Search results

  1. puza46b

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

    Well nimeisoma yote, umeandika mengi. Mimi naomba nifafanue nini tatizo la kilimo Tanzania 1. Siyo vyote vinavyovunwa vinafika sokoni. Hatuna utaratibu wa kumsaidia mkulima apate soko. 2. 40% mpaka 60% ya mazao Tanzania haswa matunda yanaharibika. Hizi data nilipewa na specialist wa kilimo. 3...
  2. puza46b

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

    Kuna mtu ambaye anaweza kutuandikia mustakhabali? Namsifia aliueandika kwa kujitolea kutoa mawazo ya nini cha kufanya. Sijaisoma yote ndefu mno.
  3. puza46b

    Membe’s rudderless campaign

    Zitto kabwe anajua nini anafanya. Nia yake siyo Membe kushinda uchaguzi.
  4. puza46b

    TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

    Hahahahaa. Mi siyo UVCCM, sina chama. Angalia mada zangu. Mbili zimefutwa jana. Moja ilimnukuu Lissu alivyosema Magufuli ni Fisadi !! Na nyingine ikihoji kama TCRA wameshakaba jamii forum. Ndo hali halisi ya mahusiano yetu na Kenya. Magu kawabana p..u!
  5. puza46b

    TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

    Kale kamgogoro cha Tanzania na Kenya ka ndege za kenya kuzuiwa tz na watz kulazimishwa kukaa quarantine wakiingia Kenya umeisha!! Sasa Kenya airways itaanza safari za Tanzania. Kenya exempts Tanzanians from mandatory quarantine | Nation Uchambuzi wangu. Magufuli anajua dada yake Uhuru ni...
  6. puza46b

    Tundu Lissu anaposema atawapa nguvu majimbo ni mifano gani anaweza akaiga

    Siyo sahihi kila mtu akisema changu ni changu hatutakuwa na fungu la kuendesha nchi. Kuwa na maliasili pekee haitoshi swala ni mnazitumia vipi hizo maliasili
  7. puza46b

    Tundu Lissu anaposema atawapa nguvu majimbo ni mifano gani anaweza akaiga

    Nimeona sasa imeanza hoja ya kuzungumzia pendekezo la Lissu kuhusu serikali za majimbo. Kwanza kabla sijazungumzia hilo ningeanza na kufafanua changamoto zilizopo za kuleta maendeleo majimboni. Watu wanaoishi kwenye majimbo ndio wao pekee wanaweza jua kwa undani matatizo yao na yapi muhimu ya...
  8. puza46b

    Zanzibar 2020 CCM mmesahau kuwa kwenye dini ya kiislam kufa ukitetea wanyonge ni ushujaa

    Naona wanaolipwa na CCM kupotelezea hoja ndio wameshtuka sasa kuhusu huu wosia unaotoa tahadhari juu ya amani ya nchi. Kwa jinsi mlivyokurupuka kujibu ghafla leo kwa kweli mmetumwa. Soma mara mbili nini nimeandika kabla hujaropoka pumba!! Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
  9. puza46b

    Uchaguzi 2020 "Mkono mtupu haulambwi" Mbowe ajitenga na kampeni za Lissu

    Ningekujibu ila sitaki kukupa strategic plans za chadema. It is obvious what they are doing. Jiulize mgombea mwenza yuko wapi? Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
  10. puza46b

    Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

    Malemo, kama upo karibu na chadema washauri Mbowe, Na mgombea mwenza nao wafanye kampeni tofauti. Angalieni ccm walivyosambaa. Kumbukeni mnashindana kufikisha ujumbe ili mkubalike. Wote watatu wasikae kwenye mkutano mmoja. Other wise hii ni taarifa nzuri kusikia wanapiga kampeni tatu kwa siku...
  11. puza46b

    Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Chadema wakati nyie mnapiga kampeni mtwara, Magufuli, Mama Samia na Majaliwa walikuwa wanapiga kampeni sehemu tatu tofauti. Kwa kifupi ccm wamehudhuria watu wengi kwenye mikutano mitatu kuliko kwenye mkutano mmoja wa chadema. Chadema mkishindwa huu uchaguzi siyo kwa sababu mna sera mbaya; bali...
  12. puza46b

    Zanzibar 2020 CCM mmesahau kuwa kwenye dini ya kiislam kufa ukitetea wanyonge ni ushujaa

    Bila kuandika mengi, CCM watakipata wanachokitafuta Zanzibar. Wamesahau jukumu la Waislam katika kuitetea haki kama wanavyoamriwa na dini. Wamesahau dini inasemaje kuhusu yule anayejitoa mhanga kuokoa wanaonyanyaswa. Waliuwawa 2001 wakanyamaza. Wamefungwa viongozi wao wa dini wakanyamaza...
  13. puza46b

    Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Paskali, Pamoja na busara zako unajifanya kusahau kuwa Tanzania mbunge hana nguvu ya nini kifanyike jimboni mwake. Hela ya matumizi inapitishwa ikulu. Magufuli alishasema, sitaleta maendeleo kwa ambao hawajanichagua. Duniani kazi kuu ya mbunge ni kuiwajibisha serikali na kuhakikisha sheria...
  14. puza46b

    Uchaguzi 2020 TEF yamaliza Mgogoro wa TBC na CHADEMA, wapeana Mkono

    Chadema, unafahamu msemo wa ukipewa milimita chukua kilomita! Hii ni nafasi nzuri sana. Itumieni ipasavyo. Hizo dakika 30 fanyeni yafuatayo: Ziendelezeni cheche za kwenye kampeni - yale mabomu ya Lissu anayowapiga CCM yarudieni kwenye TV na radio kila mtanzania asikie. Udini, ukabila, ukatili...
  15. puza46b

    Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Chadema. What is wrong with you. Huo muhtasari ni taarifa ya fedha inahusiana nini na ilani ya kampeni? Nishasema anayesimamia kitengo cha habari au watendaji wake wanakihujumu chama. Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
  16. puza46b

    Anayesimamia Idara ya Habari CHADEMA anakihujumu chama

    Ya kufukuzwa TBC imewapunguzia chadema sehemu ya kutoa taarifa. Ukweli unabaki TBC walichakachua mno taarifa za chadema na hawawatendei haki. Hivyo sidhani kama TBC wanastahili huruma. Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
  17. puza46b

    Anayesimamia Idara ya Habari CHADEMA anakihujumu chama

    Kwenye kutoa elimu hata adui anaweza kuwa rafiki yako. Wakifanya vurugu aibu kwao. Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
  18. puza46b

    Anayesimamia Idara ya Habari CHADEMA anakihujumu chama

    Hii nimeandika kwenye makala ya pili ya hasira. Chadema vitu vingine wanafanya utafikiri hawako serious na kushinda huu uchaguzi. Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
  19. puza46b

    Anayesimamia Idara ya Habari CHADEMA anakihujumu chama

    Yaani ushauri unaita kulalamika? Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom