Search results

  1. MataFire

    Fahamu kiasi cha pesa unacholipa kwa umeme unaotumia

    Jamani naomba kujua gharama za kuzalisha UNIT moja ya umeme kwa TANESCO
  2. MataFire

    Swali kwa Nape, katibu itikadi na uenezi CCM

    Ningekua mimi nape kwa hakika hili sijibu na liwalo na liwe huwezi kuuweka ukweli wazi kiasi hiki. Tafadhali naomba msinukuu kikakati ye kwani haitekelezeki
  3. MataFire

    Thamani ya damu ya watanzania ndiyo hii

    Nianze kwa kutoa pole kwa waathirika wote wa mabom ya Gomz. Poleni sana watanzania wenzangu. Katika maisha ya mwanadam hakuna kitu kisicho faa kufidia kama maisha/uhai wa mtu. Nini serekeli itatoa kufidia watanzania walipoteza uhai kule Mbagala na Gongolamboto? Je taarifa ya kamatia ya mabom...
  4. MataFire

    Jicho la tatu juu ya Milipuko ya Mbagala Na Gongo la mboto

    Asaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaante sana Mtanzania, Kuwa mtanzania sio kuwa mweusi Bali nikuonyesha moyo wa uzalendo kama huu, NAPENDA KUUNGA HOJA.
  5. MataFire

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Huyu mzee mchawi nini,mali kwake nizaidi ya uhai wa watanzania? hii ndio CCM, kwao mali nizaidi ya uhai wa watanzania.
  6. MataFire

    World Famous Dictators

    Hakuna anyeweza kuibaka siasa ya Tanzania milele. We all love our country na tunaumia sana kwa wenzetu waliokufa Arusha.
  7. MataFire

    Why Do So Many Marriages End in Divorce Nowadays

    Jamani watanzania, tusiwe wavivu wakusoma. Hii nihabari yenye utafiti haifai kufupisha. is not a story.
  8. MataFire

    Why Do So Many Marriages End in Divorce Nowadays

    The answer is always the same without fail or compromise. "Because we love each other." I tell them that is great, but love in a union is a given. Why else do you want to get married? :eating popcorn: I wait and I wait, and then I finally decide to help them out, by asking the woman first, (I...
  9. MataFire

    Why Do So Many Marriages End in Divorce Nowadays

    The times are changing is an expression that is often used but not all change is good. For marriages, the changes are expressed in ever increasing numbers of divorces. Why do so many marriages end in divorce nowadays? In fact, if we study the data over the last hundred years you will find that...
  10. MataFire

    Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    Nimeipenda hii. 1.Ila kwani urafiki wa jana nilazima kua waleo? 2. je upinzani niuadui? 3. Tupe chanzo cha habari, we need habari zilizofanyiwa utafiti
  11. MataFire

    Chadema (Mbowe): We recognise the president

    Najua watanzania tuko makini kuangalia nani kakosea nini na nani kauli yake imeitilafiana na nani. Kumbuka hotuba ya rais hairudiwi tena. so hata kama chadema wangeomba msamaha haiwezi kufuuta ukweli kua walitoka nje wakamwacha mkubwa na watu wake. Something to know, serekali ilipata pigo kubwa...
  12. MataFire

    Kama nikuchafua hapa CCM wanajiharibia

    ere
Back
Top Bottom