Search results

  1. T

    Tahadhari kwa Wanaotaka Kujengewa nyumba na VIGUTA, majuto ni mjukuu!

    Salaam kwenu, Wengi wenu ambao ni wapenzi wa kufuatilia fursa, hasa katika mambo ya ujenzi jina VIGUTA litakuwa si geni kwenu. VIGUTA wamafanikiwa kujitangaza kama mkombozi wa wananchi katika ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa gharama ndogo sana. Hasa baada ya uamuzi wa serikali kuhamia Dodoma...
  2. T

    Credibility Check: SBT Japan Kampuni ya Kuuza Magari

    Mi niliagiza gari toka kwao mwaka juzi na sikupata shida, gari lilifika bandarini (nilipata) ndani ya mwezi mmoja bila tatizo,na nilikuwa nalitrack kupitia kwenye website yao (wanatoa username na password). Niliweza fuatilia toka tarehe ya kuli load kwenye meli. Na pia tarehe walosema meli yenye...
  3. T

    Document Feeder inahitajika ( DADF-AB1 for Canon IR 2520 )

    Ahsante kwa taarifa, ntafuatilia kwa ha ideal computer
  4. T

    Document Feeder inahitajika ( DADF-AB1 for Canon IR 2520 )

    Heshima mbele wana JF, Nahitaji Document Feeder ya photocopier Canon IR 2520 (DADF-AB1 for Canon IR 2520). Ningependelea kupata mpya, naomba mwenye nayo anijuze naipata kwa bei gani ifikishwa Dar. Unaweza ni pm. Ahsante!
  5. T

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Nashukuru sana kwa huduma ya michango ya mawazo, ushauri na ufumbuz inayotolewa katika jamvi hili imetusaida wengi! Naomba nami nisaidiwe kwa hili: Nini gharama ya kujenga flat yenye kuweza kuwa na units sita (mbili chini, mbilikati na mbili juu) kila unit iwe na bafu/choo mbili ikiwa ni...
  6. T

    Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi

    Ni kweli kabisa, japo mi ni member mgeni wa kujiunga ila nimekuwa nikiitembelea hii forum muda mrefu, nimeona watu wengi wanapoona wanatumia majina mbadala wanatumia hoja za nguvu na kauli ambazo kwa mtazamo wangu ni hatarishi na zinawaweka ma mods pabaya. Hivyo nina shukuru Mkuu kwa kutujuza...
  7. T

    Hello wana JF!

    Hello wana JF, just joined the Forum. Nimepata habari nyingi nzuri an muhimu sana hapa, keep it up!!
Back
Top Bottom