Search results

  1. N

    CHADEMA wakiri Lema hakupigwa ila..

    Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya...
  2. N

    Kukengeuka kwa Shibuda! . . . . Ukweli ni Huu!?

    Morning wadau, sote tulishuhudia mh. shibuda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa pinda na kupata laga za mh. rais kikwete jioni. akizungumzia uhalisia wa kuwabwaga chadema, shibuda alisema yeye ni mbunge wa wananchi wa maswa na kaenda shughulini kama mbunge sio chadema, isitoshe anatanguliza...
  3. N

    Najitambulisha kwenu Bhagalu

    Good day wana JF nyoote, naomba baraka zenu wakati nikijitambulisha kwenu kwa ajili ya kusukuma maendeleo ya taifa letu mbele ndugu zang. Naomba nipokeeni kwa upendo wa bwana. gawiza bhagalu? thanks
  4. N

    Elections 2010 The Rise and Fall of CHADEMA

    Hi wana JF, kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani, Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks
  5. N

    Elections 2010 Hongera Liutenant Colonel (Retired) Kikwete

    Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana. kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie. '...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje...
  6. N

    Elections 2010 Hongera Slaa - Ngosha Kucha Alile..........!

    nakupa hongera zangu sana daktari, kwa kudhihirisha umahiri wako kisiasa, kwa watanzania, specifically wanachadema. wakati tumeshampata sasa rais wa tanzania, ni matumaini yangu basi wewe, wanachadema na watanzania wote, tutatumia nguvu zilezile kuleta maendeleo ya kweli nchini. kinyume chake ni...
  7. N

    Elections 2010 Jamani Kamati za Ufundi Kulikoni....!

    Hongera Dr Slaa kwa ukomavu wa siasa, ila nadhani kuna tatizo la washauri wako wa karibu. Hivi inawezekanaje mawakala wasaini form 24A (provincial declaration) halafu wakwambie kura za jimboni zimechakachuliwa? Hii inatukanganya sana, ila imewapa changamoto tume kuwa makini na data, in fact...
  8. N

    Elections 2010 Beyond Yielding Point!

    Good day all, Jamani, tuandikeni na kupambanua kisiasa, yale yanayofanya tuonekane 'great thinkers', tukumbuke kuwa ni watu wengi wangependa kila siku kuwa nasi kwa forum yetu. Let us try to conceptualize intellectually tanzania politics/ elections 2010 as an entity, and not glueing to Chadema/...
Back
Top Bottom