Search results

  1. B

    Paul Kimiti akiri kuhujumu Katiba ya Joseph Sinde Warioba

    Nani amekwambia tume imekubaliana..sema wamepiga kura wengi wape..matumizi ya demokrasia tu..haimaanishi hawakutofautiana kimawazo
  2. B

    Anga linaongea uwepo la turubai lingine kubwa

    Mlisema hayahayaa kwa Dr Mpango mkaumbuka
  3. B

    Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Hahaha be positive, usikariri Mambo ya watu wanayosema..judge by your own...Makonda kijana wa watu Ana shida gani..Mh Rais kamwamini kumuweka pale..bado mapema sana kuanza kulipuka lipuka..
  4. B

    Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tanz ya Leo nadhan inahitaji hii kwata ili isonge mbele..tuache unafiki..kwa hiyo tunaelekea pazur..Mungu atusaidie manake Kuna watu wanafanya mchezo na nchi yetu..
  5. B

    Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Huu nadhan ni utumbo tuu...tafuta takwimu halisi then u conclude..una data?? Unaweza thibitisha mahakamani hizi habari zako..acha uhuni bana
  6. B

    Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Nadhan jomba kama alikuwa na makandokando hayo zama hizo, basi inawezekana amejirekebisha..Makonda huyu wa Sasa tunayemuona ni mtetezi wa wanyonge...ukitaka kujua uliza wananchi wanaonaje..usiwe mjinga ikabaki na ma assumption yako ya miaka 47 jomba..jua Sasa umeshapitwa na wakati
  7. B

    Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

    Wote wasaidizi wa mama Dr. SSH watakuwa machifu nsumbantale, kwani Kuna shida gani si wasaidizi
  8. B

    Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

    Hakuwa anazungumzia issue za Makonda bana...mbona kwa Makonda alijibu vizuri..acheni kugombanisha
  9. B

    Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

    Anaharibu wapi, acheni kudanganya watu nyie... Msimtishe Mh Rais wetu bila sababu. Mnadhani wenyewe hamjui vizuri. Tatizo, bana, mafisadi yakishaona kuna hali ya hatari, yanaanza kujitengenezea barrier ya kutoguswa. Hata kama anatembelea nyota na Magufuli, kuna tatizo gani? Wakati katika nyota...
  10. B

    Waliokushauri uachane na tabia yako ya maridhiano ndio waliokupotezea mvuto

    Kwani nani kaachana na maridhiano..tupeni update
  11. B

    Waliokushauri uachane na tabia yako ya maridhiano ndio waliokupotezea mvuto

    Inakuhusu, huku Chadema kwenyewe hatujui mwelekeo tunakimbilia vya watu..
  12. B

    Tembelea tovuti ya NIDA kujua kitambulisho chako kiko wapi

    Si kweli jomba Mimi naona hapa mfumo uko vizuri na huduma inapatikana..wewe utakuwa na tatizo la bando au simu yako si simu..kiswaswadu nacho eti unatumia kuangalia mtandao..uliza kwa wazoefu wakuelekeze jomba
  13. B

    Tetesi: Ole Sabaya kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Wewe ndie Hakimu au Judge wa kutoa maamuzi hayo au...maamuzi yako yako Yana base kwenye nini hasa..unaweza peleka ushahidi wako mahakamani
  14. B

    BBC wana maswali ya kujibu bila kujali walichoeleza kuhusu TB JOSHUA ni ukweli au uzushi

    Hukuwah kumwamini kwa sababu zipi labda udadavue kidogo tupate mwanga..
  15. B

    Kwanini sherehe za uhuru au nyingine za kitaifa wakati wa Magufuli viongozi wa Afrika Mashariki walikuwa hawafiki?

    Nimekuuliza wewe kwanza jibu..na tuambie umezipimaje, kwa sababu kwa mtazamo wa nje, inaonekana huna....empty
  16. B

    Kwanini sherehe za uhuru au nyingine za kitaifa wakati wa Magufuli viongozi wa Afrika Mashariki walikuwa hawafiki?

    Mods takataka kama hizi usiwe unaziweka...delete futa kabisa..maana hazitujengei Taifa bali zinataka kubomoa tu..Vita ya kiuchumi hii ni mbaya sana
Back
Top Bottom