Search results

  1. Kansigo

    Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano. Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa...
  2. Kansigo

    Maaskofu kuachwa kutamba wapendavyo, watu Wa imani nyingine tunajifunza nini?

    Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
  3. Kansigo

    Tangu nianze kufuatilia wanaojiita manabii, sijaona kiwete alotembea tena! Ni utapeli tu

    Tangu enzi za akina Kulola hadi hawa Wa kawe na ubungo kibangu! Sijaona kiwete authentic aloweza kutembea! Ni utapeli tu
  4. Kansigo

    Baada ya mama yake kuteuliwa, Ridhiwani asema "ni mwanamke wa Shoka"

    Baada ya mama yake kuteuliwa, Ridhiwani anena Thursday , 2nd Mar , 2017 Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwan Kikwete amefunguka baada ya mama yake jana kuteuliwa na Rais Magufili kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ridhiwan Kikwete amesema kuwa mama...
  5. Kansigo

    Rais Magufuli: Hakuna chakula cha Serikali, fanyeni kazi huo ndio ukweli

    " hakuna chakula cha Serikali. Kama huli chakula ufe tu. Fanyeni kazi, huo Ndio ukweli." - Rais John Pombe Magufuli Leo tarehe 2/3/2017 saa 7:53 Nangurukuru, Lindi (source: Zitto Kabwe fb) Habari leo pia wameripoti habari hii "Amesema, hawezi kuwaeleza maneno mazuri kwamba hakuna atakayekufa...
  6. Kansigo

    Kamanda wa polisi Dodoma: Hatuna mpango wa kumkamata Zitto, hajafanya kosa la jinai, anajishtukia tu

    Ruttashobolwa said Moja ya tarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii jioni ya leo February 7 2017 ni kuhusu Polisi Dodoma kumtafuta kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ili wamkamate. AyoTV na millardayo.com imempata Kamanda wa Polisi Dodoma...
  7. Kansigo

    Maaskofu wahojiwa kuhusu unyanyasaji wa kingono Australia

    Maaskofu wahojiwa kuhusu unyanyasaji wa kingono Australia Saa 8 zilizopita Mshirikishe mwenzako Image caption Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani papa Francis Maafisa wa kanisa lenye ushawishi zaidi la Katoliki nchini Australia wataanza kufika mbele ya tume maalum inayochunguza unyanyasaji...
  8. Kansigo

    Simba sports vs Majimaji, Songea leo tarehe 4.2.2017

    karibuni mwenye update arushe Simba imeshinda mechi hiyo kwa magoli matatu kwa bila =========== Full Time : Majimaji 0 - Simba 3 88' Laudit Mavugo anafunga goli la 3 63' Said Ndemla anaifungia Simba goli la 2 Kipindi cha pili kinaanza sasa Mapumziko sasa: Majimaji 0 - Simba 1 19' Salum...
  9. Kansigo

    Tumemruhusu Rais Magufuli kuikanyaga demokrasia, ameset 'precedence' hata kwa marais wajao

    1. Alianza kuzima bunge live, tukapigapiga kelele tukanyamaza(si wanaharakati wala viongozi wa dini waliobodha kulishughulikia hili, wakaachiwa UKAWA na ACT, matokeo yake likawashinda). J. Kikwete hakuwa mjinga kuruhusu bunge live! 2. Akaja akaikanyaga katiba aliyoapa kuilinda kwa kuzuia...
  10. Kansigo

    VPL: Yanga vs African Lion tarehe 23. 12. 2016: tupia update humu

    tupieni updates hapa
  11. Kansigo

    Safari ya kwenda kumsalimia Jakaya Kikwete huko Msoga wakati wa Christmas hii

    Amejenga kilometer za barabara kuliko rais yeyote katika historia ya Nchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko rais yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Rais yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc. Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko...
  12. Kansigo

    Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

    Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa; i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. Ukandamizaji wa demokrasia na...
  13. Kansigo

    Kauli ya Mpendazoe "ukitaka kuepuka nzi lazima utupe kibudu" si ya kiungwana

    Japo mie ni mwana CCM, lakini nimesikitishwa sana na kauli hii ya Fredy Mpendazoe katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma kwamba ukitaka kuepuka nzi warushie kibudu. CCM iliwaondoa wale waliokuwa wanaleta harufu mbaya kwenye CCM. Hapa bila shaka alimlenga mhe Lowassa, kiukweli sikuipenda kabisa, hata...
  14. Kansigo

    Jacqueline Wolper arudi CCM

    Ni kwenye hafla ya wasanii Dodoma
  15. Kansigo

    Kati ya Wanafunzi 7,805 waliofukuzwa UDOM, ni 382 tu ndio wenye sifa

    Waziri wa Elimu nchini Tanzania, Prof. Joyce Lazaro Ndalichako atoa msimamo wa Serikali juu ya wanafunzi waliofukuzwa chuo kikuu cha Dodoma, leo jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa kati ya wanafunzi zaidi ya elfu saba waliokuwa wamedahiliwa na kuanza Chuo Kikuu Dodoma ni wanafunzi 382 tu...
  16. Kansigo

    Mwandishi wa Mwananchi Elias Msuya aitwa Polisi kuhojiwa kwa makala "Polisi na Hofu ya Watawala"

    Mhariri mtendaji wa gazeti la Mwananchi, Frank Sanga na mwandishi wake, Elias Msuya wameitwa na polisi kuhojiwa kuhusu makala iliyochapishwa na gazeti hilo kuhusu utendaji wa jeshi hilo. Wakati Msuya alipigiwa simu jana na kuhojiwa leo asubuhi kuhusu makala aliyoandika, Sanga ameitwa leo na...
  17. Kansigo

    Azam TV wananufaika na nini Matangazo ya LIVE kutoka Ikulu?

    Azam tv kipindi hiki imekuwa ni zaidi ya chombo cha umma. Hata kama Magu anakwenda Hazina lazima Azam wawepo, nananufaika na lipi? na kwanini TBC isifanye kazi hiyo?
Back
Top Bottom