Search results

  1. ikipendaroho

    Naomba kujua bei za jumla za dagaa Dar

    Salam za mwaka mpya wadau. Kuna rafiki yangu kaniomba nimtafutie bei za jumla za dagaa kavu katika soko la Kariakoo. Yeye anataka kusupply hapo sokoni. Naelewa huwa zinabadilika kutokana na demand and supply. Ningefurahi ikiwa mdau atanipatia minimum-maximum prices au hata average prices. 1...
  2. ikipendaroho

    TBS wanarudisha nyuma utoaji wa mizigo bandarini

    Wadau salamu zenu Wakati mh Rais John Magufuli alipotoa maagizo kwamba wadau wote wanaohusiana na masuala ya bandari katika utowaji wa mizigo wafanye kazi kwa masaa 24 ili kuongeza uzalishaji na kupunguza usumbufu kwa wateja, TBS wao bado wanakwamisha zoezi hilo kwa kufanya kazi kwa masaa...
  3. ikipendaroho

    I am Tundu Lissu!

    Kwa kumuunga mkono jemedari wetu Mtanzania mwenzetu, mzalendo nambari 1, inaemuuma nchi yake, I solemly declare before my fellow countrymen, loudly and clearly, " I AM TUNDU LISSU"
  4. ikipendaroho

    Manispaa idara ya mazingira tendeni haki

    Sote tunafahamu ukweli wa kwamba Manispaa zote nchi nzima zimerudi kufanya kazi karibuni tu baada ya uchaguzi na nyengine kuchelewa zaidi hasa Manispaa za Ilala na Kinondoni kwa hapa Dar Es Salaam! Kinachonisikitisha ni kuona watunza mazingira wengi wao kina dada katika kazi za usafi wa...
Back
Top Bottom