Search results

  1. Nyahende Thomas

    CHADEMA Ukonga: John Heche Kuunguruma Ukonga Mazizini Jumapili hii...

    Ndugu wanaJF. Kwa niaba ya uongozi wa Chadema kata ya Ukonga ninapenda kutumia fursa hii kuwakaribisha katika mkutano wa hadahara utakaofanyika jumapili hii tarehe 04/08/2013 kuanzia majira ya saa 8:00 mchana katika mtaa wa mazizini Kata ya Ukonga Jimbo la Ukonga. Mkutano utafanyika katika...
  2. Nyahende Thomas

    John Heche Atua Serengeti Kuongeza Nguvu Katika Kampeni Kata ya Machira

    Wadau wa JF, Salam. Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Kamanda John Heche anaelekea Wilayani Serengeti kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa kata ya Machira. Kwa taarifa za uhakika ni kwamba kamanda Heche anatarajiwa kuingia mjini Mugumu wilayani Serengeti majira ya jioni ya leo ambapo...
  3. Nyahende Thomas

    CHADEMA Haitetereshi ama Kuyumbishwa na Wasaliti Wachache Waliofukuzwa Uanachama..!

    Kwanza kabisa niwatakie kheri ya Pasaka watanzania wenzangu. Wakristo wenzangu mnapoadhimisha kumbukumbu ya ukombozi wa mwanadamu nawaomba muwe na kiasi katika kila mlifanyalo. Nikirudi kwenye mada, siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la watu waliofukuzwa uanachama toka Chadema na...
  4. Nyahende Thomas

    Rukwa: Polisi Waua tena Mwananchi!

    Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu, mfanyabiashara mmoja mjini Sumbawanga ameuwawa baada ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa risasi na askari polisi, akiwa nyumbani kwake mjini Sumbawanga kwa kutuhumiwa kwa wizi. MYTAKE. Chondechonde polisi mnawamaliza wananchi wasio na hatia...
  5. Nyahende Thomas

    M4C: Kamanda John Heche Aanza Ziara ya Siku Tisa Mikoani

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kamanda John Heche ameanza ziara ya siku tisa katika Mikoa ya Morogoro na Rukwa/Katavi, ukiwa ni muendelezo wa operation M4C. Ziara hiyo imeanza jana mkoani Morogoro wilaya Kilombero ambapo alianza kwa kuitembelea familia ya marehemu Regia Mtema na kisha baadae...
  6. Nyahende Thomas

    John Heche akwea pipa kuelekea nchini Moroco, Kuhutubia mkutano kesho

    Ndg wanaJF, Taarifa nilizopokea hivi punde ni kuwa Mwenyekiti wa Taifa, wa Baraza la vijana Chadema kamanda John Heche amekwea pipa jioni hii kuelekea nchini Moroco kuhudhuria kikao cha bodi ya Freedom Forum For International Young Democratic Union, uliopangwa kufanyika kuanzia kesho tarehe...
  7. Nyahende Thomas

    Hukumu ya Mwanamke aliyeporwa mtoto, Mahakama imejiaibisha...!!

    Katika taarifa ya habari Itv usiku huu, saa 2 wametangaza habari ya mwanamke mmoja aliyeporwa mtoto wake wa miezi minne na ndugu wa mume wake aliyepo nje ya nchi kwa sasa. Uporaji wa mtoto huyo umefanywa na ndugu wa mume wa mwanamke huyo kupitia hukumu ya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwa...
  8. Nyahende Thomas

    Naomba kutoa hoja, wabunge hawa wajiandae kugombea majimboni 2015

    Ndugu wadau wa JF, Wakati huu tunapojipongeza kwa kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni, hususani chama mbadala CHADEMA, na baada ya kufahamu wabunge wateule wa viti maalum, basi naomba tuangalie mbele zaidi kwa kuutazama uchaguzi mkuu wa 2015 kwakuwa baada ya uchaguzi mkuu...
  9. Nyahende Thomas

    Hodi hodi wana JF

    Wadau wa JF, Napenda kutumia fursa hii kujitambulisha kwenu rasmi. Nimekuwa nikishiriki kwenye jukwaa hili kama mgeni, lakini sasa nimeamua kwa dhati kabisa kuwa mwanachama. Nimekuwa nikivutiwa sana na namna watu wanavyokuwa huru kutoa mawazo yao na jinsi yanavyojadiliwa aidha kwa kuungwa mkono...
Back
Top Bottom