Search results

  1. W

    Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

    Npo humu kitambo,hii ni accnt nyingne. Na sijaja kujitetea wala kumtetea,nawachana tu... Maisha kutafuta sio kutafutana,komaa utoboe Ndio,wakaushe kuongelea maisha ya watu....
  2. W

    Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

    Mtu baki humuji vizuri unajifanya unamjua,,,usimfaham mtu kwa stori su kwa kumuona nje kwa macho... Yupo kilimo miaka kibao na ndo kazi yake udereva. Biashara zingine ni za nje tofauti na hyo kaxi. Alaf wewe unae sema kafulia em angalia ulipo ww na kama kweli unamfaham vizuri angalia slipo...
  3. W

    Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

    Acha ushamba,alafu usiwe unaropoka vitu usivyo vijua... Ni deteva tangu miaka ya nyuma kabla hata hajaanza kumiliki band na mpaka anamiliki band alikua bado dereva. Na sio kwamba amefulia,na wala haishi mnadani. Yeye ni mtu wa dodoma na kwao ni dodoma so ukimuona maeneo yupo kwao. Wewe toka...
  4. W

    Max malipo

    Sikia,nina mishe zangu na ni mjasiliamali ambae nimetoka mbali sana... Pia nimesomea biashara,nina vyeti vya biashara na vya ujasiliamali. Hivyo natumia kila elimilu nilio pata pale ninapo weza na ninapo ona pana faida kwangu.
  5. W

    Max malipo

    Habari #TeamJamiiforums. Nilikua naomba msaada nijue jinsi ya kuwa wakala wa MAXMALIPO. Nataka nijue sifa,vigezo na mashariti ya kuweza kufanya hiyo huduma katika jamii yangu. Pia nijue na kiasi cha fedha nacho takiwa kuwa nacho. Wenu mtiifu,nategemea majibu mazuri toka kwenu. Asante!
Back
Top Bottom