Unajua kuna watu wao kila kitu ni kukashifu tu, ni aina hii ya ndege zinazofaa kwa mazingira ya Tanzania, hebu angalia viwanja vyetu vinagpi ni vya changarawe, na ni aina ya ndege hizi zinafaa kwa viwanja vya aina zote.
Bei ya dawa MSETO ambayo kwa muda sasa imekuwa ikitumika sana na watu wengi hasa wa kikao cha chini Kuna tetesi kwamba kwenda ikapanda wakati wowote kutoka Tsh. 600/- mpaka 4000/- kwa bei ya jumla kwa dozi moja. Dawa hii iliyopendekezwa kwa kutibu malaria ilipungua bei baada ya serikali...
Ili kuonyesha kwamba Mkuu kakerwa, atoe amri ya RPC Iringa akamatwe na mwema afutwe kazi. hiyo itamsaidia yeye na uongozi wake na pia kuitendea haki damu ya Mwangosi. " Msimwonnee dogo, alikuwa anatekeleza amri tu".
Ndugu wana jamii,
Kila ninapopita jangwani nashindwa kupata majibu ya maswali yanayo zunguka kichwani mwangu. Je huu ujenzi unaoendelea hapa hauna madhara yoyote kwa mazingira? na je wanamazingira (NEMC) wameshafanya Enviromental impact assessment? kama wamefanya wameshauri nini? na je...
Kwa hali hii nitaimbaje Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote ...................., Pole waandishi wa habari. Lakini sasa tambueni kwamba muda wa habari nyepesi nyepesi za kuwapamba watawala umepitwa na wakati, fuateni nyayo za Mwana Halisi, tuungane katika kukemea maovu, kuyaandika kwa...
nadhani sasa ni wakati kwa waandishi wa habari kusimama kidete na kutoa kila kitkeacho bila kificho tuone kama watayafungia vyombo vyote vya habari kama ilivyokuwa kwa mwanahalisi.
Kauli ya nchimbi kwa kusema Mwandishi Daudi Mwangosi ameuwawa kutokana na bomu la machozi ambalo halikulipuliwa kitaalamu, ni kauli angalau inayo kidhi haja. Na hivyo ndivyo inapaswa kwa IGP pia kutamka kwani naamini Nchimbi ametaarifiwa na IGP. Hivyo IGP na RPC Iringa wanapaswa kufukuzwa kazi...
Inasikitisha, inaumiza, laikini ndiyo hali halisi, hakuna mjadala pamoja na kujitetea kote lakini ukweli uko wazi; Polisi ndiyo wauaji, Hatudanganyiki!
Nakumbuka ya Soweto SA, sasa Arusha
FREEDOM IS COMING TOMOROW!
2002 Pemba - Nahodha - waziri Kiongozi Zenji, Sasa Arusha - Nahodha Waziri Mabo ya ndani TZ!!!????????? Haya nahodha
Nadhani hujui usemayo, usidhani kila mtu anataka kuingia ikulu tu! kama alivyo fanya kikwete, na ndiyo maana hataki kuona anaachia ngazi hata nchi ikimshinda! kwani lengo lake ni kukaa ikulu na si kuwatumikia wanachi.
Halafu wewe Tanzania ilipata uhuru wake lini na kutoka kwa nani? au...
Tunapowaongelea maaskofu tujaribu kuelewa sana kazi zao, Maskofu wanaiongoza na kuihudumia jamii Kiroho na Kimwili maana Huwezi kutenganisha mwili na roho.
Hivyo wanayo haki ya kuikemea serikali maana Nchi ya MUNGU na serikali huwekwa na MUNGU. Na ukiingia ndani zaidi Rais au kiongozi yeyote wa...
Hata kama Chatanda ni kauli yake, bado yeye ni katibu wa ccm wa mkoa hivyo makamba na chama chake wanapaswa kutoa tamko la kukaripia katibu huyo
kwa kauli ya makamba naona anakubaliana na kauli ya katibu wake, bado chama kinapaswa kuwajibika kwa kauli hiyo, siyo kukwepa
Wananch msiwe na Hasira sana na Polisi, kwanza nao ni wananchi wenzetu, wanachofanya ni kutekeleza maaigizo ya watawala kama walivyoapa kuwa watii kwa Rais.
Mbona mnasahau kwamba Rais wa Tz alisema atawaamuru polisi watumie silaha za moto? hivyo kuwatia vilema yeyote atakaye andamana...
inawezekana hata hilo tamko wameandaliwa wakapewa walitoe. Hivi kwenye hilo kundi kuna mstaafu yeyote wa iliyokuwa jumuiya ya afrika Mashariki? na ambaye bado anadai kiinua mgongo chake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.