Search results

  1. Najijua

    Uchaguzi 2020 Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Pwani baada ya Sumaye kuondoka washindwa kununua umeme ofisi iko giza

    Imetelekezwa wapi?Njoo na facts kuliko porojo za kupata buku 07
  2. Najijua

    TANZIA: Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia nchini Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu

    Pumzika kwa amani mtoto wa Afrika, Pumzika kwa amani jemedari wangu
  3. Najijua

    JKT, Mafunzo yenu yamevamiwa na raia wa kigeni bila ninyi kujua

    Umeandika mada nzuri ila imekaa kiujumla jumla no leading clue..... Naweza sema umendika kwa hisia nyingi kuliko uhalisi
  4. Najijua

    Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Aisee ninajufunza na kuhamasika sana na hizi makala. Muajiri anisamehe kumuibia muda na rasilimali zake..... Sehemu ya 08 kama imeishia njiani hivi
  5. Najijua

    Tuliompa Lowassa kura zetu tukutane hapa tumueleze kuwa "Kumpa kura Magufuli ni ndoto ya mchana"

    Mzee wa kusamehe tu wandugu. Baada ya kurejea ugambani amerudi kuumwa kwa kasi ya ajabu. Ameshindwa kusimama kuhutubia; Ameshika microphone anatetemeka mikono yote na maneno yanagoma kutoka. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Najijua

    Kwanini CHADEMA haikumpa Babu Duni ujumbe wa heshima wa kamati kuu?

    Muungano wa kitapeli lakini chama chako kinapeleka muswada kuzuia miungano ya vyama vya SIASA. Mnajitekenya na kucheka wenyewe
  7. Najijua

    Dar: Mbunge wa jimbo la Liwale(CUF) Zuberi Kuchauka atangaza kujiuzulu na kuhamia CCM

    Unajiona upo saafi kimawazo kifkra nk, kwasababu tu upo ccm ya wababe ccm ambayo mtu yoyote anaweza kujiunga muda wowote tena Kwa kulipia 1500. Unajiona kuwa ccm ni kufauru mtihani mkubwa sana, unajiona kama kuwa ccm umevuka bwawa la moto, kumbe ni kununua kadi ya buku jero tu, sasa unawakejeri...
  8. Najijua

    Dar: Mbunge wa jimbo la Liwale(CUF) Zuberi Kuchauka atangaza kujiuzulu na kuhamia CCM

    Jana na leo asubuhi wamefanya media attention kubwa sana eti wanapokea wagenui 05 ili watu waache kujadili UDHALIMU wa UCHAFUZI waliofanya kwenye UCHAGUZI mdogo kumnbe wanampokea mtu ambae hana hata impact moja kwenye siasa za upinzani
  9. Najijua

    Kama uchaguzi wa Kinondoni/Siha ulikuwa na dosari, kwanini upinzani haukwenda Mahakamani?

    Kwahiyo maandamano yalifanyika baada ya uchaguzi? Ulikuwa unakimbilia kuweka uzi hapa ili hali hauna taarifa sahihi za kutosha
  10. Najijua

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Wote uliowataja baada ya serikali kuachiwa kazi ya kuwasaka walipatikana wahalifu? Hukumu zao mahakamani zimewahi kutolewa tuweke records zetu sawa? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Najijua

    Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar leo

    Inawezekana waziri wake hakuwepo hivyo ameshiriki ili wizara isikose uwakilishi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Najijua

    Viwanja Mkuranga

    Viwanja vilivyopimwa kiserikali vinauzwa Mkuranga. Hatua iliyobaki ni mnunuzi kwenda kuchukua HATI. Kilometre 3 toka Mkuranga Mjini; Umeme unapita na uendelezaji wa maeneo umeshaanza. Bei ni Elf 7,000/= kwa square meter. Mawasiliano zaidi piga 0787094824
  13. Najijua

    CHADEMA Mbeya walalamika kuhusu uteuzi wa Wabunge wa viti maalum

    Acheni kuendeleza siasa za chuki na propaganda. Hivi Anatropia kamhujumu Mtatiro kwa namna gani? Jimbo la segerea lilichukua muda gani kupata suluhu linakwenda chama gani? Hakujiondoa kwa hati ya Kiapo? Mtatiro alimshirikisha katika kampeni zake? Dada wa watu nilimuona akienda kujenga chama...
  14. Najijua

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Dooooh jamaa kila uchwao wanakuja na propaganda ambazo kwenye jamii haibambi hata kidogo
  15. Najijua

    Kwa heri Mzee Msambile

    Kheri ameenda CDM kuliko kwa mkoloni mweusi CCM
  16. Najijua

    Ukimya wa Professor Safari unamaanisha nini?

    Hivi angekuaje mgombea mwenza wakati sio mzanzibari? Usishabikie kwa kupeleka akili likizo
  17. Najijua

    Ushahidi wa kesi ya ufisadi wa Richmond wakamilika, wahusika kupelekwa mahakamani

    Kesi ya Richmond nyingine au? Umesahau kuna kabachori alifikishwa mahakamani na kesi iliisha
  18. Najijua

    Kiongozi wetu, ACT - Wazalendo Zitto Kabwe

    Location ya video hii ni Mwandiga au DSM?
Back
Top Bottom