Search results

  1. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Vidonda vya Tumbo Nimepima Ila Sina
  2. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Ahsante Mkuu
  3. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

  4. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Kifua kinanisumbua.. Kinanibana mpaka nashindwa kupumua vizuri. Nimepiga picha ya X jana majibu ni kwamba moyo hauna tatizo ila kuna sehemu imetanuka kifuani kwa ndani. Wamenipa Dozi nitumie kwa siku tano then nirudi tena Hospitali. Kama kuna Dk hapa msaada wa maelezo
  5. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Sipo salama kiafya
  6. ibra87

    Tabia gani "mbaya" imekushinda kuacha baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Mimi ambacho kimenishinda kabisa ni uonjaji wa Maji ya CHUMVI. Nimejitahidi kuacha lakini Najikuta ndio natopea kabisa. NB: Nipo radhi niachane na mwanamke yeyote endapo atanikatalia hilo.
  7. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Ahsante Mkuu
  8. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Unapenda Bangi
  9. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    NITAKUPATA TU SEHEMU YA 093 Hakutaka kuchelewa kumtafuta mzee Raymond kwa kuuhofia usalama wake. Kanuni ya kundi la mafia zilikuwa ngumu sana kitu ambacho alikiogopa sana. Ilikuwa ni lazima Aifanye Hiyo kazi. Ilikuwa ni lazima ampate Mzee Raymond. Kuchelewa kulifanya hilo na kusababisha...
  10. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Samahani Leo Nimeifanya fupi kutokana na Muda kunibana
  11. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    [06-27, 19:38] Ibrahim Masimba: NITAKUPATA TU SEHEMU YA 092 Wakati akiukaribia Mlango, akausikia ukigongwa. Akatulia huku mkono wake ukishuka mahala alipohifadhi Bastola. Bado mgongaji alikuwa akiendelea kugonga zaidi na zaidi. Bado hakuitika na bado hakusogea. Mgongaji naye akaongeza...
  12. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Kitu nakiandaa na soon nitakitupia hapa.. Kwa hilo ondoa Shaka
  13. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Hawaijui Akili Ninayoitumia kwenye kuandika. Mimi Huwa Si Copy wala Ku paste. Comment za kipuuzi huwa zinanitoa kwenye njia. Ujinga uwe na Mipaka
  14. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Sijawahi kulazimisha fulani kuwa Fulani na siwezi kufananisha. Hembu tafuta kingine cha Kusema Hapa. Hayo mengine sio Mambo Yangu
  15. ibra87

    Mh Amir Jeshi Mkuu, haya ndo niliyoyasikia siku ya IDD

    Kinachoniumiza ni wale Vijana wanaoendelea Kusota JKT tokea 2013 Bila kuajiriwa Huku Wakiongezewa Mikataba kila Wanapomaliza ya awali. Ni wakati Wa Rais Magufuli Kuwaangalia Hawa watu. Masononeko yao ni Makubwa Mno.
  16. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Tuko pamoja
  17. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Adimu kaka haya makitu yananiweka busy mpaka nawasahau maswahiba
  18. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Nimepata mkuu, hiki ni kikubwa
  19. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    Salama Mkuu.. Nipo kipande Hiki mkuu
Back
Top Bottom