Search results

  1. S

    The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

    Tuombeane - Ambassadors of christ Kaeni macho - Ambassadors of christ
  2. S

    HTML / CSS Programmer

    Kama kweli upo seriously na unahitaji hiyo kazi nakushauri apply. Huyu si kibonde wa clouds, ni mtu mwingine tofauti kabisa.
  3. S

    Mpenzi wa kwanza.....

    Mh inaonekana alikutenda vibaya e? Ila hupaswi kumchukia binadamu mwenzako, kataa akitakacho.
  4. S

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Hapo ndoa itawezekana tu endapo huyu binti wa Kiislamu yupo tayari kukufuata katika imani yako otherwise wewe umfuate katika imani yake.
  5. S

    Mishikaki kwa MFOJO

    Anapatikana Segerea Chama, na nijuavyo mimi anafuata nyama Vingunguti machinjioni
  6. S

    Taarifa ya Msiba...!

    Poleni sana, FT Mungu afanyike faraja kwa familia yako ktk kipindi hiki kigumu, tunakuombea. Mungu ailaze pema roho ya marehemu AMINA
  7. S

    Udsm watimuliwa rasmi

    Mtoa mada usitundike bandiko ambalo hujapata uhakika nalo, COET hawajatimuliwa ila bado wanaendelea na mgomo. Hizo ndo habari za uhakika
  8. S

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    mh kama niliwahi fika vile kwenye hichi kijiji, ila kinaonekana hakina idadi kubwa ya wakazi, au na wenyewe wameogopa wakakimbia?
  9. S

    Majina ya Kichaga!

    Ndenengosia Apaikunda Apaisaria
  10. S

    Bestmovies u ever watched

    1. Enchanted 2. Bridge to terabithia 3. Knockedup 4.The girl next door 5.wedding planner
  11. S

    Natafuta Kazi

    Habari za jioni ndugu zangu, Naombeni msaada wenu japo nipate link ya ajira Kwa sasa ni mwajiriwa katika kampuni binafsi na ninafanya kazi kama mtakwimu (Researcher and data management) Kifupi siridhiki na mahali nilipo ndo maana bado natoa macho,naombeni msaada wenu kwa mwenye link. Niwatakie...
  12. S

    Hellow,

    Karibu Nimrod. Hapa utaelimika,utapata ushauri unapotatizwa,bila kusahau vunja mbavu na mengine mengi
  13. S

    Hello

    Ahsante Pakajimmy,jinsia yangu (she), wewe?
  14. S

    Hello

    Ahsante firstlady
  15. S

    Hello

    Habari ndugu zangu, nami nahitaji kuwa member wa jukwaa hili. Naomba ukaribisho
Back
Top Bottom