Search results

  1. M

    Jisajili kama unatafuta kazi

    Mimi sina "Udhoefu" itakuwaje sasa.
  2. M

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    chama changu ccm kitafanya kosa kubwa sana iwapo kitaruhusu jambazi hili la fedha za umma kugombea urais kwa tiketi ya chama chetu maana wapinzani watatangaza ushindi asubuhi mapema. Jambazi hili limehusika kwa kiasi kikubwa sana katika mkataba tata wa richmond ambao ulimlazimisha kuachia...
  3. M

    Kubagua watu kwa sababu ya itikadi ni ulimbukeni wa siasa

    Kujiunga na chama chochote cha siasa ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi wa Tanzania. Nimeshangazwa sana na kauli za baadhi ya viongozi waandamizi wa vyama vya upinzani kuamua kuwananga na kuhamasisha wanachama wao kutonunua kazi za wasanii wote waliojiunga na Chama Cha Mapinduzi. Huu...
  4. M

    Rufaa ya Lema kuanza kusikilizwa Disemba 4; Jaji Mkuu aamua kujitoa

    Huyu Salum Masati huwa sina imani naye kabisa.
  5. M

    Dr. Kitila Mkumbo: Kushangilia utekelezaji wa majukumu ya serikali ni Uzuzu!

    Kijakazi Watanzania wanaendelea kutuelewa na tunaendelea kuwaelimisha kwamba utekelezaji wa mipango ya serikali inawezeshwa na fedha za wananchi hivyo hawana haja wala sababu ya kushangilia. Kwa kuendelea kuwaelimisha wananchi wajibu wa serikali ni lazima tutaing'oa CCM madarakani 2015.
  6. M

    Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

    Watanzania wameamka, M4C imefanya mabadiliko makubwa ya fikra za watu mpaka vijijini.
  7. M

    police isiwe jeshi

    100% taken.
  8. M

    Bunge livunjwe kwa sababu limejaa wahuni - Ole Sendeka

    Ni aibu kubwa sana kwa serikali kushindwa kushughulikia tatizo la madktari wetu kabla halijaleta madhara matokeo yake wamesubiri madhara ya mgomo ili waje na vitisho vya kipuuzi na vya kitoto. Hakuna daktari anayeogopa kufukuzwa kazi, daktari wa Tanzania hana tofauti na daktari wa india tofauti...
  9. M

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Mimi nadhani kama ikifikia hatua ya sisi kuchangishana kwa ajili ya umeme hakuna sababu ya kuwa na serikali. Naona ni heri kuitoa serikali kwanza then tuangalie ustaarabu mwingine.
  10. M

    Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

    Kaka huyo kijana msamehe bure na punguza hasira usije kula ban tunakuhitaji sana humu jamvini.
  11. M

    Nauli za daladala kupanda Dar

    Amen tutendewe kama ulivyonena.
  12. M

    JF, CDM na UKRISTO

    Badala ya kupambana na maisha yanayokusumbua unaleta pumba zako JF, upambane na nani? Ndio maana kila siku tunawaambia mna vichwa vyeupe hatuwaonei, badala ya kuunda hoja ya maana unaleta ushari wako hapa. Ushindwe na Utalibani wako....
  13. M

    Kadi ya ccm

    Ni vema pia akaimwagia uharo kabla ya kuiflash, naichukia sana CCM.
  14. M

    Elections 2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

    Hizi ni gharama za ukombozi, huko South Africa Chris Hani na Steve Biko walikufa, Mandela na wanaharakati wengine walifungwa bila sababu. Tell my people that we shall die for the sake of this Nation. Amandlaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. M

    Project 2015: Mwinyi haoni uharaka wa Katiba Mpya

    Hivi kumbe Dodoma ni pwani?
  16. M

    Mtazamo wangu juu ya uundwaji wa baraza la mawaziri!

    Asante sana ndugu yangu, kama ulivyosema huu ni mtazamo wako tu. Nami sioni vema kukulaumu kwa kuwa na mtazamo huu ingawa nina tofautiana na wewe kidogo tu, kwanza hilo suala la rais wa chama fulani kuteua waziri kutoka miongoni mwa wabunge wa vyama vya upinzani haliwezekani. Nasema...
  17. M

    Mauaji ya Pemba 2001: Majina ya Watuhumiwa.

    Arusha sio ICC ni ICTR yaani International Criminal Tribunal for Rwanda.
  18. M

    Dawa ya Rost and EL hii hapa

    Naunga mkono hoja, na kama nitawezeshwa (sio kifedha) nipo tayari kutekeleza azma hii na kuacha legacy kwa vizazi vijavyo.
  19. M

    Mnyika hakika wewe ni Mtanzania Mzalendo na Kiongozi wa Kuigwa

    Unapoongea toa na mifano, Mnyika ni msikivu hapa ameshaona post yako lakini hajaelewa unataka kumwambia nini, dema sasa afanye nini zaidi au ndio nyie msiojua kupongeza kwa lolote?
Back
Top Bottom