Search results

  1. M

    Ifanyike kumbukumbu ya "Mwangosi Day" kila mwaka na Tasnia ya habari

    Ili kuweka kumbukumbu ya kumuenzi Mwangosi na jukwaa la kuukumbusha umma umuhimu wa kuheshimu uhai wa wanadamu na kazi zao, napendekeza siku aliyouawa Mwangosi ifanywe siku maalum ya kukumbukwa na waandishi wa habari na wapenda amani kote nchini. Hii yaweza kujumuisha wote waliopoteza uhai...
  2. M

    Kesi ya Mbowe: Mambo yalikuwaje?

    Nimeona taarifa nzuri na picha juu ya jinsi alivyopelekwa Mbowe Ar, na hata thread nyingine zimeonesha kuwa ameachiliwa na hakunyimwa dhamana. Ambacho sijaona ni jinsi kesi ilivyoendeshwa. Naomba mtufuze mliokuwepo katika haya: Je Kamanda Mbowe kaachiwa kweli? Je, kuna amri yeyote iliyotolewa na...
  3. M

    Live from Arusha?

    Jamani ni TV gani au hata Radio gani inarusha live mazishi ya kishujaa Arusha, naomba taarifa tuweze kutune.
  4. M

    Tukio la Arusha ni ishara kuwa busara isipotumika Tz amani itakuwa historia

    Ni bahati mbaya sana kuwa viongozi wetu wa jeshi la polisi pengine wakiagizwa na wakuu wa dola wamekuwa na mtazamo finyu na wa kidikteta katika kushughulikia maswala ya usalma wa wananchi inapokuja kwenye maswala ya kisiasa. Hatua ya mkuu wa jeshi hilo kuzuia maandamano halali kwa kisingizio...
  5. M

    Mgomo wa UDOM: Ni kweli FFU waliua wanafunzi wawili?

    Habari za ndani udom zinasema kuwa kuna wanafunzi wawili waliuawa kwenye maandamano, mmoja wao akiwa ni mja mzito. Lakini hili linafunikwa ili skendo hii isiwe isijulikane. Yuko na mwanafunzi mwingine aliyebakwa na ffu hao hao. Waulizeni wanafunzi udom watawaambia vyema mambo haya. Hii ni...
  6. M

    CUF kuungana na CHADEMA bungeni itadhoofisha kambi ya upinzani, ni hatari.

    Chadema kikifanya makosa ya kujiunga na cuf nitakuwa kimeua kambi ya upinzani bungeni. Mwenendo wa madai ya cuf na kauli za Hamadi pamoja na hali halisi ya muafaka baina ya ccm na cuf unanipa kuona yafuatayo. 1. Cuf kama wabia na ccm huko Zanzibar wamepoteza ile status ya kuwa wapinzani wa...
  7. M

    Mitego iliyoandaliwa kuiua CHADEMA itashindwa ikiwa CHADEMA itazingatia haya

    Mwanzoni nilidokeza mikakati inayoandaliwa kuimaliza cdm miaka mitano ijayo kuwa ni pamoja na kuwatumi "virusi" waliotumwa maalum kwa kazi hiyo ndani ya cdm. Virusi hao ni mapandikizi maalum. Wengine walitumwa kutokea ccm tangu mwanzo wa kuanzishwa kwa vyama vingi ili waudhoofishe upinzani...
  8. M

    CCM ishtakiwe kwa nchi wahisani kwa kuendeleza utemi badala ya demokrasia

    Ulimwenguni sasa hivi nchi zinazofadhili mataifa ya ulimwengu wa tatu sehemu ya bajeti na misaada mbalimbali zinafanya hivyo kwa msharti ya nchi husika kuendesha siasa za vyama vingi. Hii ni kwa lengo la kuhakikisha kuwa kuna demokrasia ya kweli na utawala bora kwenye nchi hizo. Kwa maneno...
  9. M

    Barua ya wazi kwa Rais Kikwete na wana-CCM wote

    Yapo mambo ambayo mtu kufaulu kuyafanya kunahitaji sana kusoma hali ya hewa. Mifano ni kama kilimo, kuruka kwa ndege, na kuabiri baharini kwa boat. Haya na mengine mengi mtu ukiyaendea bila kwanza kusoma hali ya hewa unaweza hata kupoteza maisha. Hali kadhalika kutokusoma hali ya hewa kisiasa...
  10. M

    Wabunge wa chadema kutoka bungeni mbele ya raisi ni ukomavu wa kidemokrasia

    Kitendo cha wabunge wa chadema kutoka bungeni mbele ya raisi kimetafsiriwa kwa namna mbalimbali na jamii ya watanzania. Wapo wanaokiona kitendo hicho kuwa ni utomvu wa nidhamu kwa raisi, wapo wanaoona kama wabunge hao wamewasaliti wapiga kura wao kwa kitendo hicho. Lakini pia wapo wanaodhani...
  11. M

    Ukubwa wa bunge la jamhuri ya muungano, na serikali ya mapinduzi ni maslahi ya nani?

    Idadi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano, na ukubwa wa serikali binafsi unanipa shida kuoanisha faida yake kisiasa na gharama za kuviendesha hasa ninapofikiri umaskini mkubwa wa mwananchi wa kawaida. Sio tu kwamba tuna majimbo mengi mno ya uchaguzi, bali pia viti maalum vingi. Na kama...
  12. M

    Kuwepo damu mpya bungeni, tutazamie nini bunge lijalo?

    Bunge la safari hii kwa kweli limevunja rekodi. Nadhani hatujawahi kuona Bunge lenye mchanganyiko wa watu wenye uwezo wa kuchanga hoja kama hawa. Sio tu kwamba wana uwezo wa kuchanga hoja, ila pia wanawakilisha mawazo mbadala na hivyo kunogesha zaidi vikao. Lakini lililo kuu zaidi ni ule uwezo...
  13. M

    Uteuzi wa baraza la mawaziri, na kumpitisha Chenge kugombea uspika kasha no 1. ya ccm

    Katika awamu hii ya uongozi ccm kupitia maamuzi mbalimbali ya vikao vyake na utendaji wa raisi Kikwete na serikali yake inaweza kujikuta inafanya "blander" nyingi katika kujaribu kukabliana na changamoto zinazoikabili hasa kwa kuwa Kikwete amejikuta ametoa ahadi nyingi alipokuwa akijaribu...
  14. M

    Taasisi huru za kiraia kuchagia mabadliko makubwa uchaguzi 2015

    Hali ilivyo sasa nchini Tz, Inaonekana kwamba adui mkubwa wa mabadiliko tunayoyahitaji ni ujinga wa watz walio wengi. Mfumo wa chama kimoja bado ungalipo vichwani mwa watanzania. Hawajafahamu umuhimu wa siasa katika maisha yao na mustakabali wa taifa lao. Kwa sababu hiyo hata wanaojitokeza...
  15. M

    Kuna kila dalili ya kujitokeza mipasuko mikubwa CCM itakayokiweka pabaya 2015

    Moja ya strength za ccm kihistoria ni mshikamano wake. Lakini kuanza miaka mitano iliyopita, na hasa mwaka huu kumejitokeza dalili za wazi za kuvunjika mshikamano huo hususan kipindi cha mchakato wa kura za maoni na uteuzi wa wagombea. Inaonekana kuwa lipo kundi la miamba ambayo inapotaka...
  16. M

    Chenge kugombea Uspika kunastahili kukemewa hata kwa maandamano nchi nzima

    Ndugu wanaJFs na watanzania wenzangu wote, kuna mambo ambayo mtu ukiyasikia unaweza kuyanyamazia kwa mshangao. Mengine mtu mwadilifu huwezi kamwe kuyanyamazia. Maana sio tu kuwa yanakera, yanachefusha roho. Swala la huyu bwana Chenge kuthubutu kuchukua form ya kugombea uspika kwa kweli...
  17. M

    Mikakati inayokusudiwa kutumiwa kuiangamiza CHADEMA miaka mitano ijayo

    Chadema kimetokea kuwa chama kikuu cha upinzani Tz. bara, na chachu yake imeamsha upinzani nchini. Hata vyama vingine vya upinzani vimefaidika na chachu hii. Hii sio habari nzuri kwa CCM. Historia inaonesha kuwa CCM wamekuwa daima wakifanya juhudi za kuminya upinzani kwa nguvu zote kila...
  18. M

    Joto la siasa za mabadiliko na mustakabali wa Tz

    Dr. Slaa na chama chake cha CHADEMA wamezindua zama mpya katika ulingo wa siasa Tz. Ni zama za siasa za mabadiliko. Mabadiliko ya kifalsafa, na kisera yanayotoa mtazamo mpya na dira mpya kwa taifa. Kawaida ya mabadiliko huitaji viongozi ambao ni "charismatic" au "transformational" kuyaongoza...
  19. M

    Elections 2010 Matokeo haya yasiwavunje moyo wanamapinduzi, bado liko tumaini, aluta continua...

    Kila mpenda mabadiliko amehuzunishwa na matokeo ya uchaguzi hasa kwa sababu haki haikutendeka. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa kuhuzunika tu hakutoshi. Ni muhimu kukumbuka kuwa kazi ya kuleta mabadiliko ya kifikra ni kazi kubwa inayohitaji uvumilivu, subira na utayari wa kulipa gharama za kila...
  20. M

    Elections 2010 Uchakachuaji huu usipodhibitiwa utalitumbukiza taifa kwenye mapinduzi ya kiraia

    Mahali popote yalipowahi kutokea mapinduzi ya raia, ukiangalia sana utagundua kuwa nyuma ya mambo kulikuwa na historia ya raia kunyimwa haki zao za msingi au serikali ilikiuka maadili ya utawala bora kwa kiwango kisichovumiliwa. Haki ya raia kujichagulia viongozi wake ni ya msingi, na raia...
Back
Top Bottom