ANGETOA MREJESHO WA HILI JAMBO KWA SASA, ISIJE IKAWA WATU TUNAONA SASA INAWEZEKANA ANAONGEA BARABARANI PEKE YAKE... KUTOKANA NA ZILE ESTIMATIONS= ni jambo la siku nyingi, au hayupo tena jf???
MUHESHIMIWA GEBA, inaonekana wewe ni mzoefu.naomba unipe mawazo kuhusu kilimo cha vitunguu swaumu. kwa hapa arusha, kuhusu gharama zake na mavuno katika heakari.
ok kiongoz nashukuru. hapo inabidi ukilima , lazima usome nyakati ambazo mang'ola wanalima. ili kuweza ku- overtake nao katika soko.ili kabisa kuwa tofauti nao! lakini inaonekana inalipa pia katika hilo eneo kama maji ni mfereji manake ni uhakika w a kupata maji.
nitapita huko siku moja
hivi kama serikali imesimamisha kuajiri watu kweli,hizi nafasi si ndio zimepepea hivi au sio hivuo wadau wa humu.kama zipo mbona hawamalizii kutua majawabu na kuita watu kweny oral!!
duh,bora hata wewe umefanya hilo.,mi nilitumaga email kabla hawajatoa hizi za juzi.nlikuwa naogopa kutuma tena kuuliza ntaonekana msumbufu wasije wakafuta jina langu kuchujwa mapemaa.
kama watu wanataka wawe matajiri kama wakulima kwann wanajazana kuomba NHIF .wewe umelima, ? watajiajiri wapi kama sio kwenda kulima maharage au mbogamboga? acha povu linitoke nawapigia kelele watu wakalime.na wewe nenda kalime huko kijijini kwenu
KUMBUKENI APPLICATION MLIFANYA NOVEMBA,
WRITTEN MKAITWA MARCH,,,,, countdown the same interval =desemba,Januari ,februari=march, haya sasa anza na machi= aprili,mei===........... ukikosa hapo.usiulize mtu ,nenda kalime hukoo kigoma na mtwara,na mara,na ngara, na kyela au katavi huko.utachagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.