Search results

  1. T

    Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

    Hana kipya kwa sasa, hana habari hot kama zamani, sikuizi kaonekana wa kawaida kama Mh Mrema, upepo umebadilika anatamani kusifia hawezi, anabaki kuwa mshauri na kuhamasiha machafuko
  2. T

    Odinga hana tofauti na Lipumba kwa hili hakwepi lawama

    Kwa sheria za kenya Odinga anacheza kwa akili sana
  3. T

    Maajabu ya Wabunge wetu: "Double Taxation" katika Road License, na Wabunge wanashangilia?

    Wakati mwingine unapojenga hoja lazima uwe unafikiri sana, ngoja tukupe somo maana inawezekana hujui 1. Si kweli road lincese inalipwa Mara moja, road linces inalipwa kila mwaka tena Kwa mkupuo 2. Pili road lincese inalipwa kila mwaka hata kama Gari alitumiki bado litadaiwa hivyo kuiondoa...
  4. T

    Unafikiri huyu aliwaza nini mpaka akaandika hivi?

    Ni vyema ukamuuliza ww
  5. T

    Waziri Mwakyembe amedanganya kuwa mfumo wa serikali ni Parliamentary system of Government

    Unaweza sikia kitu ukaenda kukifuatilia kwa sababu wakati unakisikia ulikuwa ujui lkn katika kusoma kwako ukawa hujaelewa nakushauri nenda tena kasome na usikilize alichokisema mwakembe ni sahihi au si sahihi lkn ili kukusaidia ukirudia kusoma bado ukawa unaona mwakembe alikuwa wrong tafuta mtu...
  6. T

    Kwa hili la ubunge EALA, CHADEMA imefanikiwa kuiweka CCM mfukoni. Kazeni uzi huohuo

    Lkn kingereza sasa mama anaweza kama wenje, aisee wenje ni nomaaa yaani anapiga ngeli anaweza ongea yule mjaluo wakenya wakaunga mkono wakizani ni mkenya mwenzao
  7. T

    Kwa hili la ubunge EALA, CHADEMA imefanikiwa kuiweka CCM mfukoni. Kazeni uzi huohuo

    Mtoa post alitwkiwa kuwa na uelewa kama wako gud point
  8. T

    Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Si walisema hawatajiusisha na habari zake mbona cwaelewi
  9. T

    Sasa siyo siri tena ni Vita vya Magufuli na Makonda dhidi ya Mawaziri wa CCM!

    Umeandika kitu kizuri lkn umekosa maarifa ya kisheria, kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu haipelekei kurudi kwenye uchaguzi labda kama Rais akatae kuchagua waziri mkuu mwingine na kuamua kulivunja bunge hapo ndo tutarudi kwenye uchaguzi mwingine, lkn kama watapiga kura ya kutokuwa...
  10. T

    Ili taifa liendelee, linahitaji kiongozi mwenye msimamo, Rais Magufuli katupa somo

    Ambapo ki msingi ni jambo jema kuendeleza mazuri ya kimaendeleo yaliyobuniwa na mtangulizi wake na sio kubishana na wapumbavu wachache wanaotaka apoteze focus ili wao wajichukulie umaarufu
  11. T

    Kamanda Sirro: Bado tunamshikilia Vanessa Mdee

    Kama itakuwa hivyo msanii jux anakhali mbaya sana, yy anacheza nawasambazaji tu
  12. T

    Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Watanzania hatutafika mbali kwa sababu ya kutokuwa wazalendo ndo maana mtu anaweza akaandika nonsense kama hii bila hata kujishtukia, ushauri wangu tujifunze kuappreciate hats kidogo sio kupinga kila kitu ili uonekane ww ni mpinzani tu
  13. T

    Mh. Rais jiridhishe juu ya vyeti vya Makonda na elimu yake

    Tunawatu wengi sana wenye vyeti vizuri bt hawawezi fanya nusu ya anachofanya makonda.
  14. T

    Bado hajatokea wa kuitikisa CCM kwa kuondoka kwake!

    Mtu pekee atakae itetemesha ccm ni JPM mwenyewe kuamua kuachia urais na kuamia upinzani bila scenario ya namana hiyo ccm will remain a ruling part forever
  15. T

    Mh. Rais jiridhishe juu ya vyeti vya Makonda na elimu yake

    Watu bwana kwa kubwata bwata, yaani magufuli hatokuwa hana jipya kwasababu ya kutokagua cheti cha makonda, kuwa serious bhana kuna vitu vya msingi hapa nchini kuliko issue ya makonda kuwa amesoma au hajasoma
  16. T

    Mh. Rais jiridhishe juu ya vyeti vya Makonda na elimu yake

    Hivi kwani ukuu Wa mkoa kisheria mtu anatakiwa awe na elimu gan? Maana watu msije mkawa mnabakabaka mambo wakati inawezekana kisheria ni kujua kusoma na kuandika ndo kigezo
  17. T

    Zitto: Kuna amri inatoka juu kuwakataza Mkuu wa Mkoa na Wilaya kukaidi kuja Bungeni kuhojiwa

    Zitto bhana, eti nae kasoma uchumi, yaani unataka Rais avunje bunge turudi katika uchaguzi, kwa manufaa ya nan? Yaani turudi kwenye uchaguzi wakati unajua wagombea na watakaoshinda uchaguzi 90% watakuwa walewale wenye msimamo uleule, nakushanga bro ni bora pendekeza njia nyingine sio njia hiyo...
  18. T

    Uchochezi: Wabunge wa Upinzani Wakijiuzulu Wote na Kuunganisha Nguvu...

    Uchaguzi mdogo ni uchaguzi mdogo tu, point namba 7 haina mashiko, uchaguzi mdogo hauna impact kwenye wabunge Wa kuteuliwa, Kingine labda waliojiudhulu wasigombee tena maana kunaweza kuonekana kwa wananchi kwamba upinzani umeamua kuchezee Pesa za walipa kodi Kutatokea internal conflict coz...
  19. T

    Kwa hili Polisi Watuelimishe; Kuna Sheria ya Diamond na ya Wengine?

    Mm huwa nawasikitia watu kama nyie msio jua mambo, traffic case huwa inaamuliwa police kwanza lkn kama hujaridhika unaweza kukatarufaa mahakamani
Back
Top Bottom