Search results

  1. O

    Tundu Lissu: Anayelishwa na kodi zetu ndio anasema Tanzania hakuna njaa

    Zile tuhuma za kushiriki kukiuza Chama kwa Nyeupe hadi leo hajakanusha. Tumwamini yeye ni nani? Mchumia tumbo mkubwa huyu, kama wanasiasa ni wanafiki huyu ndo babu wa unafiki. Hachelewi kuyatakasa matapishi yake na kuyala huyu! Hivi leo Tundu Lisu amekuwa ni mtu wa kumsifia Kikwete? Naanza...
  2. O

    Haikuwa sahihi kwa Rais kuwaita wapinzani "Nonsense"

    Wa Wamechaguliwa kwa kuwa wao ndo wenye akili au weledi huko majimboni kwao? Basi huko hata mbu anaweza kuwa kiongozi wa watu.
  3. O

    Haikuwa sahihi kwa Rais kuwaita wapinzani "Nonsense"

    Kama Lema anaweza kutumainiwa kuwa ni kiongozi, duh! majanga!!!
  4. O

    Haikuwa sahihi kwa Rais kuwaita wapinzani "Nonsense"

    Watu kama Lema, Sugu, Mdee wasipoitwa nonsense waitweje? Hivi unapoongea vitu visivyokuwa na mashiko, kiingereza chake tabia hiyo itaitwaje? Au kwako wewe "nonsense" ni tusi?
  5. O

    UKAWA mjitafakari, mmepwaya sana

    Upinzani umeishiwa charge! Tundu Lissu naye kawa bubu hasa katika bunge hili ambalo Dk Tulia ni Naibu Spika. Inawezekana kuwa huyu Lissu ni kilaza eeeh?. Mbona kwa Makinda alitamba?
  6. O

    Kosa kuu la tatu la UKAWA

    Una maana KILAZA?
  7. O

    Kosa kuu la tatu la UKAWA

    Hivi Mbowe ana elimu gani? Kama huyo ndo engine ya wapinzani TZ basi safari ya wapinzani ni ndefu saaana! Hoja hupingwa kwa hoja, hivyo wapinzani kujinunisha na kuondoka bungeni utoto huo hadi lini? Ivi bunge pia linafanya majukumu sawa na Vyuo au shule kuwaelimisha baadhi ya...
  8. O

    Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) chini ya Juliet R. Kairuki

    Ungetutendea haki kama unge -declaire interest yako kuhusiana na hii ishu!!! Inavyoonekana unayajua mengi lakini umechagua ya kuandika kwa faida yako mwenyewe wala si kwa jinsi ukweli ulivyo! Sisi wote tunaishi katika jamii moja!, hata hivyo yapo mambo hujayaeleza sababu yaweza kuwa umeamua kwa...
  9. O

    Kwa aibu hii ya mara ya pili, wahusika mbadilishieni Rais mpambe wake

    Ushauri wako ungefuata baada ya kujibiwa maswali. La sivyo jibu maswali yako tutambue kuwa unajua!!!
  10. O

    Dr. Mashinji: Mwaka 2020 CHADEMA tunachukua nchi

    Mashinji?????? Ndo nani huyo?
  11. O

    KUB, Mbowe auchambua utawala wa CCM chini ya Magufuli: Umejaa uvunjifu wa Katiba, Sheria

    Mbowe ni jipu!!! Na kama huo upinzani unategemea akili za Mbowe basi wanashida kubwaaaaaa. Mbowe huyu anayewaugeza geuza hao nyumbu wake atakavyo!!
  12. O

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    CV yake, Mamvi anaifahamu saaana!
  13. O

    CHADEMA sasa ijipange kweli

    Chadema? mmmmmmh! dhambi ya usaliti itawatafuna saaaana! Watabadili gia angani hadi gia zote ziishe! Yani hao jamaa nawaona bado kabisa. Kwa mwendo wao wa sasa, labda uwezo wangu wa kufikiri upungue saana, labda ndipo watanishawishi; tofauti na hapo wajipange saaaana!
  14. O

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    niseme hivi au niandike hivi? Its a continous process! if your teacher is your role model, go and ask him/her whether am wrong.....! then come back for arguments, perhaps.........!
  15. O

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Learning is a continous process, being objective is the greatest of all in ledaership!!
  16. O

    Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

    Uliona tetesi? Kwa hiyo unamlaumu kiongozi wako kwa " KUONA TETESI?. Halafu siasa za chuki zitawamaliza Chadema! Kama kweli we ni mkweli na una uchungu na Chadema yako, hujui kuwa Mbowe na Lissu ni majipu kwenye Chama?. Au viongozi wenye uwezo wameisha? Hivi inakuwaje Chama chenye jina kubwa...
  17. O

    Lowassa akiwa CCM alidhibitiwa na Mangula, huku CHADEMA nani atamuweza!?

    Biashara imekwisha na chenji yako usharudishiwa! Chadema nini kulialia tena? Mi nimekubali kuwa CCM ni taasisi imara na hakuna tena katika vyama vyoooote. ENL mwenyewe alikiri pale arusha aliposema " msinishangilie sana , Mangula asije akanishughulikia" hata hivyo bado CCM ilimshughulikia!!! Ili...
  18. O

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Kama kweli wanajichimbia shimo, kwa wapinzani wenye akili timamu hiyo ni fursa kubwa! Ila umakini unahitajika kutafsiri kuwa kweli ni shimo!!! Shimo walilochimba Chadema kuwafukia LIST of Shame nani kaingia?
  19. O

    sudani kusini na sudani kasikanzini wanasaka mariadhiano ss tunaimarisha vikosi

    Hoja hii kama ya kubenea vile!!! Unadhani wanaharakati wa haki za binadamu wakipewa ardhi na kupewa mamlaka ya kuanzisha Nchi, unadhani maisha katika hiyo nchi yatakuwa sawa na peponi?.
  20. O

    Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

    Ondokana na uvivu wa kufikiri, ama sivyo unafanya makusudi. Kwani ni sahihi Rais kuvaa vazi la Chama chake kwenye Sherehe ya Chama chake?
Back
Top Bottom