Search results

  1. C

    Elections 2010 Mbowe, Marando, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika

    Hapana hapana Dr. Slaa alisema matokeo ya Rais ndio yenye matatizo na msimo wa chama Mbowe alisema hawayatambui. Wabunge hawakuzungumziwa sio kimakosa bali kisheria zaidi, nadhani kuna hoja ya msingi hapa wabunge wetu wasipo sikiliza hotuba ya Mkwere wata ruhusiwa kuijadili? Hapo sina uhakika...
  2. C

    Kwa hili Jenerali Uimwengu umewaacha mashabiki wako njia panda

    hapo kwenye posti hilo nalo neno
  3. C

    Kwa hili Jenerali Uimwengu umewaacha mashabiki wako njia panda

    Mwanamageuko Kunapointi hapo
  4. C

    Kwa hili Jenerali Uimwengu umewaacha mashabiki wako njia panda

    brooklyn Acha polojo mtazamo wangu uko pelepale haijarishi alindika lini walaka huu kwa mara yakwanza. ukifanya kosa basi uendelee kufanya tena kwasababu una rudia? basi lako sipandi @kereng'ende
  5. C

    Kwa hili Jenerali Uimwengu umewaacha mashabiki wako njia panda

    :nono: Hili la uraia haliwezi kumfanya mtu aandike hivi ama sivyo nadhani ange kaa kimya kabisa.Kuna kitu kinacho msukuma kwenye nafsi yake na ndicho anacho taka kukitimiza.
  6. C

    Kwa hili Jenerali Uimwengu umewaacha mashabiki wako njia panda

    Barua zanamna hii zinahitaji kuandikwa kwa watu wenye uwezo wakutafsiri fasihi simlizi vizuri vinginevyo sina uhakika aliye andikiwa barua hii na rafiki yake kama anamuda wa kuisoma na kuchukua maudhui yake nakuyaweka katika picha halisi.pia siamini kama ulimwengu analengo lakuleta mabadiriko...
  7. C

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Pascal, Kama mtanzania wakweli hakika unajua kuwa uchaguzi umechezewa, hata kama hujafanya utafiti wakina utajua kuwa rais wa Tanzania mwaka huu haja ingia ikuru alie ingia ikuru anajua ameingia kwanjia gani. Hivyo usitegemee Dr. Slaa anaye wakirisha watanzania ata hudhuria kutangazwa au...
  8. C

    Mbunge wa jimbo la Ubungo na jimbo la Kawe ni wachumba?

    Hiyo sio hoja yakujadili kabisa na wala sio mahala pake
  9. C

    Elections 2010 Shibuda kateleza au ni mazoea tu? hebu sikiliza video hii

    Tunahitaji watu makini CDM hatuhitaji watu walio changanyikiwa,tupo kwenye harakati za ukombozi hivyo shibuda chunga kauli zako,
  10. C

    Elections 2010 MBUNGE WA SIKONGE na Upuuzi Wake

    Haya mambo yakulewa na sifa yamewaponza watu wengi sana akiwemo christopher mwana wa Mtikila, wakati wa vuguvugu lamagezi mwaka 1992 mtikila aliamsha watanzania na wakaamka kwakiasi chake.Baada yakuona anawafuasi tena wanao mbeba mabegani wakati wamikutano yake akalewa sifa akanza matusi sasa...
  11. C

    Marando got votes from CHADEMA, NCCR-M and few CCM MPs. CUF voted for a CCM candidate

    Please tell me if CUF can form partinership with Chadema in Zanzibar! you will be clever enough to agree the same in mainland
  12. C

    Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

    Unasema viongozi CDM wamekaa kimya? sijaelewa kabisa unamaanisha nini! unadahani inchi hii itakombolewa kwa kupiga kelele? tunahitaji mikakati madhubuti yenye mwelekeo wa kujenga na kukomboa taifa.Unadhani lyatomga kilimshinda nini pamoja nakuwa nawafuasi wengi kama chaema ya leo kwaidadi sio...
  13. C

    Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

    sidhani kama nibusara kuzungumuzia Chadema kuunda kambi ya upinzani wa kishirikiana na cuf,Chadema nichama makini cuf wamechanganyikiwa sidhani kama wazima kama kweli ni wazima basi wa subiri bosi wao mkwere atakapo tangaza baraza la mawaziri kama atawakumbuka akiwatosa hayo yatakuwa...
  14. C

    Dk. Slaa: UCHAGUZI WIZI MTUPU

    Hapa hakuna chakujadili wizi umeshafanyika kilamtu anajua hata aliye iba anajua kuwa tulio ibiwa tunajua, sasa tuambizane tunaanzia wapi natuna fanyanini? je tunakubali kutawaliwa na wezi? hiyo hapana hapana lazima tupambane
  15. C

    Elections 2010 Askofu ampoza Dk. Slaa

    Wana JF naanza kwakushanga! halafu najiuliza hivi nikweli kiongozi mkuu wadini anaweza akateta na waumini akimtetea shetani? hakika shetani anaweza akawa amemtetea makuu mtu huyu hadi akamsahau mungu! Je waweza kuahidiwa mkuu na wezi na ukawasaliti watu wako kwakufichama chini ya mwavuli unao...
  16. C

    Elections 2010 CUF ingeungana na CCM ili tuweze kujua tunadili na nani

    Kwaufupi CUF wanatambua process yote ya uchaguzi na kuapishwa mporaji kuwa prezida kamandivyo hivyo nilivyo wasoma nao nawa weka kwenye kapu moja na wachakachuaji wa demoklasia katika nchi hii haijarishi wamesema nini lakini kitendo cha kukumbatiana na mharifu ni ishara tosha kuwa na wewe nimharifu
  17. C

    Elections 2010 CHADEMA - Cost benefit analysis

    Kama unahisi unamawazo mgando usijaribu kujadiri mada yoyote kabla ya kujadiri namnagani utajitoa kwenye tatizo lako lamsingi ulilonalo la kifikra.watu wanajadiri mambo mhimu wewe unazungumza habari za gharama? achana na gharama za kifedha (monentary cost) katika wizi huu ulio tukuta kuna suala...
  18. C

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Hatuhitaji kuongea tunahitaji kutekeleza, saa ya ukombozi ni sasa hatuwezi kukubali nchi yenye watu zaidi ya milioni 40 iamuliwe mambo yao na kikundi cha watu wasiozidi milioni 1. Mabadiriko ya katiba ni lazima angalia uchafu unao jitokeza kwenye katiba ya jamhuri haitambui serikali ya umoja...
Back
Top Bottom