Search results

  1. maramia

    Mali iliyotokana na mgao wa urithi inauzwa?

    Je, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya marehemu baba aliyefariki mwaka 2007. Wakati nalirithi shamba hilo nilikuwa nikiishi na mke wangu na...
  2. maramia

    Bill of Cost inaandaliwaje?

    Kwa mfano mimi bwana X kama nilifungua shauri la mgogoro wa shamba No. 2/2016 dhidi ya bw Y katika baraza la ardhi na nyumba la kata ya Ibisabageni wilaya ya Sengerema nikashindwa kesi lakini nikakata rufaa No. 4/2017 katika baraza la wilaya ya Geita ambako nilishinda. Lakini bw Y baada ya...
  3. maramia

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wa 2020 utakuwa ni wa kufariji na kuadhibu

    Kwa namna hali ilivyo na inavyoonekana uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge wa 28 Oktoba 2020 kwa namna unavyoonekana utakuwa ni uchaguzi ambao wapiga kura wataongozwa na mambo makubwa mawili wakati wa kupiga kura yao. 1. Kuna wapiga kura watakaopiga kura yao kwa chuki ya kuuadhibu utawala ulioko...
  4. maramia

    Shule ya Taqwa Mwanza, Karo inalipwa Januari na Julai mnawafukuzaje watoto?

    Kwa kweli shule nyingine zinajitakia matokeo mabaya bure, hii shule ya sekondari ya Taqwa imeweka utaratibu wa kulipa karo kwa awamu mbili ya mwezi Januari na Julai wakati wa kufungua shule. Kitu cha ajabu na kinyume cha utaratibu wao na tunaoujua, leo hii 2 May 2018 wamewafukuza wanafunzi...
  5. maramia

    Baadhi ya wakuu wa takukuru wa mikoani hawako serious kuwanasa watoa rushwa

    Katika chaguzi za ndani za CCM huku mikoani, rushwa imekuwa ikitolewa wazi wazi na sidhani kama maofisa wa TAKUKURU walikuwa hawayaoni haya. Nadhani maofisa hawa wa mikoa na wilaya hawako commited katika jambo hili katika kumsaidia mheshimiwa Rais kupigana vita ya rushwa.
  6. maramia

    Wapi naweza soma tyusheni ya nguvu ya PCB

    Kwa wenye kujua mahali kuna maticha wazuri wa kufundisha tyusheni ya masomo ya Physics, Chemistry na Biology ya kidato cha 5 na 6 katika jiji la Mwanza wakati wa likizo naomba wanifahamishe.
  7. maramia

    Sekondari ya Ngudu ni shule ya serikali au ni ya kujifunzia ujasiriamali

    Sikutegemea kama haya ninayoyaona katika shule ya Ngudu high school ningeweza kuyaona yakifanywa katika awamu hii ya Rais Magufuli. Ya waalimu walioko mazoezi (field) kutumia muda wa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 2 usiku na wakati mwingine muda wa kazi na katika majengo ya shule kufundisha...
  8. maramia

    Hivi viongozi wa vyuo vya Elimu hawalioni hili kama tatizo.

    Hivi karibuni wizara ya elimu ilitangaza tarehe 30 Aug 2017 kuwa siku ya mwisho ya wanaoomba kujiunga na vyuo vya elimu ya juu kujisajili. Wakati huo huo ka una wanafunzi wa diploma wanaotegemea kufanya mitihani ya marudio (supplementary) kuanzia katikati ya mwezi Septemba 2017 na kuendelea na...
  9. maramia

    Anthony Diallo abanwa kona zote nne

    Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Anthony Diallo yuko kwenye nafasi mbaya kisiasa, kimaisha, kibiashara na hata kimahusiano na jamii. Baada ya kituo chake cha matangazo cha Star Television kutiwa kufuri za nyororo na TRA kwa kuidai kampuni yake zaidi ya shilingi 4.5bn, Diallo amefikwa na...
  10. maramia

    Naomba taarifa ya Ngudu High School.

    Naomba taarifa za Ngudu high school kwa wanaoifahamu kijiografia na taaluma kwa ujumla wake. Nimechaguliwa kujiunga hapo kidato cha tano kwa comb. ya PCM kwa mwaka huu wa masomo. Pia ningependa kujua kama ninaweza kubadili comb hiyo nikachukua PCB ninayoipenda badala ya hiyo PCM na utaratibu...
  11. maramia

    Tanzania ya "TRIANGULAR POLITICS"

    Hivi sasa Tanzania iko ndani ya vita ya ajabu ya pande tatu. Kuna Clouds Tv wanaolalamikia kitendo cha mkuu wa mkoa Paul Makonda kuwavamia usiku akiwa na polisi na wanaodaiwa ni wanajeshi au TISS, uongozi wa Clouds umefungua kesi mahakamani. Kuna upande wa pili wa waziri wa habari, sanaa na...
  12. maramia

    Ni kosa Rais kuwakandamiza watanzania wanaohukumiwa nchi za kigeni

    Mwaka jana serikali ya Marekani ilikiri na kuomba msamaha kwa kosa ililofanya kwa kutekeleza kimakosa adhabu ya kifo kwa watu wawili. Rais Obama alikiri kwamba kitendo cha jeshi la Marekani kuishambulia Libya na hatimaye kumuua Rais wa nchi hiyo Muammar Gaddaf hakikuwa kitendo cha haki kwa...
  13. maramia

    Mhe Ndalichako, hii inakubalika?

    Kuna baadhi ya shule binafsi (English medium) hapa jijini Mwanza zimetoa masharti ya kulipa kati ya tshs 85,000 na 100,000 kwa ajili ya picha na usajili wa mitihani ya taifa ya kidato cha pili mwaka huu. Kibaya zaidi baadhi ya shule zimeanza hata kuwafukuza wanafunzi ambao hawajalipa karibu...
  14. maramia

    Kama maandishi ya risiti za kielekitronik yanafutika zina maana gani?

    Naomba nipewe ufafanuzi kuhusu hizi risiti zinazotolewa na mashine za kielekitronik za EFD ambazo hufutika baada ya muda mfupi. Kwa mfano nilikuwa na shauri katika mahakama ya wilaya, cha kushangaza baada ya shauri hilo kumalizika na kufungua madai ya gharama nilizotumia kuendesha kesi hiyo...
  15. maramia

    Kama Mungu aliumba mbingu na dunia, sayari nyingine je?

    Vitabu vitakatifu, Quran na Biblia vyote vinasema Mungu wakati wa mwanzo wa uumbaji wake, aliumba mbingu na nchi (dunia). Kuna jambo moja linalonisumbua kwa muda mrefu ambalo ningependa wajuzi wa elimu ya dini au yeyote mwenye uelewa anipe majibu. 1. Kama Mungu aliumba mbingu na dunia (nayo ni...
  16. maramia

    Kilio chetu kwa mjasiriamali Melo kitajibu

    Siku zote haki hushinda dhuluma na ukweli humuweka mkweli utumwani.
  17. maramia

    Kilio chetu kwa mjasiriamali Melo kitajibu

    Siku zote haki hushinda dhuluma na ukweli humuweka mkweli utumwani.
  18. maramia

    Tuliodhani Prof. Ndalichako ataifufua elimu tulikosea, anaiua kimya kimya

    Nilistushwa sana na sikuamini kauli aliyoitoa profesa Joyce Ndalichako kuhusu masharti yake mapya kuwa kuanzia mwakani hataruhusu mwanafunzi yeyote kujiunga na masomo ya shahada ya chuo kikuu bila kupitia na kufaulu kidato cha sita. Kuanzia pale nilianza kuona dalili mbaya na chafu ya wateule...
  19. maramia

    Kama makaburi ya zamani hayafukuliwi mahakama ya mafisadi ni ya mafisadi gani?

    Wakati Rais alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari ikulu ya Dar es Salaam wiki iliyopita, aliwaambia watanzania kupitia kwa wahariri hao kwamba ataanzia kuwashughulikia waharifu pale alipoishia mtangulizi wake. Hii ndiyo maana halisi ya kauli yake kwamba hatayafukua makaburi ya zamani. Ebu...
Back
Top Bottom