Search results

  1. D

    CCM imehalalisha ukabila? Magufuli anahutubia kilugha

    Hayo mambo ya kuongea kilugha ni mambo madogo sana ukilinganisha na ukabila ulio wazi wa CDM ingawa wote ni wale wale.
  2. D

    Mgombea mwenza wa CCM aendeLea kukiuka taratibu

    Pelekeni malalamiko yenu NEC, huko ndipo watakaochukua hatua kwa huyo mama hapa JF unajisumbua tu, au mwanasheria wenu Tobo Lisu hajawaambia?
  3. D

    UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

    Ile ilikuwa danganya toto tu kuna mapesa mengi ya marafiki zetu kutoka nje yanakuja.
  4. D

    Lowasa: Wagombea wa ukawa majimboni wanasaidiwa na maparoko fedha na mafuta katika kampeni

    Lowasa na ukawa yao ni janga la taifa yafaa tuwaipuke wataipeleka nchi pabaya si watu wema kabisa hawa.
  5. D

    Usalama barabarani: Madereva waanza kutozwa faini ya papo kwa papo kwa njia ya kieletroniki

    Kwa udereva wangu huu, itanibidi nikimbilie mikoani maana hapa Dar sidhani kama nitamaliza miezi 6 nitakuwa nishafungiwa leseni yangu!
  6. D

    Kwanini Mbatia anaachwa akimdhalilisha Lowassa?Hili haikubaliki

    Katu halikubaliki Mbatia huwezi kumdharirisha mgombea wetu Lowasa, wewe umjibie maswali kama nani? kwani umesikia Lowasa hawezi kujieleza kama anavyofanya kwa sasa akiwa jukwaani, kaa utambue yale ni mapozi tu na hawezi kutumia nguvu nyingi au kutumia muda mrefu kuhutubia wakati anajuwa wazi...
  7. D

    Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    Tunajivunia kuwa na rais bora, JM Kikwete!
  8. D

    Weka porojo na misifa ya kijinga tujadili ukweli huu

    Fisadi ataendeleza ufisadi wake na atawashawishi wenyeji wake wawe kama yeye na asiye fisadi vivo hivyo!
  9. D

    Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Lowasa kwa misifa! hata Dully Sykes akasome, maana hata kuvaa gwanda hataki anajiona atafanana na mgambo wa kijiji!, Lowasa punguza misifa bana yaani hata kushika mic unapohutubia hutaki mpaka wakushikie?? acha misifa bana wewe huna hadhi ya kuwa rais wa nchi hii!
  10. D

    Ogopa Taifa ambalo watu wake hawajaelimika

    Kama unahitaji mabadiliko ya kweli basi utayapata kwa Dr.JPM na si vinginevyo!
  11. D

    Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

    Mtoa post hata kuandika hujuwi, sijui ndiyo umeandika nini! hakika #teammamvi kazi mnayo!
  12. D

    Gari la mgombea Ubunge wa CHADEMA Esther Matiko, lavamiwa, laharibiwa vibaya

    Akili za bavichaa!!! eti leo gari limegeuka binadamu, wajinga sana nyie!
  13. D

    Mikoa itakayoamua matokeo ya Urais wa awamu ya tano wa Tanzania

    Kuzikwa na watu wengi siyo tiketi ya kwenda peponi! endeleeni kuota ndoto za mchana.
  14. D

    Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Hao waathirika wameponzwa na kimbelembele chao!
  15. D

    Lowassa amewadondosha waliombeba, yeye Atakuwa Salama?

    Umeongea kweli tupu mkuu, nasi tutamdondosha zaidi ya alivyodondoshwa na waliompeleka na kumpokea huko UKIWA!
  16. D

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    MAGUFURI ndiyo mpango mzima!
  17. D

    Chupa Ya Maji Ya Kunywa Yenye Picha Ya Mgombea?

    Yuko sahihi kabisa ila nyumbu hawakosi kutoa kasoro!
  18. D

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Leo Dr. Slaa kanifurahisha sana, tungepata viongozi kumi tu wenye msimamo kama Dr. Slaa tungekuwa mbali sana!
Back
Top Bottom