Search results

  1. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Salamu mbele! Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora. Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
  2. Zawadi B Lupelo

    Sakata la Bandari: Je koti la Muungano linabana?

    Katika mazingira kama haya ndipo unapoona namna muundo wetu wa Muungano wa serikali mbili ulivyo mbovu na mbaya. Mazingira ambayo tuna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar na waziri wa uchukuzi Prof Mbarawa kutoka Zanzibar pia halafu wanaingia mikataba kuhusu bandari ya...
  3. Zawadi B Lupelo

    Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
  4. Zawadi B Lupelo

    Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

    Aliyekuwa Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar AKA mzee wa Kaliua ametambulishwa rasmi Wasafi FM ambapo sasa atakuwa na kipindi chake kitakachokuwa kinaitwa Jana na leo, kikiruka muda uliokuwa wa kipindi cha Mgahawa yaani siku za wiki kuanzia Saa 11 jioni hadi Saa 2 usiku
  5. Zawadi B Lupelo

    Feitoto yupo sawa kisheria

    Nimesikia mwanasheria na uongozi wa Yanga wanasema Feitoto hajafuata utaratibu uliopo kwenye kanuni za FIFA za kuvunja mkataba ambapo mchezaji ili avunje mkataba lazima kuwe na just cause (reasonable cause). Kitu ambacho tunatakiwa tujue ni kwamba kanuni za FIFA siyo alfa na Omega bali zinatoa...
  6. Zawadi B Lupelo

    Kwanini tunafikiri tunastahili haki miliki Royal tour film?

    Ni nini kinafanya watanzania wafikirie kwamba tunastahili haki miliki Royal tour film? Je ni kutoa mshiriki (mama Samia)? Je ni kutoa location (mbuga zetu)? Kwanini hatujiulizi; Ni nani mwenye idea na producer wa hiyo film? Ni nani aliyetoa fungu la fedha la kugharamia hiyo film?
  7. Zawadi B Lupelo

    Innocent/Bonafide purchaser remedy

    Who is the innocent/bonafide purchaser in Tanzania? The buyer is an innocent or bonafide purchaser in Tanzania if he had no actual notice, constructive and imputed notice when buying the suit landed property. The remedy of innocent purchaser is to be declared to be rightful owner of the landed...
  8. Zawadi B Lupelo

    Ismail Jussa; Sikubaliani na hoja kwamba mchakato wa katiba uanze baada ya 2025

    Kada machachari wa chama cha ACT Wazalendo, Ismail Jussa amesema kwamba hakubaliani na hoja kwamba mchakato wa katiba mpya uanze mwaka 2025 baada ya uchaguzi. Ismail Jussa ametoa msimamo huo kupitia akaunti yake ya Twitter. Kauli hii ya Jussa inakuja kipindi ambacho chama chake kimeshaweka wazi...
  9. Zawadi B Lupelo

    Mbeya: Watoto wamshtaki mama yao ili awaoneshe baba yao, soma kesi ilivyoisha

    Kuruthum Omary Kahimba & Rehema Omary Kahimba vs Mwajuma Omary Kahimba, Misc Civil Cause No 04 Of 2018 Kwa maneno yake mwenyewe Jaji Ndunguru anasema kesi hii inamkumbusha mistari ya Biblia Takatifu kutoka kitabu Cha Yohana Mtakatifu 14;8. Yesu alipokuwa akifundisha mmoja wa wanafunzi wake...
  10. Zawadi B Lupelo

    Nia ya kuua/ Malice aforethought

    NIA YA KUUA/ MALICE AFORETHOUGHT Kuua kwa kukusudia (murder) adhabu yake ni moja tu kunyongwa mpaka kufa. Kuua bila kukusudia (manslaughter) adhabu yake ya juu kabisa ni kifungo cha maisha, na adhabu ya chini inaweza kuwa kuachiwa huru. Hii inamaana kwamba unaweza kuua bila kukusudia na...
  11. Zawadi B Lupelo

    Failure to file written submission

    In the case of GODFREY KIMBE VERSUS PETER NGONYANI CIVIL APPEAL NO 41 OF 2014 the Court of Appeal of Tanzania Held that failure to file written submission is tantamount to failure to appear and defend ones case "...We are taking this course because failure to lodge written submissions after...
  12. Zawadi B Lupelo

    Ufafanuzi wa kisheria kuhusu makubaliano ya kukiri kosa

    Ufafanuzi wa Kisheria Kuhusu Makubaliano ya Kukiri Kosa (Plea Bargaining) A. Utangulizi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu mabadiliko ya Sheria ya Makosa ya Jinai kupitia Mapendekezo ya Marekebisho ya Sheria yaliyoletwa kupitia Muswada namba 4 wa...
  13. Zawadi B Lupelo

    Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

    Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji. Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa yake kuwa mashakani alimfuata mchungaji ambaye alimtisha kuwa haruhusiwi kuolewa bali asubiri mpaka...
  14. Zawadi B Lupelo

    Mjue Mmarekani Seneta Ernie Chambers aliyemburuza "Mungu" mahakamani

    JE WAJUA? Seneta Ernie Chambers, Seneta wa Nebraska Marekani mwaka 2008 alimshitaki Mungu mahakamani. Seneta Chambers aliiomba mahakama itoe "ZUIO" la kudumu dhidi ya Mungu kufanya shughuli zake zenye madhara kama kuleta mafuriko, matetemeko ya ardhi, vimbunga, tufani na majanga mengine mengi...
  15. Zawadi B Lupelo

    Wakili Msando amvaa Zitto Kabwe kuhusu Mkurugenzi wa Vodacom kulazimishwa kukiri kosa

    Wanajamvi salaam Wakili Albert Msando ambaye kwa sasa anajitambulisha kama Mshauri mkuu wa masuala ya kisheria wa CCM amejitokeza na kupinga tuhuma za Zitto kabwe kuhusu sakata la Mkurugenzi mkuu wa Vodacom na wenzake. Awali Zitto Kabwe alikuwa ametoa tuhuma kuwa Mkurugenzi wa Vodacom na wenzie...
  16. Zawadi B Lupelo

    Ni wakati sasa tupate mrejesho wa tulipofikia sakata la korosho

    Ni wiki kadhaa sasa toka serikali itangaze kuwa itanunua korosho zote na kuwalipa wakulima. Mpaka sasa serikali kupitia wizara ya kilimo ipo kimya, haijulikani ni korosho tani ngapi zimenunuliwa na nani amelipwa. Hawa wakulima wanaishije? Hali zao zipoje? Nadhani ni wakati sahihi kwa serikali...
  17. Zawadi B Lupelo

    ATCL yaelemewa na madeni, yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa IATA

    Mkurugenzi wa shirika la ndege la Tanzania ATCL Ladislaus Matindi amesema kwamba madeni yanayoliandama shirika la ndege la Tanzania ATCL yamesababisha liondolewe kwenye mfumo wa malipo wa shirikisho la mashirika ya ndege duniani IATA. Source: Azam tv Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Zawadi B Lupelo

    Seven: Ommy Dimpoz hayupo ICU anaendelea vizuri

    Manager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa. Akiongea na Millard Ayo akiwa South Africa Manager Seven amesema kilichopo ni kwamba Ommy Dimpoz alikwenda hospital kucheki afya na...
  19. Zawadi B Lupelo

    Diamond ni Lady Jaydee wa kiume

    BY Na Dk Levy IN SUMMARY Njia za Jide anapita Diamond leo, ingawa kapiga hatua nyingi zaidi ya dada yake. Advertisements Stara Thomas ni kama kaondoka, yeye yupo. Unique Sisters walitoweka, yeye yupo. Dataz, Zay B, Sister P, Fina Mango, Klynn, Rah P na warembo kibao kwenye gemu mpaka huyu wa...
  20. Zawadi B Lupelo

    WCB wang'ara tuzo za AFRMMA Alikiba, Vanessa wakatwa

    Tuzo za afrima nchini nigeria imetoa list ya wasani watakaoshindanishwa katika vipengele mbalimbali katika mashindano hayo. Huku wasanii kutoka katika lebel ya WCB wakiongoza katika vipengele mbalimbali huku wasanii wengine wakishindwa kuonekana katika vipengele vyovyote . kwa upande wa wasanii...
Back
Top Bottom