Search results

  1. M

    Bei ya dawa mseto yapanda

    Bei ya dawa MSETO ambayo kwa muda sasa imekuwa ikitumika sana na watu wengi hasa wa kikao cha chini Kuna tetesi kwamba kwenda ikapanda wakati wowote kutoka Tsh. 600/- mpaka 4000/- kwa bei ya jumla kwa dozi moja. Dawa hii iliyopendekezwa kwa kutibu malaria ilipungua bei baada ya serikali...
  2. M

    Ujenzi unaoendelea jangwani hauna athari zozote kwa mazingira?

    Ndugu wana jamii, Kila ninapopita jangwani nashindwa kupata majibu ya maswali yanayo zunguka kichwani mwangu. Je huu ujenzi unaoendelea hapa hauna madhara yoyote kwa mazingira? na je wanamazingira (NEMC) wameshafanya Enviromental impact assessment? kama wamefanya wameshauri nini? na je...
  3. M

    Kustaafu jaji augustino ramadhani ni shinikizo?

    Habari za Asubuhi wanajamii! Jaji Augustino Ramadhani amelitumikia taifa kwa nafasi hiyo kwa miaka mitatu tu! Mabo ambayo najiuliza ni je, Kikwete alipomteua mwaka 2007 hakujua kwamba amebakiza miaka mitatu tu ya kustaafu kwake kwa mujibu wa sheria? na je kama alijua hakuona kwamba...
  4. M

    Katiba mpya ni lazima na siyo ombi

    Ndugu watazania na watanganyika suala la katiba mpya ni la lazima na wala sio ombi, kwani tayari Zanzibar wameshafanya mabadiliko. na hayo yameifanya kuikiuka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inasema Tanzania ni nchi moja yenye pande mbili, hivyo kuifanya zanzibar ni nchi ni...
  5. M

    Elections 2010 kikao Mwanza

    Uslama wa Taifa na CCM mbona hiyo Barua hamuikanushi? Kinana ulitegemea mkutano huo wa uchakachuaji waalikwa na waandishi wa habari? Usitufanye wajinga watanzania.mnababaika.
  6. M

    Elections 2010 Mambo

    wanajamii, Hivi inaingia akilini kweli kwamba ni wa haki kama hili jambo/mabo yaliyotokea katika jimbo la segerea, kwamba mgombea anakamatwa na masunduku ya kura na ambayo hayaonekani katika kata fulani (Buguruni) halafu anatangazwa ndiye Mshindi? Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu sidhani...
Back
Top Bottom