Search results

  1. Silly

    Wadhamini kwenye Soka letu

    Wakubwa tuna changamoto kubwa ya kupata wadhamini wa timu yetu ya mpira daraja la kwanza (Champions). Aidha waliotangulia kwenye mpira hawakuwa watu sahihi na wamevuruga hali ya hewa kiasi kwamba mpira kwa sasa unaonekana ni ligi kuu tu. Tunatokaje hapa maana kwa kweli khali ni ngumu na kuuza...
  2. Silly

    Igoma - Kishiri - Buhongwa

    Hapa kuna barabara ambalo kimsingi linahudumia watu wengi, na kwa wengi sana limekuwa ni msaada mkubwa kwa kuwawezesha watu kufika Buhongwa bila ya ulazima wa kupita mjini kati. Siku za hivi karibuni linatumika sana hata na magari makubwa na ukweli ni kwamba litakuwa ni msaada mkubwa sana...
  3. Silly

    Bunge la 2016 -2020 liwe na sura nyingi mpya

    Bunge lijalo linatakiwa kuwa na sura nyingi mpya kwa kuzingatia uelewa wa watanzania umekuwa zaidi ya 2010 - 2015. Ukizingatia mwaka 2010 wapo wabunge wengi haswa wa upinzani waliopitishwa kwa tsunami flani ikiwa ni pamoja na yule wa wilaya flani ya mwanza na mwenzake mitaa ya bariadi. Watu wa...
  4. Silly

    Hii ya Kenya kuwasaidia Sudan na Somalia imekaa vipi

    Ninakunwa kidogo na fikra nazopenda kuziita fupi za viongozi wengine barani Africa. Siku za hivi karibuni ndugu zetu jirani zetu wa Kenya wamepata kushambuliwa na watu wengi kupoteza maisha na katika mashambulizi yote - kikundi cha Alshabab kimetamba kuhusika. Katika masharti yao - Alshabab...
  5. Silly

    Uchaguzi Mdogo Wa 09-02-14

    Wakati tukisubiri zoezi la uchaguzi mdogo wa kujaza viti vilivyoachwa wazi vya madiwani katika kata 27 zilizoko halmashauri 23 hapo jumapili ya 9-2-14, ni vema tukapata picha halisi na kila mmoja aweze kufanya update zake na kujua chama chake kimeweza vipi kuwakilishwa au kukubalika kwa umma wa...
  6. Silly

    Kura za Vijana

    Ni wazo tu, hivi ikitokea uchaguzi ukaitishwa maeneo unayoishi leo, utapiga kura au utaishia kuhudhuria mikutano ya siasa tu. Ni swali ambalo vijana wengi tunatakiwa kujiuliza hasa tunapoelekea kwenye chaguzi ndogo Februari na baadae za mitaa 2014, na mwisho uchaguzi mkuu wa 2015. Mara kwa mara...
  7. Silly

    Kuwepo na minimum qualification wabunge

    Nadhani viwango vya uchangiaji kwa wabunge wengi vimekuwa duni kutokana na elimu yao ndogo pamoja na wengi kuwa na nafasi za kuzawadiwa. Kwa maana hiyo nadhani ni vema kuwepo na sifa lets say degree angalau moja ili mtu apitishwe kuwa mgombea wa ubunge, na diploma/certificate kwa madiwani. Kama...
  8. Silly

    Magamba ya Mwanza

    Uchaguzi wa mwaka jana ulizaa matunda na kubadilisha sura ya Mwanza baada kujivua magamba. Ila viongozi waliopata zile nafasi sijaona kama wanazitumia vizuri kwangu mimi kama mtanzania wa kawaida ambaye hana fursa ya kuingia kwenye vikao vya wakubwa kujua mipango yao, barabara zetu bado zinadai...
  9. Silly

    Karibu Mgeni

    Hello Wakubwa, Nimekuwa great admirer wa JF kwa vile discussions zinazopatikana hapa zina base kwenye facts na sio ushabiki kama vijiweni au mjengoni (sometimes). Nimefanikiwa kujiunga na pia nataraji kwenye discussions mchango wangu pia utaweza kuwasaidia wengine na pia mwenyewe nitakuwa...
Back
Top Bottom