Search results

  1. nginda

    Hili la miaka nane ya uchakavu magari ni kuwakomoa wananchi na kulinda barabara zisizo na Viwango

    Nimejaribu siku hadi siku kuangalia hili swala la serikali kudai inalinda nchi na magari chakavu na sasa imepunguza miaka ya uchakavu kutoka kumi hadi nane. Hivi serikali hii imeangalia uwezo wa wananchi kununua magari yasiyo chakavu? Mbona hayo ya miaka nane yapo mengi yana zaidi ya milage...
  2. nginda

    For the ladies on inpiration

    I do not know if the topic makes sense. But the mesage is. Mandela wasn't such a handsome boy. Whiney was such a beutful lady, but she didn't know that she was in marry with world's hero. Wemen, what r u in!
  3. nginda

    Sad news: Tabuley is no more

    Yes, the author of muzuna has passed out. R.I.P.
  4. nginda

    Maswali ya msingi kwa wasomi na hatma ya Tanzania

    Nimejaribu kufuatilia wimbi la kisiasa na jinsi vijana wanojiita wanamageuzi kujifanya wanarudisha kadi na kujiunga na chama tawala siku hadi siku. Nimejaribu kutafakari mambo mawili. 1. Kulikuwa na sababu gani kujiunga na vyama vya upinzani? (Nauliza kuwa hawa wasomi walikuwa na sababu makini...
  5. nginda

    Inakera, inaudhi, inachefua na.....

    Mimi ni Mtanzania na ninaishi Tanzania. Ninao wjibu wangu kisisasa kumchagua kiongozi anayenifaa ili aniletee maendeleo. Nina wjibu wa kufuatilia ahadi za kiongozi ninayemchagua. Nina wajibu wa kutathmini anayoniambia na alichonifanyia. Nina wajibu wa kuona nyendo zake zinalenga kunifanikishia...
  6. nginda

    Mwandishi mwingine anusurika kutekwa

    Dar es Salaam MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima Andrew Chale ameanza kuishi maisha ya wasiwasi baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kumteka. Chale alisema kwamba siku ya Jumamosi usiku watu wasiojulikana walikuwa wakifuatilia nyedo zake. Alisema watu walikuwa kwenye...
  7. nginda

    Tofauti kati ya mapenzi na ngono

    Mara nyingi utasikia wakamatwa wakifanya ngono, mara nyingine wakifanya mapenzi, sasa tofauti ya maneno haya ni nini? najua wengine wanafikiri ngono ni ile isiyo halali, lakini hata mapenzi yapo halali na yasiyo halali.
  8. nginda

    Ya Arumeru ni ushidi wa Taifa

    ninaposema Taifa ninamaanisha wananchi wema na wenye mapenzi mema. Ni muda mrefu watanzania tumekuwa kama yatima kutokana na utawala mbovu na wakifisadi kiasi kwamba wengi wamekata tamaa. Bahati mbaya sana wizi umekuwa ukifanywa waziwazi bila woga na hakuna wa kufunga paka kengele. Mungu Asante...
  9. nginda

    Hi guys, Beatifuls are yet to be born

    Kwa sasa usikimbilie ndoa. Subiri wanakuja
  10. nginda

    Viongozi wa CCM mnawaza nini?

    Nashindwa kuwaelewa hawa viongozi wa CCM Wamekwenda Arumeru kuwaeleza wananchi namana watakavyowaletea maendeleo au kuzungumza maisha binafsi ya wapinzani wao? Hawa ndiyo tunatarajia wawaletee wananchi maendeleo ua? Mkapa: Kiongozi aliyewahikuwa kiongozi wa nchi ( Vicent nyerere siyo...
  11. nginda

    Old's Unakumbuka ulikuwa wapi na ukumbi gani?

    Bibie taylor dayne. Nilikuwa Dodoma ukumbi wa NK. Usipime
  12. nginda

    Mchina Vs Mungu

    Sasa uniambie hiyo suruali ilipitaje hapo kwenye hipsi.
  13. nginda

    Re: Ushoga na kauli za viongozi wetu

    Wana JF naomba kuleta huu uata kwenu. siyo kwa niya ya kuingilia maslahi ya mtu. Nimekuwa nafuatilia sana hili sakata la ushoga na hata mambo yaliyoletwa na mkubwa wetu bwana Cameroon. Nawapongeza jamaa zetu wanaoliwa kiboga kuwa wamepanda cheo na sasa wanaitwa makameroon. Lakini niseme kuwa...
  14. nginda

    Wamakonde na misemo yao

    Jamaa anamuuliza binti wa kimakonde, ati, kwa nini wamakonde hawawezi kusema Mtu na badala yake wanasema Ntu? Binti wa kichinga ( iiiiiiiiih siiyo woote. Unajua kusema ntu, inategemea ntu na nnntu!)
  15. nginda

    True story- yalitokea udsm mwaka 1996

    Jamaa alivuta ngororo yake "wengine mnaita boom" na sijui vijana wa siku hizi mnaitaje? Baada ya kukamata mshiko akazama baa moja huko mwenge "Ingongwe" na "migombani". Akapiga ulabu wa kutosha. Baadae akavuta KCC (Nikumbusheni mliopo kwa sasa mnaitaje?). Akarudi na kcc yake na kushuka kituo...
  16. nginda

    Wanaume tukumbushane tulipobalehe

    Wakati huo nilikuwa natamani kuwa na G. Friend. Ishu ya kutongoza ilikuwa hivi: Dada mambo? (Poa). Siku hizi mnona hatuonani? (Nipo tu) Ndo unaenda nyumbani? (Hapana, naenda kumwona rafiki yangu) Sasa utaniruhusu nikusindikize? (twende tu) Nyinyi si ndo mnakaa ile nyumba nyekundue? ( Hapana...
  17. nginda

    Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya

    Kama huitaki ipotezee!!! hii ndiyo tanzania ya ******. Maisha bora kwa kila mtazania. Kula kwa mrija.
  18. nginda

    Tanzania ni nini?

    Wana jamvi nimejaribu kujiuliza mara nyingi kuwa Tanzania ni nini??? Kutokana na historia niliyofundishwa ni kuwa Tanzania ni muungano wa nchi mbili ambazo ni Zanzibar na Tanganyika. Lakini swali linakuja, Je baada ya muungano Tanganyika ilikwenda wapi? Bona zanzibar ipo? Na hata wazanzibar...
  19. nginda

    Watanzania tunahitaji kuamka usingizini

    Nijiuliza kila kukicha? Je, Tanzania nia nchi iliyo na rasilimali nyingi kama inavyoelezewa? Kama hivyo basi, vilevile Tanznia tunajivunia utajiri wa upumbavu kwa kutoweza kuzitumia hizo rasiliamali, lakini tunajivunia utajiri wa viongozi mbumbumbu pengine zaidi kuliko wote duniani. hii ni...
  20. nginda

    Kwa nini Mbeya tu?

    1. Madhehebu mwngi tanzania yako mbeya (tena kuna madhehebu ya kifamilia, ukoo nk) 2. kuchuna ngozi kumeanzia mbeya 3 kupiga nondo kadhalika mbeya 4. Wanakwaya kibao - bony, bukuku, mwaipasila, ande.... nk 5.Wanawake kupiga wanaume Mbeya 6. kuiba maiti nako mbeya Kungineko vip???
Back
Top Bottom