Search results

  1. D

    Madereva wa mabasi Stendi ya Magufuli, Mbezi wana kikao

    Usijali ndugu yangu nchi imerudi mahali pake na kwa wenyewe walamba asali na kila mtu ni bosi na hakuna watakao wafanya chochote. yaani hili Taifa iko siku itaenda chto kwenye kaburi la Magufuli kuomba msamaha maana haya mambo enzi za uhai wake yalikuwa hayasisiki kabisa na mgomo wa mwisho...
  2. D

    Naomba Jina la mtoto wa Kike linalo anza na herufi J

    Mwite Josephine kwa kifupi. Phina
  3. D

    Ramani ushahidi: Mbuga ya Burigi ipo pia Chato

    Kwa watu Ambao hawajawahi kufika na kufanya kazi Chato na kata zake Kasenga mpaka kata ya Bongera ni maeneo Ambayo yanapakana na pori la Burigi NADHANI NI UAMUZI WA BUSARA KUANZISHWA KWA HIFADHI HIYO MAANA PALIKUWA NA UHARIBIFU MKUBWA WA MAZINGIRA na hata majangili na wachungi Ambao ni wahalifu...
  4. D

    Maajabu ya mwanamke yaliyowashinda hata wanafalsafa kuelewa

    Nimeisoma nikiwa nimetulia sana na yote yanayosemwa ni ya kweli tupu na ndiyo maana nimeona baadhi ya wanawake humu wamekasirika na hawapendi kuona tunajifunza mambo haya. Shukrani Kwa mleta mada maana Mimi sikuwahi kuisoma natafuta namna ya Ku save.
  5. D

    Askari Morris Okinda aliyeko kwenye kesi ya dhahabu Mwanza, ndio yule Mwanariadha wa zamani?

    Huyu jamaa hana file zuri sana na huwa anajisia kuwashinda kesi makao makuu alipokuwa amesimamishwa maana aliposimamishwa alipelekwa Babati Manyara akiwa Inspector na kwenyewe alifanya madudu ya kutosha lakini akiwa makini sana bila kutiwa hatiani akapanda kuwa OCD monduli, Kiteto nk mpaka...
  6. D

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ndoa ya mateso uliorudiwa na Paulina Zongo nitashukuru hata kama ni audio
  7. D

    Nani Kakukera Zaidi 2015

    Mi nadhani Chadema na Lowasa wanilikera kuliko mtu mwingine yoyote.
  8. D

    Tukio gani la kisiasa hutolisahau mwaka huu wa 2015?

    Mi siwezi kusahau jinsi kikwete alivyomwaibisha Lowasa kwa kuzuia mafuriko na MKONO, KAMATI KUU WAKAZUIA KWA VIDOLE NA HATIMAYE WANANCHI TUKAZUIA NAFURIKO NA KUCHA TUKAMPATA RAIS WA WANYONGE
  9. D

    2015 best moment: Kukatwa bila kuangalia sura, majina ya mfukoni, JK ametisha sana

    Mkuu wewe unaielewa siasa ya bongo na disco malapaa la mtoto wa mjini J K maana wanaojua kufuatilia mambo kwa makini na kuyambua tulikuwa tunajua wazi kuwa nani atakuwa Rais wa nchi hii ila kuna watu ambao walijitia ukichaa ndani na nje ya mitandao wakiamini membe atakuwa Rais au Lowassa huku...
  10. D

    Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Una akili za kutosha ndugu yangu Ila hawa malofa na manyumbu hayawezi kukuelewa kama alivyo mwenyekiti wao tapeli aliyehamishia hela ughaibuni akisubiri uchaguzi wa damu halafu yeye na familia wasepe. MCC kwendeni zenu na hela zenu za Freemason. Mungu ametupa Mali za kila aina tutazitumia...
  11. D

    Tanzania kuanzisha mazungumzo ya kusuluhisha mgogoro wa Burundi

    We nawe huwa unawashwa katikati ya masaburi yako sijui hata una matatizo gani!!!!? chokoraa hata umlee vipi hawezi kuwa na heshima.
  12. D

    Nanunua gari, nina milioni 5

    Nimecheka mpka watu wamenishangaa kwenye basi yaani wewe Preta siyo mzima fundi magari
  13. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Sasa wewe kamanda unaielewa picha yenyewe na mazingira yake wacha wavivu wa akili waendelee kufuata upepo bila kujua picha lenyewe likoje.
  14. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Ni kweli kamanda ila sidhani kama ni maamuzi ya Esterpeke yake bali inavyoonekana ni marlekezo kutoka uongozi wa juu maana yeye mwenyewe anaonekana kama haridhiki na hali hiyo. Kinachokera hapa ni kuona baadhi ya watu wananitukana kwa kulizungumzia suala hili wakati hii ni nchi ya ki demokrasia.
  15. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Kama mlitaka kusuhisha kwenye vikao vya ndani yale makelele na matusi mliokuwa mnajaza hapa halmshauri na kuwaita baadhi ya vijana wa bodaboda ilikuwa ni kwa ajili ya nini? acha kutumia masaburi kuongea badala ya kinywa.
  16. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Nisaidie kuwaelewa kamanda maana hali ilivyokuwa masaa mawili yaliyopita hali ilikuwa mbaya maana hapakuwa na heshima ya demkrasia na haikuwa siri tena na baadhi yao walitaka kushikana pale karibu na maegesho ya magari
  17. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Ukiwa lofa na nyumbu huwezi kuelewa halmashauri ya wilaya na ya mji na ofisi ya mkuu wa wilaya
  18. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Source mimi mwenyewe niko eneo la tukio nashindwa kutupia ka picha maana nikionekana napiga picha hasira zote naweza kuangushiwa mimi.
  19. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Katika hali isiyo ya kawaida kikao cha madiwani kimevunjika huku baadhi ya madiwani wakitaka kushikana mashati wakipingana kile wanachokiona kuwa ni utaratibu mbovu wa uchaguzi baada ya kutaka kupitisha jina la mwenyekiti wa halmshauri ambaye siyo chaguo la madiwani bali ni maelekezo ya mbowe na...
  20. D

    Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Alishazoea kulamba za ESCROW sasa kama hazipo lazima atengeneze mazingira rahisi ya kupenyeza tender ili aweze kupitisha mambo yake kama zamani.
Back
Top Bottom