Search results

  1. B

    Sifurahishwi na Wachina kujenga sanamu ya baba wa Taifa

    JF Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa. Najiuliza kwa sauti kubwa sana 1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much? 2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
  2. B

    Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  3. B

    Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  4. B

    Tigo, nini umuhimu wa hii huduma ya "Longa Nae"?

    JF, Naomba kujadili Hawa jamaa wa TiGO Nini hii Longanae, utakuta nusu ya airtime ambayo unalipia mfano kwa Sh 3,000 kifurushi Cha Combo kwa wiki unapata muda wa maongezi dakika 200. Kati ya hizo dakika 100 wanazi-fix automatic kwa mtu mmoja tu unayemchangua kuongea nae muda mrefu na dk 100...
  5. B

    Maajabu ya trafiki Mombo korogwe kusimamisha magari kupisha msafara wa Waziri Mkuu

    JF, Jambo Holi nalitoa ili traffic wetu wakati mwingine wawe wanatumia busara zaidi katika kufanya maamuzi. Tukio limetokea maeneo ya kati ya Mombo na Korogwe ambapo magari ya kutoka Arusha Moshi yamesimamishwa kwa zaidi ya saa nzima sababu tu Waziri Mkuu yupo Lushoto kikazi. Sasa cha...
  6. B

    Tujadili: Uwepo wa Ujamaa wa kisasa ama Ubepari

    JF Nimeona nianzishe uzi tujadili hili maana nimeona minyukano ya pandehizi mbili na matusi juu wakati huu hasa baada ya kuondokewa na Rais wetu mpendwa Magufuli...RIP.. Mi nadhan kwanza wanataka kumyumbisha Rais wetu Mama Samia na utawala wake...sidhani hawaelewi kwamba wananchi majority zaidi...
  7. B

    Lissu ni asset au liability kwa CHADEMA?

    atika Hali ya kawaida CHADEMA kabla ya kampeni ilikuwa na wabunge zaidi ya 50, wakati hata kabla Lissu hajaenda Ubelgiji. Kabla ya ujio wa Lissu, CHADEMA ilikuwa kidooogo inaeleweka eleweka ingawa bado kulikuwa na majinga yanayopenda kupiga mayowe ya kutafuta Kiki, hata hivyo wananchi...
  8. B

    CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

    Habari Wana JF, Nimewiwa kuandika uzi huu baada ya kumalizia tafiti yangu niliyofanya kwa muda mrefu katika majimbo ya uchaguzi yote Tanzania bara na Zanzibar...nasema CHADEMA byebye.. nimeshtushwa kumbe makelele yotee yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna kitu uhalisia kule mtaani..Ni maajabu na...
  9. B

    CHADEMA: Asante na Kwaheri ya kuonana

    Wana JF Tuseme ukweli tu ingawa ukweli mchungu, Wananchi wazalendo wa nchi hii wanakwenda kuiadhibu CHADEMA na mgombea wake Lissu tarehe 28 Oktoba. Si kwa sababu hawampendi Lissu la hasha. Ni kwa sababu ya kumwonyesha wananchi hawa Wana akili zaidi ya anavyofikiri yeye. Lissu aende aambatane...
  10. B

    Tusaidiane: Inakuwaje kuna shule Wazazi wamelipishwa ada kipindi cha Corona

    Habari JF, Naomba tufahamishane kulingana na mwongozo wa Wizara ya Elimu, hakuna mzazi atakayelipishwa ada kipindi chote cha Corona ambacho watoto wamekuwa nyumbani, unless unadaiwa huko nyuma. Ni vipi basi kuna shule zimelipisha wazazi kwa kupunguza mwezi mmoja tu tena kwenye usafiri na sio...
  11. B

    inashangaza Mawakili na ubinafsi huu kwa mambo yao wakati hawajawahi kukaa hata kukemea mauji ya Kibiti

    Wana JF. Nimepigwa na mshangao kwa hawa viongozi wa mawakili waliojitokeza kwa nguvu zote tena wa Bara na Visiwani kujitetea kwa tatizo la milipuko tena wakati hakuna hata mtu aliyechunika au kukwaruzwa na chochote.ingawa baadhi ya mali kuharibika labda. Nazungumzia uhai wa binadamu kwanza kwa...
  12. B

    Mtazamo: Bado nashauri chama cha CUF kifutwe

    JF. Napata shida sana na hasa kutokana na hali niliyoiona leo pale Mahakama kuu wakati washabiki wa pande mbili za Prof Lipumba na Maalim Seif walipogongana uso kwa uso. Katika hali kama ile sipati picha endapo Mahakama itatoa hukumu na upande mmoja kushinda na mwingine kushindwa. Kunaweza...
  13. B

    Mtazamo: Bado nashauri cha cha CUF kifutwe

    JF. Napata shida sana na hasa kutokana na hali niliyoiona leo pale Mahakama kuu wakati washabiki wa pande mbili za Prof Lipumba na Maalim Seif walipogongana uso kwa uso. Katika hali kama ile sipati picha endapo Mahakama itatoa hukumu na upande mmoja kushinda na mwingine kushindwa. Kunaweza...
  14. B

    Kama vyama vinakuwa na wenyeviti wa kudumu tuamue hata Urais uwe wa aina hiyo

    Wana JF. Nimekaa natafakari sana sipati jibu mtindo au aina ya demokrasia tunayojaribu kuijenga katika nchi yetu. Ni dhahiri kabisa katika harakati za kujenga demokrasia nchini kuna wengine ambao akili zao hazipo huko kabisa. Kama tunaamua kwa pamoja kwamba wote tuelekee uchumi wa kati basi...
  15. B

    Sikujua kama wasemaji wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa na Makongoro Mahanga

    Siasa zimepata mkunaji sasa. Wasemaji wanaoonekana kwenye vyombo vya habari ni hao. Wanazungumza kwa niaba ya upinzani wote. Hivi najiuliza Tanzania tuna upinzani kweli au masihara. Halafu eti tuwasindikize waende Ikulu hawa. Kiukweli kabisa hata Mungu atatuadhibu vibaya sana. Haiwezekani...
  16. B

    Msajili wa vyama vya siasa futa hiki chama cha CUF

    Wana jamvi, Ningependa kutoa ushauri wangu na hasa kuhusiana na hiki chama ambacho inavyoonekana kimepoteza thamani sasa ya kuitwa chama cha siasa. Kinachonishangaza zaidi inaonekana sheria haiko wazi hasa kuhusiana na nani ni nani kwa sababu haiwezekana kama sheria ya vyama na kulingana na...
  17. B

    Ushauri wa bure: TANESCO msioneshe miundombinu yenu yote kwenye luninga

    Wana JF. Nimeona TANESCO wana vipindi mara kwa mara katika television kuonyesha hatua mbalimbali walizofikia katika kuboresha miundombinu ya umeme na usambazaji wa nishati hii nchi nzima. Suala ambalo ni zuri sana. Tatizo kubwa ninalolihisi kwa sisi wananchi na hasa wale ambao hawana...
  18. B

    Wako wapi "friends of Lowassa"?

    Wakuu, Nimekaa nikitafakari huku na kule na bila kupata majibu. Wale lwalokuwa wakizunguka huku na kulewakitoa hata misaadawako wapi? Kwani baada ya mheshimiwa kukosa urais misaada ndio basi tena ?? Hata mheshimiwa naye ile misaada tuliyokuwa tukifaidika nayo jamii zetu ndio basi tena...
  19. B

    Kwanini watu wa Haki za Binadamu, LHRC hawazungumzii haki za wezi wanaochomwa moto?

    Bandugu, tumeshuhudia mwizi akiuawa na wananchi wenye hasira pale Mwananyamala leo. nataka kuuliza watendaji wa LHRC, je 1) mwizi huyu ambaye ni marehemu hana haki ya kusikilizwa ? 2) nini tofauti ya haki kati ya mtu huyu na yule ambae ameiba fedha za umma /fisadi ambaye anatumbuliwa jipu...
  20. B

    Serikali ianzishe masomo maalum mashuleni ili kujenga mfumo ambao ni endelevu

    wana JF. nimeona jitihada mbalimbali za serikali kutaka kurudisha taratibu na mifumo mbalimbali ambayo ilikuwa imepotea au kuharibiwa. mfano tabia ya usafi, uwajibikaji wa kulipa kodi kila eneo la biashara, maadili, utii wa sheria bila shuruti n.k kwa hali ilivyo nchi yetu ilikwisha poteza...
Back
Top Bottom