Search results

  1. M

    Jamaa aliyeg'atwa na askari aachiwa kidonda

    Kule kwetu angewekewa tu kinyesi cha kuku meno yote yangeoza ah ahaa haaa!
  2. M

    Afrika Kusini na ubaguzi wa rangi, picha hii yazua taharuki

    Ni kweli tena hata sisi tunabaguana aliye na ngozi nyeupe anajiona bora kuliko mwenye ngozi nyeusi hata kama wote ni wa Afrika
  3. M

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Pendo ningefurahi ukiniambia wanaume wa Dar ni akina nani kwanza kama nilivyouliza maana mimi sielewi? wake zetu wa mikoani huenda wanawapenda waume zenu wa Dar kwa sababu shughuli wako lege lege na wanawake wa Dar mnawafurahia kwa kuwa pia wao ni legelege ila sie wanaume wa Mikoani shughuli ni...
  4. M

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Msema kweli naamini umesema ukweli kama jina lako na ndio maana nilimuuliza mtoa mada kusini ipi akaishia kusema kusini ni kusini.
  5. M

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Pendo upo sahihi haipaswi kufikiria kijima ingawa pia ujima ni mfumo na ni hatua ambayo binadamu anaipitia, kwa mfano kwenye kufuata maji ujima au technolojia inaingiaje? kwa namna mwandishi alivyoandika nadhani mifano pengine ndiyo amekosea tu nadhani alitaka kutubeza au kuwabeza wanaume wa...
  6. M

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Nadhani ni technology advancement ndio inatofautisha kumbuka machinga wa barabarani ndio huja kuwa wenye maduka, hivyo kwa mchaga kubeba du sitegemei lakini kupalilia mgomba anapalilia kusafisha zizi la ng'ombe wa maziwa anafanya. Wajapan na wachina wanafanya sana kazi ila kwa kutumia advance...
  7. M

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Uko sahihi Pendo mke hapaswi kuwa bulldozer lakini pia hapaswi kuwa too laz, nadhani wengi tunakili kuwa Wachaga watafutaji na wanamafanikio sana lakini wote baba na mama wanahangaika, angalia huko kwenye wanawake mapambo juhudi za wanaume zao zinaweza kuwa kubwa lakini zikafifishwa na mwanamke.
  8. M

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Rudia kusoma vizuri utajua Mbeya na Mtwara hazijajumuisha bali zimetofautishwa kama unavyoamini wewe.
  9. M

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Safuha upo sahihi kusini ni kusini ila yaweza kuwa kila sehemu ni kusini inategemea refferencing point ni ipi? Kuna kusini mwa Ikweta, Kusini mwa Dar, kusini mwa nchi ya Tanzania. Hata kama alimaanisha kusini mwa Tanzania ambayo ni Lindi na Mtwara nitakataa ila kama ni Nyanda za juu kusini (...
  10. M

    KOROSHO NGOMA NZITO: Wakulima Watinga ofisini kwa Mkuu wa Wilaya kudai malipo yao

    Hatari zaidi ni kwamba tunauwa kilimo cha korosho nchini
  11. M

    Serikali kuwasajili na kuwapatia vitambulisho wakulima

    Du ngoja tusubiri tuone mwisho wake
  12. M

    Kwanini wanawake wengine wazuri na wengine ni wabaya?

    Wazuri ni tabia sura ni urembo tu.
  13. M

    Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

    Sio Vwawa ni Kisangani wa Mbeya century plaza na Kisangani auto spare msimbazi Kariakoo ila wamo pia wajomba, shemeji na wengine
  14. M

    Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Kuna Gamboshi haina mshindani
  15. M

    Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Iringa ni zaidi ya Dom kwa maadhari
  16. M

    Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Hii nami yangu Masaki Ununio Salasala Msasani ya mwl Magogoni Goba juu Bunju
  17. M

    Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

    Usitukane mkuu hizo gari ni moja majina wanabadili tu wajapan
  18. M

    Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Sio kweli kimbinyiko zuri zaidi
Back
Top Bottom