Search results

  1. J

    Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

    Inawezekana kabisa... nimejenga gorofa 1 bila kutumia nondo, matofali ya chini ni ya inch 6 na yamelazwa.. nyumba ni imara haina nyufa zozote.. mwaka wa 15 sasa
  2. J

    Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Arusha

    Ningependa kujua pia
  3. J

    Kazi gani itamfaa Tundu Lissu baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Nchi siyo yenu subiri uchaguzi
  4. J

    Natafuta lodge iliyojificha maeneo ya Kigamboni

    Ndiyo, Mdawi siku hizi imechoka sana
  5. J

    Natafuta lodge iliyojificha maeneo ya Kigamboni

    Siku hizi kuna lodge mpya karibu na Mdawi inaitwa Prideinn beach lodge, ipo poa sana na bei zake kama Mdawi
  6. J

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Yule ni msomi tena si mchumia tumbo, wakimfukuza atapata kazi popote pale duniani...meseji sent ameitendea haki taaluma yake
  7. J

    Ushauri kwa Azam tv kipindi hiki kigumu cha kufungiwa local channel

    Siyo kweli... ukiondoa local channels hawana jipya.. wengi ata wakinunua decoder zako wataangalia local channels tuu ambazo ni bure... malipo ya mwezi hakuna atakayelipa
  8. J

    Mtanzania ninayeishi China - Liaoning province. Niulize chochote kuhusu China

    Hamna kitu hapo ulichoandika... geresha tuu hujui kitu
  9. J

    CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Una akili finyu sana... acha kuleta siasa kwenye biashara za watu, wenye hisa ndiyo wenye mamlaka ya kuchagua MD wao... ndiyo maana tutabaki kuwa nyuma na tutaendelea kuwa hivyo milele
  10. J

    Morogoro: Zitto Kabwe akamatwa, ahojiwa na kuwekwa ndani. Atoka kwa dhamana

    Polepole yupo Arusha kwa kazi za chama, mbona hakamatwi!?
  11. J

    Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

    Anayefaa ni nani! Lipumba?
  12. J

    Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

    Anzisha chama chako achana na CHADEMA
  13. J

    Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Pathetic!! Wewe nawe utajiita Great Thinker, au ndiyo kuendeleza ukabila maana wahaya tunawajua..
  14. J

    Freeman Mbowe alifuata nini kwenye Uchaguzi wa Meya wa Kinondoni?

    Huyu jamaa kila siku kwenye mitandao, kazi unafanya saa ngapi?
Back
Top Bottom