Search results

  1. T

    Waziri Mbarawa atofautiana na Makonda, ataka Magari ya Serikali yatengenezwe na TAMESA

    Kukarabati magari 10 kwa 1 Billion ??? Ni typing error, mmemnukuu RC vibaya, Au ni ushamba wangu kwa vile similiki gari??
  2. T

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Eti alitoa kauli zinazoenda kinyume na falsafa na itikadi za Chama??? Kauli za kuwasihi watu wapendane, wavumiliane bila kujali itikadi zao, waombeane... Hakika sioni kosa la mtu huyu. Naanza kuamini katika Al badir.. Wallah
  3. T

    Zitto, Kama unataka ACT kiwe chama cha maana, ni lazma ufanye hili.

    Huwezi kujenga chama au taasisi kwa kuwa neutral neutral.. Yaani huku upo kule upo. Hiki chama nakiona kama chama cha design hio.. Kinataka vyote, tena kwa mara moja. Kinataka kuonekana wapinzani na watawala at the same time. Kwa namna hio naona ni ngumu sana kukua. Popo ni Ndege au Mnyama??
  4. T

    Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

    Kwenye siasa mtu yeyote asie na aibu anaweza fit. Mtu yeyote ambae leo anasema hivi na kesho bila aibu anasema kinyume na anahitaji kuaminiwa na kupigiwa makofi.
  5. T

    Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

    Utapeli huu.. Hamna lolote hapo
  6. T

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    This is totally gambling.. Shame
  7. T

    Usahihi: Lissu anatetewa na Mawakili 18 na si TLS

    Nimekuelewa Mselewa.. Tuchape Kazi.. Hahahaha..
  8. T

    Usahihi: Lissu anatetewa na Mawakili 18 na si TLS

    Majina ya kitumwa huwa hayana ubishani.. Peter na Petro ni similar.. Mselewa ndo stalibishia.
  9. T

    RC Makalla aishangaa Serikali kuu

    Hahahaaa... Duh
  10. T

    Nahitaji kuchimbiwa kisima cha maji

    Musoma nani anaweza kufanya Kazi hio ya kuchimba visima?? Kama yupo ni-pm tafadhali
  11. T

    Swali Pagawishi: Lowassa Angemuunga Mkono 2015 Tungekuwa Tunazungumzia Serikali ya CHADEMA/UKAWA?

    Joseph Stalin say, “…the people who cast the votes decide nothing. The people who count the votes decide everything.”
  12. T

    Zitto: Tumemtoa Mghwira ili kuondoa dhana kwamba ACT ni "CCM B", asema utaratibu ufatwe kwenye teuzi

    I am so lucky, I've never trusted ZZK n Co. I am neither surprised nor hurt by their actions.
  13. T

    Rais Magufuli amekosea kuteua wapinzani bila kufanya "A" au "B"

    Magu usiondoe mguu... Kanyaga hapo hapo twende
  14. T

    Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

    Wakati Anna anateuliwa alikuwa nji za nje... Kamati kuu inakaa na kutoa tamko, Kiongozi Mkuu wa Chama yuko nji za nje... What a coincidence.. Hahhaha
  15. T

    Swali la Kizushi: Kwanini Job Ndugai anamuogopa Tundu Antipasi Lissu?

    Huu nao ni uoga... The fear of the unknown
  16. T

    Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

    Shida ni pale ambapo pengine USIRI wa mikataba unapokuwa ni sehemu ya mkataba. Wafanyabiashara na wazungu ni wajanja mno.. Hhhh
  17. T

    Nani kachora Nembo ya Taifa kati ya Ngosha, Kabati au Farahani?

    Nafikiri hapa kuna issue ya aliepeleka first draft na walio-review subsequent drafts.. Issue ya Sanaa (art) haiwezi kuwa Kazi ya mtu mmoja
  18. T

    Swali Fyatu: Walitaka Rais afanye nini hasa baada ya ripoti ile?

    Hii ndio shida ya watz.. Mambo serious wanayatafutia solution rahisi rahisi ya muda mfupi.. Thinking ya uchama uchama tu.
  19. T

    Zitto Kabwe: Baada ya kusoma gazeti la Jamhuri, nina maswali haya kwa serikali

    Precision Airways ndio nini?? Usituburuze
Back
Top Bottom