Search results

  1. kalagabaho

    Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

    Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA. Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na...
  2. kalagabaho

    Azam yamsajili Suleiman Yamini Ndikumana

    Kwa wenye kumbukumbu huyu alishawahi kuchezea simba msimu wa 2007. Hivi academy yao haizalishi
  3. kalagabaho

    Nimeangalia FUTUHI mwanzo mwisho sijacheka!!

    Naona wanacheka wenyewe na kupigana tu na hili li jamaa llinene linavaa minguo michafu iliyochanika dah!!.. bongo bado sana!
  4. kalagabaho

    Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

    Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!.. Sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na kajala pale ITV kuwa ameshinda mil 20! Mkazi huyo alipoulizwa na kajala eti umezimia? Akajibu...
  5. kalagabaho

    Nyota Mzimbabwe Jah Prayzah katika kashfa ya kukopi video ya Diamond Platnumz

    nyota wa muziki maarufu nchini zimbabwe Jah Playzah amekumbwa na kashfa kubwa ya kukopi kila kitu video ya wimbo ya wimbo wake jarusarema kutoka katika video ya wimbo mdogomdogo ya mwanamuziki Diamond Plutnumz wa Tanzania. hata hivyo imekuja kugundulika baadae kabisa wakati nyota huyo mzimbabwe...
  6. kalagabaho

    Rapa Mtanzania kuwania tuzo za Grammy

    Rapa mwenye asili ya Tanzania Allan Kyariga maarufu kama Allan Kingdom Kwa mara ya atawania tuzo kubwa na zenye heshima ya kipekee duniani, Tuzo za Grammy. Allan Kingdom, mama yake ni mtanzania na baba yake ana asili ya marekani ametajwa kuwania tuzo za Grammy 2016 katiak vipengele viwili. Rapa...
  7. kalagabaho

    CAG wants TPDF to take over oil and gas security

    Oil and gas exploration companies operating in the country pay foreign private security companies US$3 million (about over 6bn/-) annually, which the Controller and Auditor General (CAG) says was improper. CAG Prof Mussa Assad said the money could be put into proper use if it was paid to...
  8. kalagabaho

    Muro kakosea kwenda Yanga, Yanga nayo imekosea kumpata Muro

    Anaongea kama mwenyekiti wa klabu, anaongea kama katibu mkuu wa klabu, anaongea kama kocha wa klabu na mbaya zaidi anaongea kama wale mashabiki wasiofuatilia soka ila ni mahili kupiga domo.jerry muro anaharibu zaidi cv yake yanga..yanga nayo inaharibiwa kwa kuonekana kama inaongozwa na afisa...
  9. kalagabaho

    Wasanii hawa hawajawahi kutoka ingawa hawajijui

    1. Kala Jelemiah - 2. Roma Mkatoliki - Huyu ni kama ameimba nyimbo moja tu toka aanze muziki nyimbo zake zote zinafanana- soon atapata stress huyu jamaa 3. Vanessa Mdee- Hajijui kama hajatoka na hawezi kutoka kwa kuwa hana kipaji 4. Luteni Karama- Hajawahi kutoka kama unabisha weka nyimbo...
  10. kalagabaho

    kurupu tii ndani

    Haya ndo hivyo tena
Back
Top Bottom