Search results

  1. Mlamoto

    Hatimaye Startimes watoa taarifa rasmi kuhusu channel za bure

    Mbona sijaona ulichoeleza hapa. Ninavyojua ni kuwa inatakiwa chaneli zilizoainishwa na TCRA zionyeshwe bure - yaani bila kulipia. Hayo maelezo yako ni marefu na ya kuchanganya. Hata bila kununua kingamuzi chenu cha Star time. FTA zimekuwepo miaka nenda rudi. kwanini ninunue king'amuzi chenu...
  2. Mlamoto

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Comme si je n'existais pas Elle est passée a cote de moi Sans un regard, reine de Saba J'ai dit Aicha, prends, tout est pour toi Voici des perles, des bijoux Aussi l'or autour de ton cou Les fruits bien murs au gout de miel Ma vie, Aicha, si tu m'aimes J'irai a ton souffle nous mènent Dans les...
  3. Mlamoto

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hahaaa unachekesha! Petutemwa! Aha haha Wimbo unaitwa Aicha. Maneno yenyewe ni ya kifaransa Aicha écoute-moi! = Aisha nisikilize!
  4. Mlamoto

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ha Huu hapo chini wa Njohole na National Service. Salaam kwa Baba Na mama!
  5. Mlamoto

    Abeti Masikini - Cherie Bade

    Nao huu hapa chini Unaitwa Djarabi-Adjatou Wa Pepe Kale. Adjatou binti wa kutoka Burkinabe.. Burkina Fasso...Ouagadougou Adjatou, wewe ni mojawapo wa mifupa ya mwili wangu, damu inayozunguka katika vena zangu, nipe maisha. instrumental Adjatou, binti wa Ouagadougou(wagadugu) nakusihi...
  6. Mlamoto

    Abeti Masikini - Cherie Bade

    Hii hapa
  7. Mlamoto

    Abeti Masikini - Cherie Bade

    Pouwa nitaupost hapa baadaye!
  8. Mlamoto

    Abeti Masikini - Cherie Bade

    Abeti Masikini - Cherie Bade Mpenzi Bade Lobela ngai, Bade eh Nini ngai na sala mpote na mona ba pasi Ya ndenge boye Niambie Bade nimefanya kosa gani kupata mateso ya kiasi hiki. Libala maman ah Ewuta na paradiso oh Nzambe tango asali mobali Amoni kaka eloko mosusu ezali ko zanga Aye ko...
  9. Mlamoto

    Jimbo la Chemba anakotokea Juma Nkamia aliyetaka Magufuli aongezewe muda

    Na wachina wamejikita Chini ya mlima hapo Chemba. Ni marufuku kwa mtu yoyote kukatiza nyuma ya hiyo milima kwa mujibu wa mkazi mmoja hapo. Inasemekana watu wameishapotelea chini ya huo Mlima. Watuambie wachina wanafanya nini chini ya Mlima huo?
  10. Mlamoto

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Enya Only Time imekataliwa na Amazon
  11. Mlamoto

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    NYIMBO ZINGINE MLIZOOMBA Papi_Kocha_ft_Lady_Jd_-_Moyo.mp3 Enya_-_Only_Time_-_Sweet_November.mp3 Patricial_Hilary_-_Zao.mp3 Nayba_-_Uje_.mp3 Mambo_Vipi%28Uncut%29_-_Mchizi_Mox.mp3 Kikosi_Cha_Mizinga_ft_Bele_9_-_Maisha_Yangu_Ujumbe_Tosha.mp3 Juma_Nature_ft_Mr_Paul_-_Kigeto_Geto.mp3...
  12. Mlamoto

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Download Hizo Nyimbo kwa Waliozihitaji; P-Funky_-_Please_Forgive_Me.mp3 Mr_-_Ebbo_-_Mi_Masai.mp3 Jambo_Squad_-_Wakusindikiza.mp3 Africa_Liberation.mp3 Enomic_-_Ziggy_D.mp3 Huruma_Kwa_Wagonjwa.mp3 Kali_P_-_Tumbo_Joto.mp3 Kcee_ft_Diamond_Platnumz_-_Love_Boat.mp3...
  13. Mlamoto

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo wenyewe ni wa muda na una maneno yafuatayo; "Siyo kusema kuwa nakupenda saana. Lakini ni nani wa kusema kuwa sikupendi. Hayo ni maumivu ninayosikia, ninayosikia tuwapo mbali mbali.x2 Mimi naelewa kuwa ni makosa kuwa mbali mbali muda mrefu. Nikamwambia kila anaye kuhusu nikakupigia pia...
  14. Mlamoto

    Msaada: Nimeokota kifaa lakini nimeshindwa kukitambua

    ^^ Hiyo hapo juu ni lugha gani? Hausomeki!
  15. Mlamoto

    Can Halotel be sued?

    Kuna watu pia wana tatizo hilo. Msiwe wepesi kutoa hukumu/tuhuma katika mtazamo wako wewe! Soma hii thread Halotel mtandao unazingua kwa Dar?
  16. Mlamoto

    Can Halotel be sued?

    My reasons for that assertion is: just before I posted this thread I made an effort of contacting several persons I know up country, I got the same reply! They didn't have connection. That is what prompted me to!
  17. Mlamoto

    Can Halotel be sued?

    Thanks for your reply!
  18. Mlamoto

    Can Halotel be sued?

    Labda! Lakini mimi nasema kilichonikumba. Hata ofisini kwao nimekwenda ndipo nikapewa jibu kuwa kuna upgrade. Kwa wiki nzima?
  19. Mlamoto

    Can Halotel be sued?

    Thank Thanks alot, maybe your cc quote prompted them to act
  20. Mlamoto

    Can Halotel be sued?

    Kama unafanya kazi Hapo Halotel na kujaribu kuwakingia kifua ni sawa tu. Mimi nasema kilichonikumba. Sina other interests!
Back
Top Bottom