Search results

  1. SongeaOne

    Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

    Ukichunguza vizuri watu ambao sio wastaarabu ni nyie wa mlengo huo
  2. SongeaOne

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Hapo tajiri haibiwi,hesabu ishapigwa uzito wa mzigo+kilomita=kiasi cha mafuta,kwahiyo kinachobaki dereva atajua anafanyaje na kama itakula zaidi ya hapo tajiri hataelewa yeye anataka mzigo ufike
  3. SongeaOne

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana nilirudi rasmi na treni langu la timu30 kaja kuliua Juve nilimuomba3+
  4. SongeaOne

    Natafuta Engine ya Suzuki Grand Escudo

    Vp mkuu ushapata engine ya hyo gari?
  5. SongeaOne

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeuchelewa huu ikiwa kweli itaniuma milele
  6. SongeaOne

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera sana mzeebaba wenzio tumesahau tumekula lini cha msingi tuinuane mitaji tu tushinde vita hii
  7. SongeaOne

    Natafuta laptop ya kununua yenye vigezo hivi.

    Vigezo viiingi budget ndogo
  8. SongeaOne

    Cc vs cylinder

    Nnavyojua; Cc(cubic centimetre)ni ujazo/ukubwa uliopo ndani ya cylinder kwenye nafasi inapotembea piston kutoka (TDC)top dead center kwenda (BDC) bottom dead center. Kwahivyo basi; Gari kula mafuta inategemea na ukubwa wa CC na sio uwingi wa cylinder.
  9. SongeaOne

    TUHUMA ZA ZITTO KUTAKA KUJITEKA NI NZITO, AELEZE UMMA KWA NINI?

    Muheshimiwa anatutengenezea kizazi cha kipumbavu bila kujua na siku akija kujua atakuwa ashachelewa,HIVI MTU KAMA HUYU ANAPATA WAPI MUDA WA KUANDIKA UPUMBAVU KAMA HUU HALAFU AKILI YAKE IKAM-SUPPORT?
  10. SongeaOne

    Natafuta sehemu Tanzania nitakapopata nyama choma au supu ya Mamba au Kenge

    Ukifika mwanza nicheki utafurahi, niamini...
  11. SongeaOne

    Iraq yaifanya Christmass kuwa siku rasmi ya mapumziko kitaifa

    Shida ya hawa ndugu zetu wanataka tufuate dini yao hata kwa viboko wamesahau kuwa hii kitu ni Imani tu na usipokubaliana nao wanakuita majina ya ajabu yasiyo na adabu tena yenye kuudhi.Hawa waliotuletea hizi dini ndo wanaomua kufanya mabadiliko lakini povu unajaa wewe,JITATHMINI.
  12. SongeaOne

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee kila siku napigiwa simu na wateja wa m-bet wanalalamika malipo yanachelewa as if Mimi ni customer care wao hata sijui namba yangu wametoa wapi
  13. SongeaOne

    Unai Emery hujui kiingereza , kwanini unalazimisha kuongea ?

    Yupo humu?ukisikia chuki za bila sababu ndo hizi
  14. SongeaOne

    Rais Magufuli amtembelea na kumjulia hali Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi aliyelazwa hospitalini

    Shida ya Baba akiendaga kuangalia wagonjwa lazima waende sijui kwanini
Back
Top Bottom