Search results

  1. Manyanza

    Haitokei kwa Kubahatisha 🦁🦁🦁

    Mpira wetu umekua sana sasa hivi aisee,hii sio kawaida mujue,Waandishi zaidi ya 100 na Ishirini walihudhuria kwa Mkapa, kwenye mazoezi ya timu ya Simba SC. elewa neno Waandishi sio Muandishi😂 ✍️
  2. Manyanza

    Add your caption

    Picha inaonyesha ukweli halisi, toa maana unayafikiria kuhusu hii picha 😂😂😂
  3. Manyanza

    Nchi ya 2 ndogo zaidi barani Afrika kwa eneo na idadi ya watu ni São Tomé na Príncipe 🇸🇹

    Nchi ya 2 ndogo zaidi barani Afrika kwa eneo na idadi ya watu ni São Tomé na Príncipe 🇸🇹 1. Eneo la nchi linakadiriwa kuwa Sq.Km 960 (kubwa kidogo kuliko Nairobi) na idadi ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 219,000. 2. Ina Pato la Taifa ndogo zaidi katika bara, linalokadiriwa kuwa Dola za...
  4. Manyanza

    Njia ndefu zaidi za Reli Afrika 2023 🛤🚄🌍

    1. Afrika Kusini🇿🇦 (ya 13 Duniani) Njia ya reli: 22,387 km 2. Misri🇪🇬 (ya 28 Duniani) Njia ya reli: 7,024 km 3. Sudan🇸🇩 (ya 30 Duniani) Njia ya reli: 6,084 km 4. Algeria🇩🇿 (ya 41 Duniani) Njia ya reli: 4,722 km 5. D.R. Kongo🇨🇩 (ya 44 Duniani) Njia ya reli: 4,096 km 6. Nigeria🇳🇬 (ya 51...
  5. Manyanza

    Bendera za mataifa ya nchi za Scandinavia

    Huu ndio muundo wa bendera za mataifa ya ukanda wa “Scandnavia” yanayopatikana Kaskazini mwa bara la Ulaya... Muundo wa bendera za mataifa una upekee kutokana na kulingana huku rangi pekee zikionekana kutofautisha bendera hizo... Kila bendera miongoni mwa mataifa hayo ina alama ya masalaba...
  6. Manyanza

    Fahamu haya kuhusu Ziwa Victoria 🇺🇬 🇹🇿 🇰🇪

    1. Likiwa na eneo la Sq.Kms 59,947, ni ziwa la 2 kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa Superior huko Amerika Kaskazini. 2. Kwa kuzingatia Bahari ya Capsian kama Ziwa, Ziwa Viktoria linashika nafasi ya 3 kwa eneo kwa eneo duniani. 3. Ziwa hili ndilo Ziwa kubwa zaidi la Kitropiki Duniani. 4. Kwa...
  7. Manyanza

    Kubeti kunaangamiza Akili na afya 😂😂😂

    Habari picha , hii ni picha iliyopigwa nchini Nigeria
  8. Manyanza

    Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

    Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld. Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media...
  9. Manyanza

    Hakuna chochote cha kupigania katika maisha

    Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu. Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu. Boyfriend au Girlfriend wako au mchumba ni Ex wa mtu! Hivyo ni nini hasa cha kujivunia? Maisha ni mafupi sana na madogo mno kujisikia kuwa mkubwa ama...
  10. Manyanza

    Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

    Golikipa wa Klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania, Aishi Manula hii leo amefungua duka lake la vifaa vya Michezo Kinondoni Morocco. Hongera sana, AISHI 🙌🏿
  11. Manyanza

    Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba Mr Ebbo?

    Mmasai Abel Motika “ Mr Ebbo" alikiwasha Sana na Ngoma Kali zenye lafudhi na pigo za kimasai zilizokua na komedi pamoja na mafunzo ndani yake. . Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba? . 1.Mi mmasai 2.Bado 3.Kamongo 4.Tabia Mbaya 5.Maneno mbofumbofu 6.Bodaboda 7.Uswazi 8.Njaa 9.Pombe...
  12. Manyanza

    Uhusiano wa Kristo na Krishna

    HISTORIA YA KRISHNA ILIKUWEPO MIAKA 2900 ILIYOPITA KABLA YA KRISTO Uhindu na Ukristo una mambo mengi yanayofanana Licha ya tofauti zao, uhindu na ukristo una mfanano mkubwa. na hii ni muhimu sana katika suala la maisha na mafundisho ya watu wawili wakuu wa dini hizi za ulimwengu - kristo na...
  13. Manyanza

    Historia ya Kweli ya Mwanamalundi

    👉Hii ndio historia halisi iliyoibwa na watu weupe Kisha kuitengeneza na kuifanya yao na kuitumia kwenye vitabu vyao.Kisha wakawaaminisha kwamba mtu wao alizaliwa miaka ya zamani sana,kumbe ni fake story,sasa soma hapa kisha mwambie ukweli mwanao kwamba huyu ndiye yeye,aliyekuwepo,na atayekuwepo...
  14. Manyanza

    Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayeamua riziki

    Wakuu , Usiku huu nimetoka zangu nje kununua Chakula na nimefika pale nikaagiza zangu Chipsi, Mishikaki mitatu na Soda take way. Sasa wakati nasubiri Chakula imekuja gari Kali ni V8 au Z8 sijaiangalia vizuri sana. Akashuka Jamaa yupo Smart sana na Vito vya thamani mkononi na shingoni ananukia...
  15. Manyanza

    UEFA yatoa muongozo mpya kwa FA

    Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza FA limepokea muongozo kutoka UEFA kuwa kuanzia msimu ujao timu 8 kutoka nchini humo zitashiriki mashindano ya ulaya,5 zitashiriki mashindano ya UEFA champions league,2 UEL,1UECL. 🚨✅ Ongezeko la timu hizo limekuja mara baada ya ligi ya nchini humo...
  16. Manyanza

    Adui rafiki

    Unajua nini kuhusu uadui? Unajua nini kuhusu urafiki na unajua nini kuhusu biashara? Hebu jiulize mechi ya SIMBA VS YANGA kisha mtu kama labda Walter Harrison meneja wa Yanga akauze siri za kambi kwa sasa Simba au Try Again achukue mchoro mzima wa mipango ya simba ya miaka 10 ijayo aipeleke...
  17. Manyanza

    Things to do differently as a couple

    Copied somewhere 1. Have a joint vision for your love. Don't just be together without direction. Agree on areas you will grow in, things that will define your year and projects you will pursue together. 2. Give each other eye contact more, this communicates love and attention. Unfortunately...
  18. Manyanza

    Soma haya ujifunze bure katika maisha yako na uyazingatie

    1. Punguza marafiki kwa sababu wapo marafiki ambao wanaweza kua vikwazo vya mafanikio yako na hauwezi kuwajua unapo kua nao na kuishi nao na kula nao unacheka nao na wengine unalala nao wengine hata unajinyima kula ili wale wao lakini ndo namba moja kwa kugeuka kujifanya rafiki huku...
  19. Manyanza

    Historia: Tulipotoka na tulipo

    Naanzia kushoto kwenda kulia 1) Salim Ahmed Salim 2) Joseph Sinde Warioba 3) Rashid Mfaume kawawa 4) Julius Kambarage Nyerere 5) Ali Hassan Mwinyi 6) Idrissa Abdul Wakiil 7) Maalim Seif Sharif Hamad N: waliohai hapo ni wawili Joseph Sinde Warioba Salim Ahmed Salim
  20. Manyanza

    Toothpick imeharibu kidole cha jamaa

    Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family. Anaanza kusimulia Habari zenu nyote humu ndani poleni na majukumi. Awali ya yote napenda niwashilikishe jambo ambalo limenitokea...
Back
Top Bottom