Search results

  1. nopygun

    Baada ya kutafakari sana, huyu ndiye nitakayemchagua kuwa rais wangu!

    Habarini wana jamvi.Nimekaa nikatafakari kiasi kwamba nashindwa kuelewa kwamba kuna mtu anaweza kushawishika na ahadi za ccm mpaka akakipigia chama hicho kwa sababu kwamba .1 kimeshindwa kujenga maabara hadi wanainchi wajitolee ndo wajenge.2.kama kujenga tu maabara kumewashinda je? Wataweza...
  2. nopygun

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Tupate Matokeo ya kura basi mbona kimya mdau wetu au had I oct
  3. nopygun

    Kwa Nini CCM Inango'ka?

    Trueeee
  4. nopygun

    Lowassa amfunika Magufuli Nairobi, Wasema ni kiongozi Bora

    Jamani wana jf naomba msaada njinsi ya kupost thread humu nimejaribu nimeshindwa mwenye kujuwa anisaidie huku nilipo kuna matukio mengi ya kujuzana tafadhari
  5. nopygun

    Lowassa, Jeshi la mtu mmoja dhidi ya wafa maji CCM

    Kamanda hilooo
  6. nopygun

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawaaaaaaaaa juu
  7. nopygun

    Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Hatuongei Sana tukutane October team mabadiliko mpaka kielewek
  8. nopygun

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Huyo makufuli pombe ni mzur ila chama kibovu hata uweke jiwe na SSM nitapigia jiwe team lowassa mpenda maendeleo
  9. nopygun

    Edward Lowassa special thread

    Kama kawa team ngoyai had kieleweke
  10. nopygun

    Haya mambo mengine ni hatari - Risala fupi ya marehemu CCM

    Ingawa inauma acha aende2 aliteseka Sana siku za uhai wake lambilambi tunaluhusiwa jamani mwenye chochote ajitoe
  11. nopygun

    CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Karibu baba tunakukaribisha mkomboz wa taifa hili team mabadiliko had kieleweke
  12. nopygun

    Zembwela wa East Africa Radio, kama wewe ni CCM pole

    Huyu jamaa anakera Sana kila siku huponda vyama pinzani kwa kivuli kwamba hafungamani na chama chochoke mi na ona ni unafiki anashindwa kusoma magazeti kisa porojo zake na kumnyanyasa mdada wa watu kwa kumunyima kuchangia chochote na kuweka nyimbo za vijembe hadhi inashuka broo jifunze kauli nzuri
  13. nopygun

    Elections 2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

    Tunakuunga mkono sisi wote wana ukawa kaz nzur
  14. nopygun

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    Harak haina baraka tulia kwanza waafikiane sio kukurupuka
Back
Top Bottom