Search results

  1. VoiceOfReason

    Serikali ya Madalali na Vishoka Pamoja na Sera za Kuuza Nchi

    Hakuna pesa za elimu ya bure na afya ya bure…(ni kweli kwa sasa na kwa mtindo huu hizi pesa hazitapatikana, tutaendelea kuwa omba omba mpaka miaka 1000 baada ya uhuru..!!) Kwa kauli ya Waziri Mkuu mwenyenye Mh. Pinda alisema inachukua 10% tu ya watu kulisha nchi nzima.. (nakubaliana nae...
  2. VoiceOfReason

    Turudi Kwenye Ujamaa : At least Kwenye Kilimo

    Hivi kuna faida gani ya kubinafsisha mahekari na mahekari ya ardhi..? Hivi kwa sasa tatizo ni kwamba hatuwezi kuzalisha (wakulima hawawezi kuzalisha) au hakuna miundo mbinu ya kuweza kufikisha mali sokoni kutoka vijijini. Kwanini tulete wawekezaji kutoka India na pengine na kuwapa ardhi yetu...
  3. VoiceOfReason

    Mtaji Wangu wa THANKS, wote umepotea.. Hii Hiii iiiiii :(

    Duh post takriban elfu 5 sijawahi kutoa wala kupokea Thanks hata moja..!!! Nilidhani nina mtaji wangu tayari, ukiona hivi unaweza kusema huyu Jamaa ni mchoyo kweli kweli..!!! Ngoja nianze kuzunguka na kutafuta mapost ya watu na kumwaga mi-Thanks... By the Way Have A Nice Weekend... Join Date ...
  4. VoiceOfReason

    Ndugu Julius Mtatiro: Naomba kuelimishwa..!!!

    Baada ya kuona maelezo yako kuhusu sababu ya kushindwa hapo chini; nimeona ni vyema na mimi nikaelimishwa sababu huenda na mimi sielewi kama hao wananchi wengine.., Hivyo basi mwanajamvi mwenzangu ukweli huo ni upi kuhusu hizi so called propaganda..? Je ni kweli kwamba wananchi hawaelewi...
  5. VoiceOfReason

    Frozen Bird Story : A Joke With Morals....

    Just thought I would Share....!!!!!; Enjoy
  6. VoiceOfReason

    The Relationship Golden Rule (Sheria za Mahusiano..)

    ….. There are No Golden Rules…… Kinachofaa kwa Hamisa.., hakifai kwa Mwajuma… (one size does not fit all....) Hata ule msemo wa “do onto others as you would have them do onto you” nadhani haufai…, the only recipe nadhani ni kufanyia wengine yale ambayo wenyewe wanataka kufanyiwa… Si busara...
  7. VoiceOfReason

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Heshima Mbele Mkuu na Hongera kwa Kazi Nzuri.... Ni kweli kwamba nyie sio wakusanya Kodi lakini tulipofika tunahitaji msaada sababu kinachofanyika sasa hakifanyi kazi…. Plan A: Serikali, Waziri Ngereja na watu wake wameshindwa kazi kinachoendelea sasa ni usanii na watu hatupewi majibu...
  8. VoiceOfReason

    Tatizo la Watoto wa Mitaani : Nini Kifanyike

    Wakuu kila mara nikipita mitaani na kuona watoto wamejaa mitaani naona "Time Bomb" tunatengeneza majambazi wa kesho na watu ambao hawana skills wala mbele wala nyuma. Ni mengi yamefanywa kama ifuatavyo:- Kutengeneza NGOs za kuwalea watoto (ingawa hizi nyingi zimekuwa kama njia ya wachache...
  9. VoiceOfReason

    Wise Quotes by Mwalimu Nyerere: And not so Wise by Others...

    Wise Quotes from Mwalimu Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni"*********************** 'Hakuna...
  10. VoiceOfReason

    Roman Abramovich : The Self Made Billionnaire

    Akiwa mtoto yatima (mama alifariki akiwa na mwaka mmoja na nusu na baba yake alifariki kwa ajali akiwa na miaka minne) Kwa sasa ni mtu wa nne kwa utajiri Russia na mmiliki wa Chelsea FC. Alifanyaje Kupata Utajiri Wake Alivyokuwa Jeshini alifanya biashara ya kuwauzia mafuta ya wizi wanajeshi...
  11. VoiceOfReason

    Upangaji Bei (Price Control); Has it & Can it Ever Work ?

    Wengi wanao-advocate price control wanasema kwamba hii ni njia ya kuwa-protect watu wengi na wafanyabiashara ambao watapanga bei kubwa ili kupata faida kubwa ; Lakini Je hii ilishasaidia sehemu yoyote na inaweza kufanya kazi zaidi ya kwenye vitabu (theoretically not practical) Nimejaribu kutoa...
  12. VoiceOfReason

    Asili ya UKIMWI ni nini?

    Aids ilitokea wapi...? baadhi ya theories zinazopatikana ni kama ifuatavyo:- Ilitokea kwenye African Monkeys Ilitokea kwenye Americans laboratory kwa bahati mbaya Ilitengenezwa kama biological weapon Au ilikuwepo tu tangia zamani lakini as the time goes on virus akapata nguvu na ku-mutate...
  13. VoiceOfReason

    Good Guys Finish Last: If you Can't Beat them, Should you Join them?

    Can you succeed in an unfair game by playing fair? Je ni busara kuacha kulipa rushwa wakati ungelipa kazi yako inanyooka? Kuacha kutoa 10% wakati usipotoa haupati tender? Kuacha kuchezea invoice na kupunguza gharama ya mizigo hence kulipa ushuru kidogo wakati competitors wako wanafanya hivyo...
  14. VoiceOfReason

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    "Why do we Kill People who Kill People to Show that Killing People is Wrong ?" Je ni sawa kuwa na Hukumu ya Kifo? Baada ya yule Chizi wa Norway kuua kadamnasi ya watu (ukizingatia Norway life Sentence ni limited kwa miaka 21 tu) Je ni muhimu kuwa na hukumu ya kifo? Ni nini hasa faida ya...
  15. VoiceOfReason

    Ni Chama Kipi kina mawazo mazuri? Kama vyote hafivai, should we be allowed to Vote Non of the Above?

    Wakuu kati ya CUF; CCM, TLP, NCCR MAGEUZI na Chadema ni chama kipi chenye mawazo bora na yanayotekelezeka..... Kwa CCM ni kipi bora walichotufanyia?, Kwenye kupiga Kura je inafaa kuwe na BOX la wote hawafai?, kwa wale wasiopenda vyama vyote vilivyopo? Je ni wakati wa muafaka kuwa na Mgombea...
  16. VoiceOfReason

    Best Music Lines (Lyrics)

    Nadhani tunakubaliana kwamba kwenye kila, "usiniseme, kama napenda kula" au "Namtafuta Bata wangu yule wa Rangi Nyeusi" pia kuna ma-genius wanakuja na kazi ambazo maneno yake yamepangika na yana ujumbe uliokwenda shule... mfano:- Wanajamvi tukumbushane Music Lines zilizokwenda Shule....
  17. VoiceOfReason

    A Musical Condom; Great Idea or Just Plain Crazy (WEIRD GADGETS)

    Mhh Are These Great Ideas..., au ??? Musical Condom Thanks to an Ukrainian scientist who invented the musical condom. A baby loudspeaker and motion sensor entrenched in condom’s upper puff produces an array of musical tones during the course of love-making. And you know what? The condom’s...
  18. VoiceOfReason

    Kutengeneza Almasi, From Your Loved Ones Remains.!!!! (Diamonds are Forever..)

    Tunajua kwamba almasi ni carbon; na inatengenezwa kutokana na High Pressure and Temperature over a long time. Na hivyo ndivyo natural diamond inavyotengenezeka..., Hiyo basi mtu yeyote anaweza kutengeneza almasi kwa kutumia Pressure kubwa sana na Joto la kutosha kwa muda wa kutosha...... Najua...
  19. VoiceOfReason

    Kilimo cha kutegemea mvua; Viable business au bahati Nasibu?

    Wakuu kila biashara ina risk.., na wote tunajua kwamba uwezekano wa kulima na mvua kutonyesha ni mdogo sana na ukilima mara tatu atleast mvua itanyesha mara zote tatu au mbili na utapata faida na mazao ya kutosha Kuna Jamaa yangu ninamjua yupo Manyara huwa kila mwaka anakodisha mashamba na...
  20. VoiceOfReason

    Umeme wa Solar : Nini Kinahitajika na Kiasi Gani..?

    Wakuu nimeona tuanzishe Mada ili tuone ni kiasi gani kinahitajika ili kuanza kutumia umeme wa solar:- Equipments solar panels changing controller (kuhakikisha battery haiwi overcharged) battery inverter (kubadilisha dc to ac) Jinsi ya kujua unahitaji panels ngapi kwa matumizi yako:- Angalia...
Back
Top Bottom