Search results

  1. Mtu wa Kigamboni

    Masoud Kipanya:Tumerudi relini

    Watu wafanye kazi kwa taaluma zao.
  2. Mtu wa Kigamboni

    Hivi kwanini Wema anapendwa?

    Kweli kuna kipindi Sinta alikuwa maarufu kwenye vyombo vya habari! Lakini alipoturia nadhani hata vijana waliozaliwa juzi hawamtambui kabisa kama kuna Star wa filamu alikuwa anaitwa Sinta!
  3. Mtu wa Kigamboni

    Hii ndio Bei ya unga wa sembe na dona nilipo

    Ila msimamizi wa mashine ya kusaga yupo makini zile ambazo si nzuri kwa kuliwa na binadamu anakataa kuwauzia ingawa wao wanabembeleza awauzie! Nadhani TFDA inabidi itembelee maeneo ya uzalishaji chakula na kuwashauri wananchi.
  4. Mtu wa Kigamboni

    Hii ndio Bei ya unga wa sembe na dona nilipo

    Leo nilienda maeneo ya ILULA-MAGU, MWANZA kununua pumba za Mahindi kwa ajili ya Mbwa na Bata nilikuta kwenye mashine ya kukoboa na kusaga Unga wananchi wananunua pumba za mahindi alafu wanazisaga kuwa Unga wa kupika Ugali. Pumba kisado kimoja TShs 1,500 na debe moja la pumba TShs 5,000 . Sado...
  5. Mtu wa Kigamboni

    Airtel mmezima mitambo ya mawasiliano?

    Labda ndiyo mchakato wa kujiondoa Tanzania na nchi nyingine 16 za Africa.
  6. Mtu wa Kigamboni

    Kwaheri Jenerali Davis Mwamunyange

    Hakustaafu jeshini wakati anaenda ubarozi Nigeria, Mkapa alipompatia U-General ndipo alistaafu!
  7. Mtu wa Kigamboni

    Kwaheri Jenerali Davis Mwamunyange

    Alipewa cheo cha General miaka ya utawala wa Mkapa kamasikosei akiwa amerudi kutoka ubarozi .Nigeria. Kwa taarifa alikuwa bado kustaafu jeshini ndiyo maana ikabidi apewe na U-General?
  8. Mtu wa Kigamboni

    Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

    Mbona hawa wanamziki wa Injili wa kike wanatengana na waume zao sana hivi sasa? Ona pia huyu Upendo Kilahiro naye kambwaga mumewe!
  9. Mtu wa Kigamboni

    Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

    Yaani ukikosea hapo utapata kovu la milele, yamenikuta Mimi...
  10. Mtu wa Kigamboni

    Kilimo cha kisasa cha maembe

    Cross pollination inafanyika vipi?
  11. Mtu wa Kigamboni

    Usimvue nguo mume wako

    Bora kukaa pembeni! Mimi yalinishinda niakaona nimwambie Bibie nisiwe kero na karaha kwako bye bye!
  12. Mtu wa Kigamboni

    Ukitaka binti wa kitanzania akupende kwa dhati, mfanyie mambo haya

    Mwanamke ni jalala mpe pesa utamfanya chochote, ila tabu wameingiliwa na wanaharakati! Utafungwa kama Koffi Olomide![emoji24] [emoji24] [emoji24]
  13. Mtu wa Kigamboni

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Lima mchicha na nyanya, Mimi nitakupatia buku kumi (TShs 10,000) mtaji wa kununulia mbegu.
  14. Mtu wa Kigamboni

    Naomba kufahamu wapi nitapa Huduma ya Dry-Cleaner Mwanza

    Jamani nahitaji kufuliwa blanket langu hapa Mwanza. Wapi nitapata huduma ya Dry-Cleaner hapa Mwanza.
  15. Mtu wa Kigamboni

    Turudi kwenye reality: Rwanda ina wataalamu gani? Products za chuo gani? Any ranks..

    Jamani mbona President Mkapa alimleta yule Professor wa Venezuela au Peru naye akafanya yake, tumpe muda Magufuli simnajua wa kwetu wote sasa hivi ni hofu tu! Hata kusema hapana ni shida, mpaka Gavana Ndulu alipo jitoa mhanga kwenye sakata la VAT kwenye transaction za bank. Waje tu watutsi ila...
  16. Mtu wa Kigamboni

    Vatican, nchi yenye watu 800 kwa mujibu wa sensa ya 2008

    Sema Askpfu Kilaini alitumbuliwa pale Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.
  17. Mtu wa Kigamboni

    When will my friend relax? Kila mwanaume amekuwa akimtenda

    Ila siwanawake wote ni lazima waolewe, asilazimishe kuolewa akubali maisha yake akipata mtoto bila ya ndoa atakuwa na amani tu. Kuna wanaume hawana ndoa ila wana watoto nao pia wana amani pia.
  18. Mtu wa Kigamboni

    Mzee Mkinga katika Mjadala wa ELIMU.

    Katika kipindi cha Tuongee Asubuhi Mzee Mkinga (Mwanaharakati) amekichambua kitabu cha Historia dalasa la NNE na SITA anasema hakuna kilicho sahihi. Wanahistoria tu naomba ufafanuzi mliomsikiliza !
Back
Top Bottom