Search results

  1. simaye

    Hongera sana RC Simiyu Ndugu Anthony Mtaka, wewe ni kiongozi kweli

    Anajua maana ya kuongoza watu!!!!
  2. simaye

    Askofu Shoo ukiendeleza Siasa madhabahuni utaabika tu

    Kwa hiyo kama kuna ovu maadamu linahusu wanasiasa basi Maaskofu wasiseme? Sidhani kama ni sahihi sana na ni bahati mbaya kuwa na watu wengi wenye fikra za namna hii
  3. simaye

    Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    Hospitali sio majengo mazuri ndugu, Huduma na upatikanaji wa vifaa muhimu na dawa pamoja na wahudumu wanaowiwa kuwahudumia watu kwa furaha si kwa hofu ya mtu fulani. Kwenda tunaenda lakini si sahihi kwamba kwa kuwa tunaenda basi madhaifu yake yasisemwe.
  4. simaye

    Hongera Dr. Bashiru, utajenga CCM Imara, CCM itapata viongozi bora na sio bora viongozi, itashinda kwa haki na halali

    Kwa maana hiyo unataka kutwambia kuwa ushindoi wa ccm huwa sio halali? Salaam kwako brother huwa nakuelewa vizuri sana ninaposoma maandiko yako.
  5. simaye

    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali

    Sijaelewa tatizo la ofisi ya Spika wa Bunge, Yaani walishindwa kuwaamini Mke wa Lissu, Kaka wa Lissu, Mbowe familia ya Lissu, kutuma mwakilishi aende na fedha cashau account ya CHADEMA na wakaona kuamini Hospitali ndio bora zaidi? Kweli hii ni sawa kweli, bado naona kama naota Je! ingetokea...
  6. simaye

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Lissu wakati huu Tanzania inakuhitaji kuliko wakati mwingine wote Nakuombea Mungu akuponye katika hili.
  7. simaye

    Kuibiwa Rasilimali: Watanzania ni Watu wa Ajabu Sana!.Tunalaani Matokeo Badala ya Chanzo?!. Nani Aliyetufikisha Hapa?.

    Hii nchi yapo mambo yanatia hasira sana, mimi nashangaa wabunge kupongezana wakati wao ndio chanzo cha hali zote hizi za kuibiwa kwa rasilimali za Taifa. Tumewatuma kusimamia serikali cha kushangazwa wao ndio wanaosimamiwa na serikali na wakati mwingine unaona bunge linaagizwa na serikalli...
  8. simaye

    Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Poleni sana ndugu watumishi wa umma, ila msije mkawa manatudanganya kuwa hali ngumu wakati sie tunaoana mnawajibika kwa kasi na bashasha nyingi. Tatizo kubwa miongoni mwenu ni kusalitiana sana, mwenye kacheo anajiona kama ndiye Mungu wa wenzake na hivyo anachofanya ni kupamba watawala na...
  9. simaye

    Nani anaweza kusimama na kuyapinga maneno ya Tundu Lissu yote aliyoyaongea kuhusu serikali

    Naona kale ka uhuru ketu ka kutoa mawazo yetu kwa ajili ya kuonesha kasoro na changamoto za viongozi wetu kamepotea kabisa. Kila mtu natoa maoni huku akisoma mara mbilimbili kuona kama maneno ya kawaida aliyotumia hayawezi kutafsiriwa kuwa ni matusi na ya kuudhi au uuchochezi. Duhh! Naona...
  10. simaye

    CHADEMA imekuwa dampo la CCM

    Kimsingi hakuna Chama ambacho kinajianzisha chenyewe bila ya wanachama wa chama fulani kujimega na kuanzisha tawi la Chama kingine. Vyama vyote vya Upinzani vimejimega kutoka katika chama cha mapinduzi, na kwa kweli tunahitaji wananchama wengi wa ccm wajimege zaidi katika kutafuta nafasi zaidi...
  11. simaye

    KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

    Darubini kali ya Maoudi kipanya, nami sijapata hasa wazo analojaribu kujenga kwa kutumia picha. Sawa Brother masoud!!
  12. simaye

    Nataka Rais Magufuli ashindwe

    Yeyote anayetaka kuzuia na kuzima taa inayowaka kwa vijana kupitia jamiiforum kwa vijana kupata habari alaniniwe na kila mtu. Ni vema nchi ikaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi na si mawazo na mtizamo wa mtu mmoja. Jambo l a muhimu ni watu wote kufahamu kuwa uongozi ni dhamana na...
  13. simaye

    Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

    Nafikiri hakuna mtu mnafiki hapa duniani kama mwanasiasa, kwanza ana mipango mingi ambayo yote anakuwa hajui hata namna ya kuitekeleza. Hakuna mtu anayesahau kile anachakisema kwa muda mfupi kama mwanasiasa. Na ni bahati mbaya sana kuwa kwa nchi za kiafrika hawa wanasiasa wanajua kuwa watu wao...
  14. simaye

    Waziri Angella Kairuki apewa onyo na Waziri mkuu kuhusu zoezi la uhakiki kutofikia mwisho

    Only in Tanzania. Watumishi watahaha sana lakini naona wanasiasa wanaendelea kula kuku kwa mrija kwa sababu mheshimiwa anaendelea kuajiri watu wake wa kuteuliwa.
  15. simaye

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Nasikitika kusema kuwa ukosoaji unaoufanya uko kichama zaidi na wala si wa kisiasa bali ushabikiuliopitiliza. Na wewe ni miongoni mwa wapinzani wake sasa kama hana elimu na yuko on the top of the popular political party fighting against a giant political party like CCm what else to say rather...
  16. simaye

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Kama mtu ambaye hajenda shule anaweza kuwa na uwezo wa kujenga hoja kama alivyo Mbowe basi ni bora shule zisiwepo!! Kama wasomi wanaweza kuwa na udhaifu katika kufikiri na kuleta hoja na kuzifanyia maamuzi kama inavyoonekana hapa nchini basi tuendako siko! Kama kila jambo tunafikiri...
  17. simaye

    Wito: Walimu endeeleni kurekodi matukio ya wanafunzi watukutuku ili kuwaumbua watu

    Tutajitahidi maana kama ni matukio mabaya ya wanafunzi tunayo mengi lakini kwa ajili ya kulinda haki na hadhi yao ya baadaye huwa hatuwezi kufanya hivyo kwa kuwa tunaamini kuwa kutokana na kuwashauri, kuwaadhibu na kuwaelekeza njia sahihi huwa tunaamini kuwa ipo siku watabadilika na kuwa watu...
  18. simaye

    Baada ya miaka 55, darasa bado liko hivi? Inasikitisha kwa kweli

    Kwa kuangalia mazingira, haya ni maeneo fulani ya mkoa wa Morogoro tu!! Elimu bora na hamasa ya watoto kusoma inatoka wapi kama si kuwachosha na kuwakatisha tamaa ya kuendelea na masomo
  19. simaye

    Zitto: CCM imechanganyikiwa

    Tatizo kubwa lililopo hivi sasa nchini kwetu ni wapinzani kukosoana wenyewe kwa wenyewe na hasa vijana. Yaani wanachadema wanataka kujiona kuwa wao ni bora zaidi kuliko CUF, CUF bora kuliko NCCR na NCCR bora kuliko ACT Wazalendo Jamani vijana wenzangu na hasa wa vyama vyote vya upinzani adui...
Back
Top Bottom