Search results

  1. N

    Elections 2010 Tusisubiri 2015; Tuanze sasa

    Umeongea mambo ya msingi sana na kama Chadema wakianza sasa kufanyia kazi mikakati walioainisha kwenye website yao basi matatizo haya ya kweli yatakuwa yameshughulikiwa kwa sehemu kubwa. CHADEMA ndio tumaini la watanzania, msitusaliti.
  2. N

    Elections 2010 Dk. Slaa: Ndio tunaanza

    Wananchi tumechoka mbaya. Chadema ndio tumaini letu. Fanyeni pia tathminh ya wagombea waliouza nafasi zao baada ya kushinda na kula rushwa toka ccm. Wafukuzwe chamani watu wawe na imani. Hapa arumeru magharibi hatuna imani kuwa chadema ilishindwa, fanyeni uchunguzi watu wanalalamika sana. Hii...
  3. N

    Elections 2010 Ushauri kwa Dk Slaa

    Huu ni upuuzi. Dr Slaa kama ni mchanga ktk siasa sijui aliyekomaa atakuwa nani. Au ukomavu kwenu ni kuitikia ndio? Bila kujali kweli. Watu kama nyie ndio mnaangamiza nchi yetu na leo na kesho kweli itadhihirika.
  4. N

    Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

    Wanamapinduzi, hoja kama hizi hakuna haja ya kuhangaika nazo. Ni taaHira tu au fisadi au asiyejua mbele na nyuma anamchagua JK na CCM. Leo bei zinapaa na mtajua Dr. Slaa alikuwa anasema nini. Mafuta ya kula ndani ya wiki 2 yamepanda toka elf 2 hadi 3 kwa lita. Na bado mtajuta. Haya ni maafa...
Back
Top Bottom