1800/=Tshs. Ifike wakati tuishinikize serikali ichukue hatua madhubuti na kuna hatua rahisi sana ambazo...
  19. Najijua

    Hivi ni kilimo kwanza au kilo kwanza

    Wadau najaribu kutafakari hii slogan ya mzee Pinda ya kilimo Kwanza, kila siku gharama za chakula zinapanda kila siku zinapanda mfn:- Sukari imetoka 1600 - 2500/=Tshs, ,mchele toka 1000 - 1700/=Tshs maharage toka 800 - 1400/=Tshs, na bado wanatuambia Kilimo Kwanza nadhani mambo yalikuwa afadhali...
  20. Najijua

    Waziri wa Ulinzi ajiuzulu - Uingereza

    waziri wa ulinzi wa uingereza ajiuzulu kwa kuitumia ofisi ya uwaziri kwa mambo yake binafsi ikwapo kuiuzia Sri-Lanka silaha km mtu binafsi na sio serikali!Ngeleja na Mkulo wajifunze uwajibikaji! source. idhaa ya BBC
Back
Top Bottom