Search results

  1. E

    Brain challenge

    Apple moja=7 Ndizi 3=6, Ndiz Moja =2 Mkungu Wa Zabibu 12 =12 , zabibu moja =1 Hivyo inakuwa apple 2+zabibu 11 +ndizi 1= 14+11+2=27
  2. E

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    katika mada zilizochangiwa kwa nidham hii ni mojawapo, mara nyingi ushaur wa jf huambatana na kashfa ila hapa shwar.
  3. E

    Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

    WWE is doing the best for their bussiness.
  4. E

    Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

    good..!
  5. E

    AHADI TU-1995,2000,2005,2010 na sasa 2015

    Imekula kwenu, shule za kata zimetufumbua macho wasomi ni wengi sasa, hatudanganyiki na ahadi zenu za kofi, tshet, khanga, madera na ahadi zenu za uongo, watoto washule hatudanganyiki tunataka mabadiliko.
  6. E

    Aliyekuwa Mke wa Dr. Slaa, Rose Kamili amshangaa Dr. Slaa kuwashambulia Lowassa, Sumaye

    asante mama, R.I.P Slaa katika safari yako ya siasa. tumesikia pumba zako, tunaomba kukuarifu tu kuwa umeendelea kutuaminisha kuwa lowasa anafaa. Dr. kamwambie aliyekutuma kuwa nimewakuta wakali kweli na wameniambia wameshindwa kubadili misimamo yao chaguo lao ni lowasa, labda wakampe hela na...
  7. E

    Mbowe unatuachaje?

    Hakuna kitu kama hicho ndugu, mpambanaji wa kweli hawezi kuacha chama kwaajili ya mtu, mwenye akili timamu na mwenye kujua mabadiliko hata kaa arudishe kura yake ccm. labda hao ni wale wa kutengenezwa. tungeamini hilo mkuu wangehamia vyama vingine vya upinzani na sio huko ccm.
  8. E

    Asante Mh. Mbowe!

    Kwa bahati nzuri, hata upinzani wawe na udhaifu mkubwa kiasi gani, nitabaki upinzani kuliko kuirejesha CCM madarakani. pole kwa unafiki wako Slaa, huku kwetu umepuuzwa.
  9. E

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Dr, Kiukweli Sijapenda Alichokifanya hii ni Kuididimiza nchi, tunataka tujue uongozi wa ukawa, hawa wengine tayar hawafai. sasa dr. anamshambulia fisadi mmoja kaacha wale 10 kwenye list yake. hii ni wazi kuwa wale ambao hawakutajwa na dr. ndio wamemwezesha kumchana rais mtarajiwa. naomba EL...
  10. E

    Uzinduzi wa kampeni za uraisi UKAWA kupitia CHADEMA

    Safi Sana, Endele Kutujuza
  11. E

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mbona kuna uzi mwingine kama huu wenye kuleta updates za maana umeondolewa? huyu sie huku hatu muelewi nahisi katumwa na huku hakuna umeme.
  12. E

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mleta Uzi Unaboa sana, sasa Tunahamia Uzi Mwingine Unaoleta Upadtes, Unakuwa Kama CCM.
  13. E

    Ushauri: Mumewe wa ndoa ameoa mke mwingine, anagoma kumpa talaka

    afuate hatua tu, amshtaki katika mabalaza husika, haki yake atapata fasta.... teh teh teh au ahame hapo anapoishi aende sehemu nyingine, na akirudi awe mjamzito then amuombe taraka hapo atatoa tu.
  14. E

    Nachukia wanaume wanaopenda kuchezea wadogo wa wenzio

    wasikudanganye mwenzangu we endelea kuwachukia, ila ipo siku utawafurahia.
  15. E

    Kwanini Huenda UKAWA Wameshashindwa Uchaguzi Huu Kabla ya Kufanyika!!

    non sence, jaribu kutoa unacho kijua sio cha kukaririshwa. haiwezekan kukosa point nakupost ujinga huo huo kila siku. haya potea...! kawatawaze mapapa wa ufisadi huko ccm, el ni mkombozi wa kutokomeza mafisad kupitia ukawa, kumbe ndo mana mpo matumbo moto na kutoa uhalo humu ndan.
  16. E

    Ee Mwenyezi Mungu, asante kwa Lowassa na Sumaye, sasa tunaomba utuletee Warioba!

    Twaomba Na Makamu Wa Rais Aje, Twakuomba Utusikie
  17. E

    Kamati kuu CHADEMA mmerogwa au CCM imewaingilia?

    ni kweli hawa wameamua kuanzisha uzi wao, wote wakiwa upande mmoja kwa lengo la kukigawa chama. poleni sana hzo ni stail tu za kufa. kwa muda huu ni vema mkakojoe mlale huo ni mchezo wa kitoto. watz sio watoto wanajitambua.
  18. E

    Je, UKAWA ni chama kipya? Wako wapi Lissu, Slaa na Marando?

    povu linamtoka, zero gram brain. naona unalopoka tu, usichanganyikiwe sanduku la kura ndo bado.
Back
Top Bottom