CCM hawawezi kuendesha Bandari lakini sisi Watanzania tunaweza.
Prof Mbarawa na Prof. Mruma wote CCM
Wewe ni CCM, Hayati Magufuli alikuwa CCM, Mh. Kikwete ni CCM
Rais wa sasa Samia ni CCM, Prof. Mhongo ni CCM, Mzee Kinana na Makamba wote ni CCM....
Sasa unasemaje Watanzania kwa ujumla wetu...
Chochote kinawezekana kwa CCM, Mkuu Bams.
CCM wana hitsoria ya mikataba mibovu, ufisadi, rushwa na kila uhalifu dhidi ya Tanzania na rasilimali za nchi yetu.
1. Richmond
2. Meremeta,
3. Escrow
4. Loliondo
5. Buzwagi
6.Ndege alizonunua hayati Magufuli
7. NB: Sekta ya Madini na Nishati zina...
Dada Faiza salaam!
Mada yako ni nzuri lakini nitaunga mkono andiko lako 50% tu......kwa nini?
Kwa sababu, wewe si unajua ujinga ni sera ya chama chako CCM? Tusizunguke mbuyu, mhusika na mtuhumiwa mkuu wa wa ujinga na upumbavu uliopo nchini ni mmoja tu - CCM.
Wao hawataki kuwapa watoto/watu...
Kwani nani alieyewachagua hao? Kwa Uchaguzi upi? Mwaka gani?
Hao wanafiki "waliwekwa hapo na wengine "kusukumizwa" na Magu. Hakuna Bunge pale! Pale hakuna wawakilishi wa wananchi.
Na Magu aliwaandaa kwa mambo kama haya, kwamba wapitishe kwa "ndiyoooo" nyingi mambo kama hilo la bandari...
Zitto simuelewi kabisa!
Hapo anauma na kupuliza tu, akizunguka mbuyu.
Amesena Azimio sio mkataba, ok; basi hao DP wakae mbali na hiyo bandari yetu kwanza mpaka kwa tumalize kujadiliana "kistaarabu".
Hao ni wanafiki, mbona wakati wa hayati Magufuli yalifanyika kama haya na hata mabaya zaidi kama mauaji na ukatili wa akina Sabaya lakini mwendo wao ilikuwa ni "kuunga juhudi mkono".??
Hatutaki cheap politics, divi
Sasa wao kama kanisa walipoteza moral authority; na itabidi wafanye kazi...
Kwa wale wasiojua kwa nini sisi wengine tunadai Katiba Mpya, hiyo nukuu hapo juu ni ya Waziri Prof. Mbarawa.
Kwamba wamefanya kila kitu kwenye huo mkataba wa bandari kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa. Na Bunge limeridhia!
Kuna wengine walidanganganywa eti kwamba Katiba haileti ugali mezani...
Usipindishe maneno.
Pia ujue akiiba Samia aliyewekwa na Magufuli na kupata ridhaa ya wabunge wa Magufuli, au akiiba Magufuli (kama alivyoiba) au CCM (kwao ni utamaduni) matokea ni yale yale kwetu kama Taifa = HASARA!
Uliwahi kutegemea wafanye tofauti?
Wamefanya "walichoteuliwa" kukifanya na hayati Magufuli, na pia wamekamilisha kazi "waliyotumwa" na CCM. Wako pale kwa maslahi na malengo ya hao waliowaweka hapo.
Iko hivyo na itabaki hivyo Hadi pale tutakapobadilisha hilo - Katiba Mpya!
Bunge letu ni "kitengo/idara" ndani ya CCM. Hiyo ni legacy ya Mwendazake. Alikusudia na alitaka kulitumia kama mlivyoona.
Hilo Bunge la Magufuli Ni mzigo mzito na hasara kubwa kwa nchi yetu.
Yatosha, tunataka Katiba Mpya!
Nakubali nawe mkuu Stroke, kwamba huyu wa sasa naye ni mwizi.
Nachopinga ni hilo neno afadhali.
Sisi kama Taifa hatuna unafuu wowote iwe kuibiwa kwa Siri au kalamu au tabasamu; iwe na Magu au Samia. Wizi ni wizi, ufisadi ni ufisadi - tuukemee na kuuchukia wazi wazi bila kuupaka rangi. Huo ndio...
Hilo Bunge la Magufuli ni hasara na mzigo kwa Taifa.
Ndio maana tunahitaji Katiba Mpya Leo kuliko juzi na jana.
Kukomesha ufisadi na kuondokana na huu utamaduni wa kifasadi ulioota mizizi zaidi ya miaka 40 sasa nchini, we need to RESET.
Mkataba unafanana na mingine, mfano wa Loliondo na Ile...
Tunataka Katiba Mpya kwanza.
Baada ya hapo tutajua wa kushirikiana nao, kwa vigezo na masharti gani.
Well, Inawezekana Mh Samia kashauriwa vibaya au wajanja walimset.
Pamoja na hayo muhimu kwa sasa tunataka Katiba Mpya ili mambo hayo yasitokee tena. Rasilimali za Tanzania ziwafaidishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.