Search results

  1. C

    Mkuu wa shule awataka wazazi kuendelea kuchangia michango ya shule

    Mkuu wa shule ya sekondari Usangi day, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro amewahimizia wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo kuendelea kuchangia michango kama kawaida. Mkuu huyo wa shule amesema kuwa kila mzazi anatakiwa kuchangia cement mfuko mmoja,hela ya mlinzi,hela ya taaluma na...
  2. C

    Interview ya Paul Makonda na E-FM Radio

    Wadau, Muda si mrefu mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda atakuwa live E-FM radio akizungumzia maswala mbali mbali. Tujumuike pamoja katika uzi huu nitawaletea atakachozungumza. ======== Ameshaanzaa kuongea muda huu, na anasema mabadiliko yaliyopo sasa hayaepukiki kabisa na wapo...
  3. C

    Msaada: Nataka kununua helcopter

    Kwenye Biblia Kuna Mstari Unasomeka "kipimo Utakachojipimia Ndicho Mungu Atakachokupimia." Kiukweli Mimi Sina Gari Wala Baiskeli, Ila Kwa Sababu Ninajipimia Kuja Kumiliki Helcoper, naomba Msaada Wenu Wa Soko Zinapouzwa, gharama Zake In terms Of Dollars Na Aina Ipi Ni Bora. Karibuni Kwa Maelekezo
  4. C

    Mfaham binadamu wa kwanza aliyegundua kusoma na kuandika

    kila kitu kina mgunduzi wake wadau,wadau ni nani alikuwa mtu wa kwanza kugundua kusoma na kuandika hapa duniani?
  5. C

    Panya Road wamevamia Kinondoni Moscow

    Kuna taarifa zimerushwa na kituo cha radio cha E-FM Radio muda huu kuwa panya road wamevamia maeneo ya Kinondoni Moscow na sasa wanaelekea Mkwajuni. Mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhari.
  6. C

    Hivi kuna tofauti kati ya tapeli na mwanasiasa?

    Wote wanapata ulaji kupitia uongo ambao mjinga anausadiki. wote huwa wataalam wa kuongea na ni wataalam wa kupangilia maneno.wote huwa na dalili za wizi.wote huwa karibu na maafisa usalama/askari ili kulinda maslahi yao.wote huwa na harufu ya kwenda jela.je,unaamini wanatofautiana?
  7. C

    Live updates: maazimisho ya sherehe za uhuru na zoezi la kufanya usafi nchi zima

    Ndugu wanajamvi naomba tujumuike wote kupeana taarifa za maazimisho ya sherehe za uhuru zinazoendelea nchi nzima kwa kufanya usafi. wilaya ya kinondoni,makam wa rais bibi samia suluhu ataungana na watanzania kufanya usafi kuanzia morocco hadi magomeni,akiwa pamoja na paul makonda na viongozi...
  8. C

    Msaada: mwenye kuifaham shule ya mh Tibaijuka

    wadau naombeni mnisaidie shule inayomilikiwa na mh tibaijuka iliyopo dar nataka nimpeleke mtoto wangu akaanze kidato cha kwanza hapo.kama mkinisaidia na gharama za ada na michango yake mingine itakuwa vizuri sana.
  9. C

    Awamu ya pili: Tujikumbushe enzi za utawala wa Rais Ally Hassan Mwinyi

    Ndugu Mwinyi alikuwa rais wa pili wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, akiitumia kwa miaka kumi. Kupitia uzi huu maalumu naomba tujikumbushe mambo mazuri aliyoifanyia Tanzania.
  10. C

    Awamu ya kwanza: Tujikumbushe enzi za utawala wa Rais Julius Kambarage Nyerere

    Mwalimu Nyerere alikuwa ndie waziri mkuu na Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika na pia ndie Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Naombeni tujikumbukushe mambo mbali mbali kuhusu mwalimu Nyerere kupitia huu uzi. Karibuni sana
  11. C

    System ya magufulification nimeanza kuitumia katika familia yangu

    ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima katika familia yangu naenda kutoa maamuzi yafuatayo:-moja,nitafuta sherehe zote ambazo zilitakiwa kufanyika na kusherehekewa nyumbani kwangu kuanzia za kiserikali na za kidini na fedha nilizokuwa zimepangwa zitaelekezwa kwenye matumizi yenye uhitaji mkubwa...
  12. C

    Magufuli unafaa, hatuhitaji Baraza la Mawaziri

    watendaji wa kila wizara wapo wengi sana cha msingi ni kufuatilia tu utendaji wao.hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri maana watakuharibia tu
  13. C

    Nimenusurika kugongwa na gari, kisa wowowo la mwanamke

    Wadau, Kumbe sio kila ukionacho unatakiwa kukitizama ukiwa unavuka barabara, muda huu nimesurika kugongwa na fuso la mchanga baada ya kuingia barabarani na kuanzaa kushangaa mdada mmoja aliekuwa na bonge la wowowo aliekuwa akitembea pembezoni mwa barabara. Asante mungu kwa kuniepusha na ajali...
  14. C

    Askari wa 3 watimuliwa kazi kwa kusambaza taarifa za uongo mitandaoni

    Askari watatu mkoani Kigoma wametimuliwa kazi baada ya kusambaza taarifa za uongo kuhusu Jeshi la Polisi. =================== Chanzo: Mwananchi
  15. C

    Yemi Alade kuachia wimbo mpya alioimba kwa kiswahili

    Hatimaye kiswahili chaitikisa Nigeria tena,sasa mwanadada mrembo Yem Alade kuachia ngoma mpya aliyoimba kwa lugha ambayo hatupendi kuitumia tukitana na binadam mwenye ngozi nyeupi a.k.a mzungu,kwenye mashairi ya wimbo. Mwanadada huyo amesema kuwa Saut Soul ndie aliemfundisha kiswahili. CHANZO...
  16. C

    Diamond Platnumz atikisa tena barani Afrika

    AFRIMA wametoa list ya wasanii bora Africa,mtoto wa Mbagala anaetafutwa kama alimasi ameongoza list ya wasanii 15 bora kuwahi kutokea barani Africa. Bravo mond!!
  17. C

    Askari wa kituo cha polisi wazo,dar es salaam hawatimizi majukumu yao

    leo jioni nilitoka na rafiki yang aliniambia twende tukanunue wanawake wanaojiuza Msigani Machimbo ya Mawe,nilimkubalia ila nilimwambia ngoja nivae nguo zinazoendana na huko.Tulienda na tulipofika,rafiki yangu akaniambia hapa huwa kuna vituo tofauti tofauti vya wanawake wanaojiuza.Tulienda sehem...
  18. C

    Akigundua nina hela ananiita "baby"

    Wallah pesa mwanahalam, Mwanamke wangu akigundua nina hela au naenda kupata hela anaanza kunita "baby" nikiwa sina ananiita jina langu la kawaida.
  19. C

    Vurugu kubwa kituo cha mabasi Tegeta Nyuki, Dar

    Askari naomba mje haraka hapa kituo cha daladala Tegeta nyuki kuna vurugu.
  20. C

    Sifa ya mpenzi wangu

    Tupia kitu ambacho huwa ukikiangalia kwa mpenzi wako unacheka kimoyo moyo ili asijue. Naanza mimi: "kiukweli mpenzi wangu ana bonge la chogo ila wigi ndo huwa linafunika chogo lisionekane".
Back
Top Bottom