Search results

  1. Ibanda1

    Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Naunga mkono hoja, Polisi ni watu wa hovyo kupata kutokea. Nakumbuka mnamo mwaka 2018 hapa Mbeya nilijipata nikiwa urafiki uchwara na polisi mmoja tena mbaya zaidi jamaa yupo kitengo cha uchunguzi wa makosa ya jinai (CID). Aisee jamaa alinisababishia matatizo makubwa sàna ikiwemo kuniletea...
  2. Ibanda1

    Marefa wa Kitanzania kutokuitwa kuchezesha Mashindano Makubwa ya kimataifa isiwe Kichaka na Sababu ya Kila siku kuwalaumu kua wanamakosa

    Hapo mwisho ungemalizia kwa ku declare interest kuwa wewe ni mwanayanga ingeleta maana zaidi kuliko porojo ulizojaza hapo, andiko lako limejaa chuki dhidi ya simba SC. Hakuna kitu kwenye mpira kinaitwa makosa ya kibinadamu (Ignorance of the law is not an excuse) kayoko amekuwa na maamuzi yenye...
  3. Ibanda1

    Vidada vya kituruki vichafu hatari

    Pole kamanda, nilidhani ni janga la taifa kumbe ni la dunia sasa
  4. Ibanda1

    Mpenzi wangu amekataa kabisa kufanya ngono nami

    Pole mkuu, hakika ni jambo linalofikirisha sana naomba niungane na wadau waliosema yawezekana ana psychological issues hivyo njia pekee kwa hili tatizo ni kuongea na wabobezi wa haya mambo ila itachukua muda pia kukaa sawa Ukweli mchungu ni kwamba kuingia kwenye mahusiano/ndoa na mtu asiyeweka...
  5. Ibanda1

    Chuo cha Veta Dodoma kifanyiwe uchunguzi

    Niwajulie hali wanajamvi Kama kichwa cha habari kinavyochokoza mada. Nianze kwa kutoa pongezi kwa serikali kwa juhudi za kuwezesha elimu ya ujuzi kwa vitendo kupitia vyuo vya VETA ambao umesaidia vijana/mabinti wengi kujiajiri, ila kwa hili linaloendelea kwenye chuo cha VETA Dodoma halikubaliki...
  6. Ibanda1

    Mwanangu ana Sickle Cell, tiba yake nini?

    Pole sana mkuu kwa hiyo changamoto na nikutie moyo tu kwamba mtihani humfika auwezaye, Mwaka juzi binti yangu mwenye miaka minne sasa alithibitika ana tatizo la sickle Cell anemia, Nililazimika kufanya kipimo hicho baada ya kuona anasumbuliwa na homa za mara kwa mara na mbaya zaidi ni maumivu ya...
  7. Ibanda1

    Swali: Bay port ni ya nani?

    Sijui inamilikiwa na nani ila ni moja kati ya taasisi ya fedha yenye riba kandamizi kwa walaji, Nimesoma baadhi ya maoni ya wachangiaji hapo juu wakiwalaumu wakopaji kwa kutosoma na kuelewa vigezo na masharti kabla ya kuchukua mkopo na wengine wameenda mbali wakiwabeza whanga kwamba walikimbia...
  8. Ibanda1

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu naomba gcam ya Samsung A53
  9. Ibanda1

    Gear box recommended oil and service lenght

    Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa, Kumekuwa na mjadala hapa uliokosa majibu kutokana na uelewa tofauti wa mafundi. Tumepata kigugumizi juu ya gear box oili gani inafaa kwenye gari aina Premio ( 1,490 cc) japo hili tumelipatia ufumbuzi kwa kuangalia deep stick lakini utata umebaki kwenye...
  10. Ibanda1

    Uzinzi na ulevi ndio sababu ya Watanzania wengi kuwa maskini na mafukara

    Kweli kabisa hii imewahi kunitokea mimi binafsi, achana na uzinzi kwani haukuachi tu fukara ila unakuachia laana na mikosi kibao
  11. Ibanda1

    Aliyewaambia kuwa dogo anataka kuwa askari ni nani?

    Ndio maana swali langu la kwanza nilihoji, je mleta uzi anaijua historia ya huyu dogo? Namaanisha shughuli inayomuingizia kipato tungeanzia hapo ndipo tuishauri serikali. Kwa ufupi sana Majaliwa hana historia ya uvuvi yeye sio mvuvi na pale mwaloni kazi yake kubwa ni kibarua wa kuanika na...
  12. Ibanda1

    Aliyewaambia kuwa dogo anataka kuwa askari ni nani?

    Mleta uzi si ajabu ni mhanga wa kuzungusha bahasha za kuomba ajira Hebu tupunguze ujuaji kwenye mambo yenye tija, hivi umemfuatilia vizuri huyu dogo na kuijua historia yake? Una uhakika kijana ni mvuvi? Na naona wengi wanakejeli dogo kwenda kuajiriwa ili hali kutwa tunailaumu serikali kwamba...
  13. Ibanda1

    Kwa aina hii ya wachambuzi, michezo imeingiliwa na mamluki. Ni hatari

    Wafuasi wa Yanga akili zap haziko sawa hili jambo aliwahi kulisema msemaji wao kipenzi, Wameingia kwenye mtego wa Manara kipuuzi sana. Jemedari hana shida na Yanga ila huwa ni msema ukweli kitu ambacho Manara hapendi hivyo amewatumia hawa mapopoma kuwaaminisha kuwa Jemedari anaichukia yanga na...
  14. Ibanda1

    AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Ukitaka content wafuatilie football analyst, ikumbukwe Baraka ni football commentator kazi yake kubwa kuripoti matukio yanayoendelea wakati huo wa mchezo hayo mambo ya historia,sijui ukanda mara huyo mchezaji bibi yake alipigana vita ya majiamaji pale sio mahala pake, Baraka is on his prime let...
  15. Ibanda1

    Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

    Usalama wa pesa zako ni suala la msingi sana usiyumbishwe na hizo figure za interest rate, ni kweli benki nyingi sana sasa zina changamoto kubwa sana ya liquidity ratio hivyo zinahitaji deposit za kutosha ila trust me hakuna benki itakupa hiyo rate ya 13%. Nakushauri nenda Absa bank kwa hiyo pes...
  16. Ibanda1

    Livingstone Lusinde amshambulia Zitto Kabwe dhidi ya kauli yake ya wanaompenda Hayati Magufuli wakazikwe naye Chato

    Ukiyasikiliza vizuri malezo/hoja za lusinde utangundua kuwa zitto anetumika tu kama kivuli ila kuna pahala alikuwa anafikisha ujumbe mahususi kwa wanaomsema vibaya hayati, ikumbukwe Lusinde ni mmoja ya wale waliofiwa haswaa
  17. Ibanda1

    Iringa to Blantyre, Malawi: Naomba ushauri juu ya mambo muhimu ya kuzingatia kabla na baada ya kuanza safari yangu

    Asante kiongozi hii hoja muhimu sana, birth certificate ipo nadhani hii itafaa kuthibitisha uhalali wa kijana
  18. Ibanda1

    Iringa to Blantyre, Malawi: Naomba ushauri juu ya mambo muhimu ya kuzingatia kabla na baada ya kuanza safari yangu

    Hahahaa Ansate kiongozi hakika nitakuwa makini sana na kwa kawaida simzoei mtu haraka lakini pia nami sizoeleki.
  19. Ibanda1

    Iringa to Blantyre, Malawi: Naomba ushauri juu ya mambo muhimu ya kuzingatia kabla na baada ya kuanza safari yangu

    Ubarikiwe sana kiongozi kwa ufafanuzi yakinifu nakushukuru sana, naomba kufahamu utaratibu wa kisafiri na huyu kijana yeye anatakiwa kuwa na IDs zipi? Je na hizi chanjo nae zitamhusu pia?
Back
Top Bottom